Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

kwa hiyo mimi tipwa tipwa kama asha boko sifai ?..

Unafaa sana dia. Ila mkuu hapo kakosea kumpondea kimbau mbau. Ndo namwambia kila mtu na hisia azke za muonekano wa mtu. Sio unapondea upande 1 na mwingine hasemi.
 
VanessaMdee.jpg
too thin for me nakosa pa kushika buuuut she has a pretty face na nimependa eye makeup yake. she looks really nice na hajazidisha makeup. 9/10
 
too thin for me nakosa pa kushika buuuut she has a pretty face na nimependa eye makeup yake. She looks really nice na hajazidisha makeup. 9/10
kweli wanume mna kazi sana aisee duh
 
Mkuu kama umefuatilia historia ya hao maselebriti, Jide alimkuta huyo jamaa ana mwanamke na mtoto mmoja, na Jide mwenyewe alikubali kumlea huyo mtoto kama wa kwake baada wa wazazi wake kutengana.

Ilikuwa changamoto mkuu, historia ya Jide iko Kianakonda zaidi.
 
Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me N You {Official Video} - YouTube

Yaani ile kusema ukweli ningekuwa mwanume mimi sakapal wallah kwa jinsi yoyote ile ningemuoa huyu binti wa kwenye hii video, amenikosha jinsi alivyo hasa hapo anapoonekana yuko kama kwenye chumba cha gym amekalia huo mpira wa mazoezi na pale anapoenda kucheza kwenye kioo mie hoi, mavazi yake pia na alivo ukichanganya na sauti ndo kabisaa to my eyes and brain bila bange wala mawaa she is cute na kwangu amepita labda angenikataa yeye.
Always sakapal
Peace & Love.

I am Vanessa Mdee. - YouTube
sauti yake sasa anavotabasamu, jamani its only to my eyes and not to everyone nimempenda bure huyu binti.

Aaah wa kawaida sanaa hata dem wangu wa Chikongola hajamfikia.
 
yan kwa mara ya kwanza nimeumizwa na comment ya mtu jf..duh
Unafaa sana dia. Ila mkuu hapo kakosea kumpondea kimbau mbau. Ndo namwambia kila mtu na hisia azke za muonekano wa mtu. Sio unapondea upande 1 na mwingine hasemi.
 
kweli hii ndo mwisho.....mtu anatamani kila kitu.
sijawahi hata siku moja, hata kuwaza tu kuwa ningekuwa dume, sembuse kutamani mwanamke? hii ni ajabu sana

Wengine wanazaliwa na hisia hizo, tunawaweka kundi gani? inawezekana mtoa mada naye yupo kwenye hilo kundi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom