Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,419
Sawa umeongea ukweli lakini maneno makavu sana,sie dunia ya tatu tunaishi kijamaa sana.ndo maana misiba na maharusi inajaza watu wengu wakiwa hawana mahusiano yoyote ya karibu na wenye shuhuli husika.
Wewe kama hutaki acha
Mimi angekuwa sio hela ya ex ningempa
Nipe hoja muhimu kabisa ya kwenda Sae?
Una ndugu zako chungu nzima huendi kwao,wana shida huwasaidii,ila leo Mamdenyi wa JF kawa mtu muhimu sanaaaaaaa!
ngoja nirudie kusoma tena labda sijaona ulipoandika huu ugonjwa. BTW pole sana kwa kuuguliwa mkuuKama mnavyojua mahali penye ugonjwa mkubwa pia panahitajika hela ya matumizi mengineyo.
Unajuaje kama hua siendi kuwaona. Moyo wangu wa kuwatembelea ndg na jamaa zangu wenye shida ndo huo huo ulionituma nikamtembelee mgonjwa wa mwana JF mwenzetu
Asanteni kwa wote mlioguswa na ujumbe wangu huu;
Mungu awabariki tu jamani;
Kuna aliyeuliza kama nilishaingia mahusiano mengine, jibu ni hapana;
nilikuwa na changamoto kubwa ya kusomesha sikuweza tena kuanza mahusiano.
Yupo pia alieuliza why nimekosa nauli, hapa siwezi kusema sana ila kweli
hela ingekuwepo wala nisingekuja huku;
Naomba niweke tu namba yangu kwa ajili
ya hao wapendwa waliouliza huko juu 0755 557094.
Asanteni sana!
Simple mathematics,ulichosema ni uongo!
Tukichukua takwimu za wana ukoo wako,ni impossible kuwatembelea WOTE!Thats true!
Unajikakamua tu hapa kusema umeshawatembelea WOTE.Thats a lie.
Just be honest!Say it and own it up!
Huyu Mamdenyi unaenda kwake kwa ushabiki maandazi tu na sio kwamba umeguswaaaa sana(mtu anaguswa sana iwapo alishakua na nafasi maishani mwako kwa true human experience),na sio kwamba wewe ni important figure or friend in her life whatsoever!Unaenda kama mshabiki wake wa JF,na kufanya matembezi ya mshikamano tu.Nothing really sentimental at all!Humjui in person na hujawahi share nae life experiences as friends or anything,wewe unapenda maandishi na avatar yake labda!
Kwani kwa muda wote huo huna mtu unaembatana naye katika mahusiano?yeye naye anasemaje,katoa ruhusa uende au unataka utoke kiaina ili ukamuuguze huyo ex wako,maana atakuwa anajua in and out ya uhusiano wako na huyo mtu kabla yake yeye...
Simple mathematics,ulichosema ni uongo!
Tukichukua takwimu za wana ukoo wako,ni impossible kuwatembelea WOTE!Thats true!
Unajikakamua tu hapa kusema umeshawatembelea WOTE.Thats a lie.
Just be honest!Say it and own it up!
Huyu Mamdenyi unaenda kwake kwa ushabiki maandazi humu JF tu kama sie wengine wote na sio kwamba umeguswaaaa sana(mtu anaguswa sana iwapo alishakua na nafasi maishani mwako kwa true human experience),na sio kwamba wewe ni important figure or friend in her life whatsoever!Unaenda kama mshabiki wake wa JF,na kufanya matembezi ya mshikamano tu.Nothing really sentimental at all!Humjui in person na hujawahi share nae life experiences as friends or anything,wewe unapenda maandishi na avatar yake labda!
Huu ni mwezi wa Toba kwa sisi Wakatoliki (Kwaresma) Tunahimizwa kua na matendo ya huruma, kusali, kutubu na kuwatembelea wenye shida mbalimbali. Taarifa hii imenikuta nikiwa safarini na nikichukulia kazini natoka saa 10:30 baada ya hapo badala ya kwenda pub kufanya anasa naenda kuwatembelea wahitaji isitoshe hapa mbeya mm ni mgeni sina ndg
Sitakujibu sababu wewe ni mgeni JF na inabidi u log out sababu huijui JF.Kama mnafahamiana sana,mfatane huko DMs mpeane misaada.
Mmekuja hapa hadharani kwa minajili ya kuomba kwa jamii nzima!
Hii ni tabia mbaya sana!
Hizi makala za kuelezea mambo ya matatizo binafsi hadharaniiii ili kupata misaada is so so so awkward and irresponsible!
Sitakujibu sababu wewe ni mgeni JF na inabidi u log out sababu huijui JF.
Amesema yupo tangu miaka mingi lkn naona hana roho ya Ktz, huenda ni mzungu kwani haya ya kusaidiana sio utamaduni waoSitakujibu sababu wewe ni mgeni JF na inabidi u log out sababu huijui JF.
Wyatt Mathewson, unaonaje upotezee uwaachie wajinga waendelee na ujinga wao kuchangia ndg?
Je ukinyamaza utapungukiwa chochote?
Mzee acha ku-judge bila kufikiri!
Hii ni ID yangu ya pili!
Nipo JF tangu 2009!
Nothing you can lecture me on anything,on JF atleast!
Mtu unakuja JF kuomba msaada to some random people kwa kuandika makala?
Tujifunze ku-deal na emergency problems,wote yanatukuta kila siku,kila mtu akiandika humu server za JF zitatosha?
Heri hata uwe honest useme directly kabisa "naomba msaada yamenishinda",nilichoona ni shindano la kuandika insha yenye kuhuzunisha na majonzi zaidi watu waingie huruma,nothing more!
Hahahahaaaa
Ukiona mtu anajitangazia "utakatifu" namna hii hadharani basi huyu mtu anaweza kua hatari sana.Anaweza amka asubuhi bila aibu akawaambia wananchi eti kaongea na Yesu usiku,kamtuma kitu!Hahahaaaaa
Cha ajabu kabisa ni kututaarifu kua nyie hua mna "msimu maalumu" sana wa kutenda mema,badala ya kutenda yakupasayo siku 365.45 nyie mmetenga msimu maalumu kabisa eti wa kutenda mema!Ina maana opposite of that is equally true!
Ndio maana nakwambia unaenda kwa Mamdenyi sababu huna cha kufanya,na pia mshabiki wake maandazi kama tulivyo sisi wengine humu JF!Unaenda kwa Mamdenyi sababu ni "msimu" maalumu wa kutenda mema,ingekua msimu mwingine mkavu usingeenda!ALWAYS KUNA SABABU!Sisi wanadamu buana,hatukosi sanaa!
Hajalazimisha mtu amchangie, ni kwa atakayeguswa.....so pita kwa amani tu
Mbona povu sana mzee. ngoma yako nn