Bahati Risiki
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 530
- 93
Akimbie mara ya pili? Wewe ulishawahi kumwona raisi anaeacha nchi kwenye vita anaenda kukokotwa Canada au kubembea majuu? Huyu jamaa alishindwa na kukimbia siku nyingi ndiyo maana hakuna solution ya tatizo lolote lile. Angalia swala la madaktari. Je ni nini kilifanyika hapo isipokuwa vitisho, kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka? Angalia mgogoro wa waalimu. Kilifanyika nini cha maana? Angalia vita na vurugu za waislamu nchini. Raisi Dahifu ameweza kufanya nini? Je mauwaji ya Mwangosi na wengine wengi tu ni nini kimefanyika licha ya kusema "ni upepo tu utapita?"
Katika historia ya Tanzania hajawahi kutokea raisi aliyeitwa hadharani kwa jina DHAIFU na akakubali kwa kushindwa kutatua angalao tatizo moja. Ukiona waislamu wanatoka kwa nguvu zote kuchomea wenzao makanisa na raisi anaishia kuwachekea tu jua alishakimbia nyumba siku nyingi. Kilichobaki hapa ni kivuli kinasubiri tu 2015!