Kwa maneno mengine anasema uwepo wenu duniani (wewe na dada yako) haujamtia faraja kiasi kwamba bora msingezaliwa.
What kind of a father anayesema maneno kama hayo kwa wanawe. No wonder ugomvi hauishi na mkewe.
We unaishi nae aje sasa
ulikuwa unatafuta maid na si mke
hahhahah anatamani arudie ubachela cyoMi nilidhani unajuta kuoa warembo wamezid barabanii
Unataka kuzaa mtoto nje ya ndoa siyo! Halafu akalelewe kwenye box! Kama hutaki ndoa mtoto wa nini. Nyie ndo mnaongeza watoto mitaani.Habari za asubuhi wadau wa jukwaa hili.
Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.
Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.
Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.
Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.
Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakati mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.
Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote.
Nitasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa...
Dah Hivi bongo tuna hii kitu?hata mm ni muumini wake sio mkataba wa muungano tu!
Hapo sasa sijui kama watakupa jibukwani wanaume hampendi?
Wanaume ni 50-50, wapo wanaopenda, na vilevile wapo wasiopenda wala kutamani ndoa.kwani wanaume hampendi?
Nimeshampa jibu.Hapo sasa sijui kama watakupa jibu
Wanaume ni 50-50, wapo wanaopenda, na vilevile wapo wasiopenda wala kutamani ndoa.
Lakini hadi leo hii sijawahi kuona wala kusikia mwanamke asiyependa ndoa, sababu hasa ni nini?
Jamani sasa ili kuiboresha mmu na kuirudisha zama zake tujaribu kuweka filter kwenye ubongo, si kila kitu cha kuleta hapa, mambo mengine ukitumia sehemu ya akili ndogo tu aliyokupa Mungu unapata majibu wala huna haja ya kuleta hapa thread isiyo na kichwa wala miguu.
Unataka kuzaa mtoto nje ya ndoa siyo! Halafu akalelewe kwenye box! Kama hutaki ndoa mtoto wa nini. Nyie ndo mnaongeza watoto mitaani.