Ninapendwa mie

Ninapendwa mie

Hii whatsapp yako kiboko aisee..

kuna message imetumwa 8:52pm ila ipo juu ya missed call ya 8:51pm

Missed call ya 8:14 pm ipo chini ya missed call ya 8:51 pm. Unajua umenifanya mpaka nikaenda kuangalia simu yangu ila bado sijaelewa.
 
Na wewe unampenda kama anavyokupenda lakini? Maana kupendana ni raha zaidi ya kupendwa.
 
Hongera sana kwa kupendwa love! Hakuna kitu unajisikia raha kama kupendwa


Btw shemeji yupo humu au??? Kama yupo humu nina imani message sent and delivered
Utaishia kusifia wengine, ukija kustuka umeishakuwa sagura..
 
Na wewe unampenda kama anavyokupenda lakini? Maana kupendana ni raha zaidi ya kupendwa.
Ananipenda Kuzidi mimi nnavyompenda, care anazonipa Hakuna anaekupa mzigua nawish nimtaje umjue ili ujue sema nimemkuta hivyo naheshimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom