Ningejua nisingeoa maishani mwangu

Baba yako alichukua ubavu wa mwingine ndio maana ana juta mwombe Mungu akupe ubavu wako hautajuta kamwe hata kama zitakuwepo tofauti ni za kawaida tu.
 

Wazo zur mkuu.
 
woga wa maisha na mazingira vimechangia sana kuoa wanawake wa mjini(wasomi au kipato), matokeo yake wameishia kuwa busy makazini na kushindwa kutekeleza majukumu ya nyumbani na matokeo yako ndoa kufa na watoto kukosa malezi bora. Kijana tafuta medium educated, ikibidi stnd 7 komaa kutafuta sh uwekeze ili ule raha na mkeo. Hawa wa mjini tutaendelea kuwapiga one night stand mpaka wakome na wazeeke coz ujuaji umewazidi
 
Things are complicated, sio kila anachosema kiko sawa ni mengi tu uwa nina ya ignore
Halafu mkuu hakuwa ananipa ushauri ni kauli tu aliyosema katika mazungumzo lakini naona imeniaffect

dont say that omba mungu umpate mke mweka na we ujue maana ya ndoa
 

aiseeee,,,binti yako ukimsomesha akimaliza la saba ndo basi tena?
 
Multigenerational family therapy itakusaidia sana. Kama unapendelea kusoma hata kwenye internet jaribu kucheck na hiyo psychological therapy. Utajua maana ya genogram na differentiation of the self. Wewe sio baba yako. Wewe ni "wewe". Dont live the past and instead u have to learn to live the present.
 
Ndoa mbona nzuri tu ila kama ukimpata mwenye mahitaji ya ndoa i.e mke bora na si bora mke.Nimeoa sasa ni mwaka wa 3 furessssh kabisa ingawa kutopata mtoto mpaka sasa kunaninyong'onyesha sana mpakana nakinai tendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…