Ningekuwa Kikwete ningekimbia Nchi

Ningekuwa Kikwete ningekimbia Nchi

Badilisha kichwa cha habari chako kikwete ni jina tu wako wengi kule msoga ungeanza na Rais kikwete ili tujue kwamba ndiye yule tuliyemchagua kwenye sanduku la kura

Ni bora wale waliopo Msoga kuliko huyu.....
 
Huyo Kikwete amewekwa na wananchi sasa unapomshauri akimbie nchi sielewi unamaanisha nini. Unaweza kufanya vizuri kama utawashauri wananchi wasiichague tena CCM 2015.

hata nguvumali ni mwananchi pia.
mwita25 kifungo kiliishaishaje.
 
mi nimepata kaulaji ndani ya serikali ya muungano sioni kama kuna haja ya kumtaka huyu dakt akimbie,mh nimeonja utamu wa serikali na nikaona hakuna kama serikali ya jk maana kanafasi nilikokapata kanaruhusu kupata visenti vya kutosha tu kutoka kwa wawezeshaji,raia.

Shame on you!
 
Eti anasema anataka afuate nyayo za Gadafi, haendi popote mpaka kieleweke, na hamna cha katiba mpya sana sana katiba itafanyiwa marekebisho ili aendelee kutawala. Lakini ole wake watanzania wa sasa siyo wale wa mwaka 47.
 
Naogopa inchi ikificha 2015 TUTAKUA KABURINI MAANA nasikia hata humu ICU tulimo leo madaktari wanaweza kuzima mashine za oxgen.
kufikia jana NBS bado walikua na takwimu za
mfumuko wa uchi wa 16% hapo ni baada ya kuchakachua price indeces
.
Mbona Balali alipoona mambo yamemzidi nguvu akala chimbo kisha hakurudi tena, ni ushauri tu.

Hapo kwenye bluu, hapo. Punguza jazba, utaeleweka tu.
 
Huyo Kikwete amewekwa na wananchi sasa unapomshauri akimbie nchi sielewi unamaanisha nini. Unaweza kufanya vizuri kama utawashauri wananchi wasiichague tena CCM 2015.

Palikuwepo vitendo vya kihuni kwenye uchaguzi wa 2010 na haikujulikana kama alichaguliwa na wananchi au NEC/TISS/Police. Jibu wanalo wenyewe wahuni
 
Clearly Nchi imemshinda, anaonekana kuhaha, hana maamuzi, hajui cha kufanya, kiujumla nchi imemshinda kabisa, ni aibu kubwa kwa rais wa nchi kama Tanzania kukosa maamuzi, inatia kichefuchefu.

KIPIMO CHANGU CHA NCHI KUMSHINDA:

1. Huyu bwana hajui hata yanayoendelea ndani ya serikali yake:

Kipindi flani mwaka huu, akihutibia wananchi katika viwanja vya jangwani, akiwemo mama Tibaijuka, alipiga kelele kuhusu ujenzi wa uzio wa mabati katika ujanja huo, akamuagiza mama tibaijuka kuwaondoa hao "jamaa, wanaojenga hapo mara moja" maana uwanja wa jangwani ni sehemu ya wazi inayotakiwa kuhifadhiwa. Chaa jabu kabisa, huo ulikua ni ujenzi wa kituo cha mradi wa mabasi yaen dayo kwa kasi.

Aibu kubwa zaidi, hivi majuzi mwaka huu yeye mwenyewe akaenda kufungua mdari huo wa mabasi yaendayo kwa kasi..aibu gani hii..

Inamaana waziri wa ujenzi, na waziri wa ardhi hawakumpa mzee taarifa kuhusu ujenzi huo hapo jangwani??

Kikwete hakuona umuhimu wa kuuliza kabla ya kuota maamuzi??? Inamaana Rais anaweza kwenda mahali asiwe na taarifa muhimu kuhusu eneo analokwenda??

Huu udhaifu na aibu kubwa kama hii, imetokana na nani??? UONGOZI wake ama watendaji wake????

Kwa hili ni kupimo tosha kuwa kikwete , hii nchi imemshinda, hajui afanyalo, jiuzulu tu baba, upishe tufanye uchaguzi.
 
Kwa maoni yangu nakuunga mkono ! Vinginevyo taifa litasambaratika kwa udini na upendeleo wa wazi kwa watoto wa vigogo serikalini!
 
Watanzania wanapiga kura kura kama vipofu, halafu wanalalama kama vichaa! (Generali Ulimwengu 2011).
 
Clearly Nchi imemshinda, anaonekana kuhaha, hana maamuzi, hajui cha kufanya, kiujumla nchi imemshinda kabisa, ni aibu kubwa kwa rais wa nchi kama Tanzania kukosa maamuzi, inatia kichefuchefu.

KIPIMO CHANGU CHA NCHI KUMSHINDA:

1. Huyu bwana hajui hata yanayoendelea ndani ya serikali yake:

Kipindi flani mwaka huu, akihutibia wananchi katika viwanja vya jangwani, akiwemo mama Tibaijuka, alipiga kelele kuhusu ujenzi wa uzio wa mabati katika ujanja huo, akamuagiza mama tibaijuka kuwaondoa hao "jamaa, wanaojenga hapo mara moja" maana uwanja wa jangwani ni sehemu ya wazi inayotakiwa kuhifadhiwa. Chaa jabu kabisa, huo ulikua ni ujenzi wa kituo cha mradi wa mabasi yaen dayo kwa kasi.

