Ninapendwa mie

Ninapendwa mie

Mpende na wewe utapata raha zaidi
Yaan ni mwanaume wa pili kunipa raha humu wa kwanza Anaanza na sp......... Wa pili huyu Anaanza na Na. ............ Anajijua wengine wote hawajaweza
 
Spartacus? Anyway mapenzi yapo ili tuenjoy. Enjoy mama while it lasts.
 
Hahaha Najua mind yako unaelekezwa But jua spa na huyu wamenikonga nyoyo hakuna
Uwe na Siku njema,bye Uwe na Siku njema na maisha mema
 
Hahaha Najua mind yako unaelekezwa,
Uwe na Siku njema
Kuelekezwa? Ndio nini? Ndo maana nimekwambia awae yeyote enjoy the moment while it lasts. Hayo mengine ya kuelekezana siyajui
 
Plz sijaamua kutaja majina usinitajie ntataja mwenyewe nikitaka plz, bye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom