Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me N You {Official Video} - YouTube
Yaani ile kusema ukweli ningekuwa mwanume mimi sakapal wallah kwa jinsi yoyote ile ningemuoa huyu binti wa kwenye hii video, amenikosha jinsi alivyo hasa hapo anapoonekana yuko kama kwenye chumba cha gym amekalia huo mpira wa mazoezi na pale anapoenda kucheza kwenye kioo mie hoi, mavazi yake pia na alivo ukichanganya na sauti ndo kabisaa to my eyes and brain bila bange wala mawaa she is cute na kwangu amepita labda angenikataa yeye.
Always
sakapal
Peace & Love.
I am Vanessa Mdee. - YouTube
sauti yake sasa anavotabasamu, jamani its only to my eyes and not to everyone nimempenda bure huyu binti.