Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

kwangu mimi mwanamke yeyote ni mzuri na wote wanathamani sawa haijalishi mrefu au mfupu, membamba au mnene. ama mweupe au mweusi.
mara zote huwa naamini mungu alivyokuumba ndo alivyokusudia na hupaswi kufikiri otherwise, na mungu alipotuumba alifanya fair kwa kukupa hiki na kukunyima kile, < if you know wat i mean>
 
VanessaMdee.jpg

Hana tiGo niipendayo so my points goes to 4/10
 
asante.
anyways..watu tunatofautiana..[
ni changamoto piaQUOTE=sakapal;6676441]pole sana wazoee tuu na commets zao[/QUOTE]
 
Maisha magumu kama kiuno cha vanessa mdee
 
hivi ilikuwaje huu wimbo ukapewa tuzo ya video bora ya mwaka kwenye kili music awards kikwetu kwetu??
poor video aisee ingawa they are beautiful lkn video mmh!!

Mi pia nilishangaa sana, tena plus hii poor recording to kabisaaa!

Mi hata huo ucute wake sijauona kwa kweli. Wadada sijui mnaangaliaje? kumbe nilikuwa sahihi nilipowakatalia dada zangu khs pendekezo lao la mwanamke waliyekuwa wanataka nioe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom