Ningekuwa Kikwete ningekimbia Nchi

Ningekuwa Kikwete ningekimbia Nchi

Hahahaaaa. Tanzania nakupenda lakini hali inavyopelekwa hivi sasa. Inatia shaka.
 
Kama rais wa Taifa lenye historia nzuri na ghafla limebadilika kuwa Nchi ya matabaka katika elimu, afya, wenye pesa na maskini. udini wa waziwazi, waislamu kuchoma makanisa, polisi kuua raia, viongozi kuwa wabinafsi na kupora mali za umma?
 
Anajisikia kutimiza ndoto yake ya kuifanya nchi ya kidini,analala vizuri na akili yake imefarijika.Yuko kijihad zaid
 
Ndio shida ya mtu kugombea urais bila ya kuwa na vision.Mtu unaulizwa kwanini tanzania ni maskini unabaki kutoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango!
 
ikifikia hatua hata wananchi wa kawaida kabisa wakaanza kuhoji uwezo wa Rais kiutendaji - basi hili tunaweza kulijumlisha kwenye list yetu ya yale MAJANGA YA KITAIFA.
 
hata utawala wa mzee mwinyi mlisema hivi hivi!
hatukumsema sisi ila ni baba wa taifa wakati anafanya majumuisho ya uongozi wa awamu ya pili na hatma ya Tanzania -- wakati anaongelea zile nyufa za taifa.
 
huyu ****** ni mdini sana, yaani nchi ikiongozwa na muislam anae enda chuo hata hajaanza chekechea madhara yake ndo haya!!!!
 
Huna tofauti na gazeti moja nimesoma jana linasema KAFURILA azikoromea nchi tajiri, sijui huyu mwandishi alikuwa anaota, lakini ndo taaluma yake iliishia hapo kufikiri kichwa cha kuandika. Hivi kweli Kafurila anaweza kuyakoromea mataifa tajiri. Nirudi kwako sasa hizo sababu ulizoandika hapo juu ndyo za kumkimbiza rais nchini?

Inaonekana hauna hata takwimu, hebu fuatilia kesi zilizoko mahakamani kuhusiana na ufisadi, nenda TRA upewe takwimu za jinsi tanzania inavyokusanya kodi ukilinganisha na nchi n yingine, tayari megawatt 100 zimeshaingia grid ya taifa kama ulikuwa hujui nakupa taarifa. Jakaya mbona mtamkumbuka tu na chuki binafsi zenu hizo.

Mmshukuru siku hizi mnalala milango wazi , hakuna ujambazi tena. Wale jamaa wameacha ujambazi sasa wanajifanya kuzama kwenye siasa. Huko nako watachemsha tu. JK komaa nao usichoke.

Kwenye msafara wa mamba na kenge huwa wamo! Kwenye safari hii ya mabadiliko watu kama nyie wapinzani hamwezi kukosekana ila 'the wind of change is unstoppable!'
 
Chezea amiri jeshi mkuu wewe akimbie? Alafu wale wa chini yake wafanyeje? Kwa ufupi kamanda wa kweli akimbii kambi.
 
Sina lakusema ila naamini atuta tawaliwa tena na raia muislamu hawanaga akili .
 
Sina lakusema ila naamini atuta tawaliwa tena na raisi mwisilamu
 
Ebwanae ulijuaje kuwa huyu jamaa ni masburi type? thehe thehe thehe. Unajua wee waache tu wasanii wao wale. Nilicheka sana siku nasikia sugu anachangia bungeni yaani badala ya aibu yake nikawa naona naona aibu mimi na tv yangu home. Hivi watu wa Mbeya walifikiria nini wakaona anawafaa?. kwa chuki zao utashangaa wanasema wanamsimamisha kugombea urais mwaka 2015. Wakifanya hivyo narudisha kadi yangu ya kura tume manake sasa tutakuwa tunataniana

Chuki zao zipi? mbona unapenda ku generalise mambo! nyie watu wenye mawazo kama ya nterahamwe mkiachiwa na mawazo yenu mnaweza sababisha mauji ya halaiki.Ukisema watu wa Mbeya unamaanisha wooooote wanamwazo sawa? umefanya utafiti? au umekurupuka tu. chuki zao zipi hizo? wewe ndiyo unachuki nao!
 
NImetafakari mambo mengi sana ambayo nchi yetu imekuwa ikiyapitia,nchi inapita kwenye wakati mgumu hakuna wa kukemea na hakuna anayetoa kauli ya kutuunganisha watz bila kujali dini,kabila wala rangi,naweza kusema tumefika hapa leo tulipo kwa sababu ya udhaifu wa rais wetu,ni mtu wa mizaha asiyejali,mauaji ya watz wenzetu wasiokuwa na hatia,uharibifu na uchomaji wa makanisa unaofanywa na waislamu na kukaa kimya bila kusema lolote,hatuoni kujituma kwa kazi kwa rais wetu zaidi ya kuteua,kuapisha na kuhudhuria kwenye misiba.

Rais hafanyi ziara za mikoani kujua matatizo walioyo nayo watz badala yake amekuwa mtu wa kutalii nchi za watu,kuna mambo mawili ya msingi kwa rais la kwanza either akubali kujiuzulu ili apatikane mtz mwenye uwezo wa kutoongoza au akubali kubadilika,ajitume kwa dhati kufanya kazi mambo ya msingi, na pia rais wetu aache tabia ya kuzunguka kwa wapiga ramli amtegemee mola wake na atamwongoza kwenye mambo mengi tofauti na hapo kila kukicha,na kwa jinsi mambo yaliyvo hana wa kumlaumu ajialumu yeye kwa kuendekeza uzembe usiokuwa na tija,kupanga ni kuchagua.

Kwa hiyo bado ana nafasi ya kuchagua either kujiuzulu au akubali kubadilika...

nawasilisha
 
Halafu Mh. Kiwete amekuwa na bahati mbaya sana,alipata waziri mkuu mzuri sana mtendaji Mh EL lakini ndio hivyo kizuri hakidumu. Baadaye akapata waziri mkuu mwingine Mh. Pinda alianza na misimamo mizuri lakini baada ya muda mfupi akanywa maji ya magamba ikawa kwishney.

Mpaka sasa tuna mawaziri wawili nusu magamba wanakwenda vizuri tuwaombee kwa mola waendelee kurekebisha pale palipobomoka.
Mh. Magufuli anajaribu kuhakikisha mali za umma zinatumika sawasawa, ukiangalia kwenye barabara amekataa katakata kukabidhiwa barabara zilizo chini ya kiwango na kuamuru zirudiwe ujenzi. Pia juzi juzi nimemsikia akitoa tamko kuhusu matumizi mabaya ya magari ya umma.

Mh. Mwakyembe baada ya kugundua ana maadui wengi wanaaotaka kumtoa roho yake ameamua kuwajibika kivyake ili hata akiondoka duniani kabla ya siku alizopangiwa na mola tuweze kumkumbuka, ameamua kuimarisha usafiri wa treni nchini na hapa Dar ameanzisha usafiri wa treni kwa wananchi, hii itasaidia sana wanafunzi kuweza kufika mashuleni kwa wakati ambapo itapelekea watoto wetu kufika shule kwa wakati. Ikiwa walimu nao wataangaliwa kimaslahi nina imani taifa letu litaanza kujenga watu wenye elimu sio kama hivi tunavyoenda.
 
Akijiuzulu Kikwete, nani atavaa viatu vyake?
Nasikia yule babu mwenye wake watatu anatamani sana Muungano uvunjike, hivyo incase of anything itapigwa kadabra alkadabra ili asichukue nchi kuunusuru Muungano.
 
Back
Top Bottom