Aibu kubwa zaidi, hivi majuzi mwaka huu yeye mwenyewe akaenda kufungua mdari huo wa mabasi yaendayo kwa kasi..aibu gani hii..

Inamaana waziri wa ujenzi, na waziri wa ardhi hawakumpa mzee taarifa kuhusu ujenzi huo hapo jangwani??

Kikwete hakuona umuhimu wa kuuliza kabla ya kuota maamuzi??? Inamaana Rais anaweza kwenda mahali asiwe na taarifa muhimu kuhusu eneo analokwenda??

Huu udhaifu na aibu kubwa kama hii, imetokana na nani??? UONGOZI wake ama watendaji wake????

Kwa hili ni kupimo tosha kuwa kikwete , hii nchi imemshinda, hajui afanyalo, jiuzulu tu baba, upishe tufanye uchaguzi.

Hii ni allegation ya kitoto sana kumtamkia Rais eti ajiuzulu. Yaani kweli unaweza kusimama mbele za watu kusema Rais ajiuzulu kwa kuwa alikosea kutoa agizo la kawaida kama hilo? Hata mimi ningekuwa Rais nikaona huo ukuta, na asiwepo immediate person wa kunambia kama pale panaendelea nini lazima ningeagiza uvunjwe.

Rais kwa kutambua kwamba lile ni eneo la wazi alitumia mamlaka yake kuagiza uvunjwe kwa kuwa hukuwa informed kama kilichojengwa pale ni nini? Sioni hoja ya msingi katika hili.

Leta hoja zenye maana. Kikwete ana mapungufu mengi sana ya kwake binafsi, lakini hili si la msingi kabisa kumfanya mtu ajiuzuru. Yaani ajiuzuru kwa ajili ya ukuta ilihali hata waziri tu hakujiuzuru mabomu yalipolipuka na kuua watu?
 
Arusha alifungua hotel amabyo shemu na ujenzi wake ilikuwa katk eneo la barabara.Kesho yake ikabomolewa.Huwa akienda sehemu kufungua vitu apendavyo basi panahitajika mtu wa kusema."somebody should tell him......"
 
Hii ni allegation ya kitoto sana kumtamkia Rais eti ajiuzulu. Yaani kweli unaweza kusimama mbele za watu kusema Rais ajiuzulu kwa kuwa alikosea kutoa agizo la kawaida kama hilo? Hata mimi ningekuwa Rais nikaona huo ukuta, na asiwepo immediate person wa kunambia kama pale panaendelea nini lazima ningeagiza uvunjwe.

Rais kwa kutambua kwamba lile ni eneo la wazi alitumia mamlaka yake kuagiza uvunjwe kwa kuwa hukuwa informed kama kilichojengwa pale ni nini? Sioni hoja ya msingi katika hili.

Leta hoja zenye maana. Kikwete ana mapungufu mengi sana ya kwake binafsi, lakini hili si la msingi kabisa kumfanya mtu ajiuzuru. Yaani ajiuzuru kwa ajili ya ukuta ilihali hata waziri tu hakujiuzuru mabomu yalipolipuka na kuua watu?
Mkuu ukiona mpaka mtu ameamua kuandika hivyo ni kuwa ameshayasikia na kuyaona mengi kuhusu utendaji kazi wa raisi wetu.Huu bila shaka ni kama mfano mmoja tu wa udhaifu unaoongelewa na watanzania wengi.

Naamini mleta mada ametafakari mambo mengi na inawezekana hili la uzio hapo jangwani limeamsha hisia zake alizokuwa nazo tangu siku nyingi.

Mwisho na wewe kama unafuatilia vizuri utendaji kazi wa huyu mkuu wa nchi utakubaliana na mawazo ya wengi kuwa huyu bwana ana mapungufu kiutendaji.
 
Hii ni allegation ya kitoto sana kumtamkia Rais eti ajiuzulu. Yaani kweli unaweza kusimama mbele za watu kusema Rais ajiuzulu kwa kuwa alikosea kutoa agizo la kawaida kama hilo? Hata mimi ningekuwa Rais nikaona huo ukuta, na asiwepo immediate person wa kunambia kama pale panaendelea nini lazima ningeagiza uvunjwe.

Rais kwa kutambua kwamba lile ni eneo la wazi alitumia mamlaka yake kuagiza uvunjwe kwa kuwa hukuwa informed kama kilichojengwa pale ni nini? Sioni hoja ya msingi katika hili.

Leta hoja zenye maana. Kikwete ana mapungufu mengi sana ya kwake binafsi, lakini hili si la msingi kabisa kumfanya mtu ajiuzuru. Yaani ajiuzuru kwa ajili ya ukuta ilihali hata waziri tu hakujiuzuru mabomu yalipolipuka na kuua watu?

Nimekudharau sana Leo..
 
Tuliambiwa ni chaguo la Mungu na viongozi wetu wa dini na tukawaamini,nadhani tuanze kuwalaumu kwanza viongozi wetu wa dini waliotupotosha.
 
Back
Top Bottom