Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,804
Reaction score
1,425
Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me N You {Official Video} - YouTube

Yaani ile kusema ukweli ningekuwa mwanume mimi sakapal wallah kwa jinsi yoyote ile ningemuoa huyu binti wa kwenye hii video, amenikosha jinsi alivyo hasa hapo anapoonekana yuko kama kwenye chumba cha gym amekalia huo mpira wa mazoezi na pale anapoenda kucheza kwenye kioo mie hoi, mavazi yake pia na alivo ukichanganya na sauti ndo kabisaa to my eyes and brain bila bange wala mawaa she is cute na kwangu amepita labda angenikataa yeye.
Always sakapal
Peace & Love.

http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=PYT0OXXAzZw#t=51s
sauti yake sasa anavotabasamu, jamani its only to my eyes and not to everyone nimempenda bure huyu binti.
 
Huyu nae alisema hivyo hivyo hivyo......

images
 
Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me N You {Official Video} - YouTube

Yaani ile kusema ukweli ningekuwa mwanume mimi sakapal wallah kwa jinsi yoyote ile ningemuoa huyu binti wa kwenye hii video, amenikosha jinsi alivyo hasa hapo anapoonekana yuko kama kwenye chumba cha gym amekalia huo mpira wa mazoezi na pale anapoenda kucheza kwenye kioo mie hoi, mavazi yake pia na alivo ukichanganya na sauti ndo kabisaa to my eyes and brain bila bange wala mawaa she is cute na kwangu amepita labda angenikataa yeye.
Always sakapal
Peace & Love.

I am Vanessa Mdee. - YouTube
sauti yake sasa anavotabasamu, jamani its only to my eyes and not to everyone nimempenda bure huyu binti.

Pole sana, uzuri ni kuwa umezaliwa mwanamke, na naamini hautuonea wivu wanaume kwa namna yeyote tunapokuwa tunaenjoy na wadada wanaokuvutia kama hawa! Ila angalia tu kale kaupendo kwa huyu dada kasije kukuzidi ukazianza zile tabia ....., sorry!
 
hivi ilikuwaje huu wimbo ukapewa tuzo ya video bora ya mwaka kwenye kili music awards kikwetu kwetu??
poor video aisee ingawa they are beautiful lkn video mmh!!
 
huu wimbo si ndo ule mvua inatokea kwa nyuma?mie hoi
 
Ungekua mwanaume labda ungekua siiriziki (shoga)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom