Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
wishes nyingine! yaani najaribu kupata picha umetokewa na nini mpaka ujiwazishe ungekuwa mwanaume......
Hiyo mizigo ya minofu unapeleka wapi buchani au??? Kitu modo bwana easy 2 carry and cmple.
Sio kutamani, ku-appreciate uumbaji
Kwani unavyoenda mbugani kutizama wanyama na kufurahia unakuwa unataka kuwa-do?
Kwani mapenzi ni kubebana tu?
Uzuri wa nyama siku hamna hela mnyanywea supu
wishes nyingine! yaani najaribu kupata picha umetokewa na nini mpaka ujiwazishe ungekuwa mwanaume......
nadhani ingetosha kumsifia kuwa unamwona beautiful, ninachoshangaa ni hicho cha kutamani kuwa mwanaume ili uwe nayeuzuri wa huyu binti tuu, alivonivutia machoni pangu mie kumtizama hasa anavocheza, kumbuka kuwa sikumjua leo siku nyingi ila video ya huu wimbo ndo imenifanya nimuone kwa jicho lingine, she is cute and beauty to my eyes, si lazima kwa wote. Nakiri kusema mungu ameumba hapo, may be siwezi jua pengine ningekuwa mwanaume roho yangu isingekuwa hivi niwazavyo now......................
ndo maana wishes huwa zinabaki kuwa wishes.................., wewe FP hujawahi kuwish kitu chochote ambacho unahisi ukisema mbele za watu au ukimwambia mtu watu watakushangaa na kukuangalia mara mbili na kuamua kutokukisema? Basi mie nimesema bila kujali watu watasemaje au kuwazaje................
Mwanamke sio supermarket kuwa utapata kila kitu humohumoKutamani ni dhambi Sakapal,uzuri wa mwanamke hivi hasa ni nini wadau?
Kweli watu tuna ladha tofauti
Mie wa hivi hata hainyanyuki kabisa, hamna hata nyama za kushika?? No no no no.
Ng'wanene?
Sio kutamani, ku-appreciate uumbaji
Kwani unavyoenda mbugani kutizama wanyama na kufurahia unakuwa unataka kuwa-do?
Kwani mapenzi ni minyama au?? Kila mtu na ladha yake. Wewe hujamuona mdee uzur wake bas wenzio wapo wengi walioona na kupagawa. Ila wewe ukimuona tipwa tipwa kama ASHA BOKO bas SAWA dondosha mimate na simamisha mnala wako airtel.