Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me N You {Official Video} - YouTube

Yaani ile kusema ukweli ningekuwa mwanume mimi sakapal wallah kwa jinsi yoyote ile ningemuoa huyu binti wa kwenye hii video, amenikosha jinsi alivyo hasa hapo anapoonekana yuko kama kwenye chumba cha gym amekalia huo mpira wa mazoezi na pale anapoenda kucheza kwenye kioo mie hoi, mavazi yake pia na alivo ukichanganya na sauti ndo kabisaa to my eyes and brain bila bange wala mawaa she is cute na kwangu amepita labda angenikataa yeye.
Always sakapal
Peace & Love.

I am Vanessa Mdee. - YouTube
sauti yake sasa anavotabasamu, jamani its only to my eyes and not to everyone nimempenda bure huyu binti.

HII Sio type yangu,hips hakuna,makalio hakuna,kiuno,ok bado labda wadogo zangu wa 20s watampenda bt me hapana....huyu ni saizi ya kina Dimpoz mwenyewe....
 
Mi pia nilishangaa sana, tena plus hii poor recording to kabisaaa!

Mi hata huo ucute wake sijauona kwa kweli. Wadada sijui mnaangaliaje? kumbe nilikuwa sahihi nilipowakatalia dada zangu khs pendekezo lao la mwanamke waliyekuwa wanataka nioe![/QUOTE mito kwa maneno hayo hapo bold,
basi utakuwa umeoa bikira Maria mweeh!
 
Last edited by a moderator:
Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me N You {Official Video} - YouTube

Yaani ile kusema ukweli ningekuwa mwanume mimi sakapal wallah kwa jinsi yoyote ile ningemuoa huyu binti wa kwenye hii video, amenikosha jinsi alivyo hasa hapo anapoonekana yuko kama kwenye chumba cha gym amekalia huo mpira wa mazoezi na pale anapoenda kucheza kwenye kioo mie hoi, mavazi yake pia na alivo ukichanganya na sauti ndo kabisaa to my eyes and brain bila bange wala mawaa she is cute na kwangu amepita labda angenikataa yeye.
Always sakapal
Peace & Love.

I am Vanessa Mdee. - YouTube
sauti yake sasa anavotabasamu, jamani its only to my eyes and not to everyone nimempenda bure huyu binti.

Ukipewa nafasi moja ya kuchagua kati ya uwe mwanaume ili umuone vanessa mdee au uwe mwanamke ili ugegedwe na Obama, utachagua ipi?
 
i love girls girls....i think i'm lesbiane....currency ft tiger.
VeeMoney is just too dope....good brain, smart, hardworking, great family, well exposed, beautiful and talented.
 
Mwanamke nyama babu weee!!!
Ukimshika ashikike!!!
Kimbaumbau ina huu...

Madame B wengine hapa ni vimbaumbau kwa juu nimejaamifupa ila kwa chini naweza hatakukuzidi maana ndipo minofu ilipo amia...... Sasa sijui mimi utaniweka kundi gani?
La wembamba au la wanene!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Madame B wengine hapa ni vimbaumbau kwa juu nimejaamifupa ila kwa chini naweza hatakukuzidi maana ndipo minofu ilipo amia...... Sasa sijui mimi utaniweka kundi gani?
La wembamba au la wanene!!!!!

Ahhhhhhhh shoga yangu.....
We ni mnene bhanaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mimi namtamani mwenzi wangu tu anatosha, hawa wauza sura wanawatosha kina Ustaadh Juma Namusoma! Triieii...TUKO WANGAPI?
 
Ukipewa nafasi moja ya kuchagua kati ya uwe mwanaume ili umuone vanessa mdee au uwe mwanamke ili ugegedwe na Obama, utachagua ipi?

uchanguzi utakuwa wa kwangu na ntakwambia jibu litakapopatikana.
 
Mi pia nilishangaa sana, tena plus hii poor recording to kabisaaa!

Mi hata huo ucute wake sijauona kwa kweli. Wadada sijui mnaangaliaje? kumbe nilikuwa sahihi nilipowakatalia dada zangu khs pendekezo lao la mwanamke waliyekuwa wanataka nioe![/QUOTE mito kwa maneno hayo hapo bold,
basi utakuwa umeoa bikira Maria mweeh!

Aaaha sista, siyo hivyo bhana! ila ukweli wadada wengi mna-assess tofauti kabisa na sisi, si umeona assessment ya sakapal halafu angalia comments uone ni wanaume wangapi waliochangia wameridhika na ucute wa huyo dada, of course natambua kila mtu ana radha yake anayopenda.

lakini kwa mtizamo wangu kuliko kumshirikisha mwanamke ktk kuchagua mcute mara mia ushirikishe washkaji wako wa kiume manake wanaume hatutofautiani sana ktk kuchagua ucute, tunachotofautiana ni uwezo wa kumpata mcute (teh teh teh, ila usinitake nidadavue zaidi hapa gfsonwin, nakujua!!!)
 
Kila mtu na hobby yake.
wengine hawapendi wanawake/wanaume wembamba...
wengine hawapendi mwanamke aliejilemba na manywele ya bandia.. wanataka kitu natural
Kwahiyo huyo umempenda wewe.
 
hivi ilikuwaje huu wimbo ukapewa tuzo ya video bora ya mwaka kwenye kili music awards kikwetu kwetu??
poor video aisee ingawa they are beautiful lkn video mmh!!

mwali na wee!
uliopewa tuzo ya video bora ya mwaka sio huu bana!
sema muimbaje ni ommy dimpoz wimbo ni BAADAE! na hakuwa na vanessa mdee!
 
mwali na wee!
uliopewa tuzo ya video bora ya mwaka sio huu bana!
sema muimbaje ni ommy dimpoz wimbo ni BAADAE! na hakuwa na vanessa mdee!

khaaa! wewe mbona ule shooting yake ni mbaya tena kuliko hata hii??
ama mijicho yangu inakosa kuwa na watching skills??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom