Ninapendwa mie

Ninapendwa mie

Kapeace Acha hata kama ananipa raha robo kwangu ni Kilo mia
Najua raha ya kupendwa mi mwnyw nipo nadekezwa tu huku full mburudiko ni kupandana non stop kucheza kucheka kulia sometimes km watoto vile km hivyo alivyokupigia na hutokei basi ananuna unambembeleza km mtoto anazira unajililisha aaaah game la hapo wacha tu
 
Nimedumbukia Siku nyingi Sijapata kitu kama hiki, acheni tu
Aisee yana raha yake ,sometimes unakuwa na amani,mawazo na stress zote zinaisha na hata kazi zinaenda vizuri,ukilala unalala kama mtoto huna habari
 
Umefurahi sio kwasababu unapendwa na huyo mwanaume, umefurahi coz unampenda huyo mwanaume hlf kakupigia na simu ndo basi matundu yote ya mwili yanakufunguka, huyo mwanaume ungekua humpendi hlf ndo kakupigia missed call zote ungekuja kutulalamikia huku jf mara oh ana kibamia, mara oh hana pesa, mara oh yupo desperate ananisumbua, huyu mwanaume hajiamini etccc Dinazarde
 
Hana kibamia, anajua kupenda ana roho ya upendo, anajua kujali
Baby wangu Nakupenda unajua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom