Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

Nyama zinatakiwa mkuu mfano Mbuzi kagoma bila kupigapiga vibao vya MATAK.O haina raha aisee.
 
Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me N You {Official Video} - YouTube

Yaani ile kusema ukweli ningekuwa mwanume mimi sakapal wallah kwa jinsi yoyote ile ningemuoa huyu binti wa kwenye hii video, amenikosha jinsi alivyo hasa hapo anapoonekana yuko kama kwenye chumba cha gym amekalia huo mpira wa mazoezi na pale anapoenda kucheza kwenye kioo mie hoi, mavazi yake pia na alivo ukichanganya na sauti ndo kabisaa to my eyes and brain bila bange wala mawaa she is cute na kwangu amepita labda angenikataa yeye.
Always sakapal
Peace & Love.

I am Vanessa Mdee. - YouTube
sauti yake sasa anavotabasamu, jamani its only to my eyes and not to everyone nimempenda bure huyu binti.

Not lesbian?
 
Binti mzuri. Hahaha eti mwanamke nyama? hahahah jamani taratibu ati eh
 
Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me N You {Official Video} - YouTube

Yaani ile kusema ukweli ningekuwa mwanume mimi sakapal wallah kwa jinsi yoyote ile ningemuoa huyu binti wa kwenye hii video, amenikosha jinsi alivyo hasa hapo anapoonekana yuko kama kwenye chumba cha gym amekalia huo mpira wa mazoezi na pale anapoenda kucheza kwenye kioo mie hoi, mavazi yake pia na alivo ukichanganya na sauti ndo kabisaa to my eyes and brain bila bange wala mawaa she is cute na kwangu amepita labda angenikataa yeye.
Always sakapal
Peace & Love.

I am Vanessa Mdee. - YouTube
sauti yake sasa anavotabasamu, jamani its only to my eyes and not to everyone nimempenda bure huyu binti.
Ingawa nimechelewa kuona uzi wako huu sakapal lakini then you were taking.. she is wow... just wow.. i say it..
 
Vanessa ni wa kawaida tu, au labda sema umemuona kwenye TV/video. Tembea ujionee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom