Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

Kongosho hapo kwenye redi
hatimaye nimeelewa who are u
asante japo najua halikuwa lengo lako.
Kweli watu tuna ladha tofauti
Mie wa hivi hata hainyanyuki kabisa, hamna hata nyama za kushika?? No no no no.
 
Last edited by a moderator:
nadhani ingetosha kumsifia kuwa unamwona beautiful, ninachoshangaa ni hicho cha kutamani kuwa mwanaume ili uwe naye
hahahaahahah twin wangu FP hii ndio dunia ati huyuhuyu anadai atampataje obama akija bongo apate hata kambegu chake huyu huyu ana sema ana mumewe anamfanyaga mpaka miguu haikutani huyuhuyu anasema angekewa mwanamke angemuoa huyo mdeeee hii ndio sodoma na gomora nashangaa watu wanasubiri nyingine utakapoona dunia imefunikwa juu chini usijulize mara mbili ndio kwisha umenionea wapi yule twin wetu mwingine pmoses95 jamani nimemmsi sana
 
kweli hii ndo mwisho.....mtu anatamani kila kitu.
sijawahi hata siku moja, hata kuwaza tu kuwa ningekuwa dume, sembuse kutamani mwanamke? hii ni ajabu sana
 
Huyu nae alisema hivyo hivyo hivyo......

images
Inaonesha huyo ameshachoka kuishi na mti usiozaa matunda. Inavyoonesha yupo tu kwa ajili ya mafao, Jide akifilisika tu maumivu.
 
Ukiondoa saloon na mbwembwe zake wa kawaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiida kabisa.......Nimetumia uwezo wa macho yangu.
 
He he he, watu tuna tofautiana kuwazana bana
Sometimes it's just for fun na si vinginevyo

Yaani Kongosho umenifurahisha sana ungekuwa unapata moja moto moja baridi aka maji ya dhahabu au mvinyo uliotiwa chachu wallah mchana huu popote ulipo ningekuagizia lunch take away na mtungi mzima ushinde nao hadi jioni. Nimekupenda bure, pokea like zangu 1,000.
 
Point iko hapo tu

Kwani mapenzi ni minyama au?? Kila mtu na ladha yake. Wewe hujamuona mdee uzur wake bas wenzio wapo wengi walioona na kupagawa. Ila wewe ukimuona tipwa tipwa kama ASHA BOKO bas SAWA dondosha mimate na simamisha mnala wako airtel.
 
Vipi kama yeye ndio hana rutuba, huo mti utazaaje????????????????????????????
Mkuu kama umefuatilia historia ya hao maselebriti, Jide alimkuta huyo jamaa ana mwanamke na mtoto mmoja, na Jide mwenyewe alikubali kumlea huyo mtoto kama wa kwake baada wa wazazi wake kutengana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom