babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,425
- 3,300
Iko mbele nyumaSijaelewa hiyo flow ya muda kwenye missed calls aise...
Kisengerenyuma
Iko mbele nyumaSijaelewa hiyo flow ya muda kwenye missed calls aise...
Shule zimefungwaTulia akupige mimba uzae upauke ubaki singo maza ndo utajua kama anakupenda ama laa

Nakuja Mwanza kumusaidiaJamani napendwa mimi nnaringa kama mme wangu ananipenda hivi nahisi jf tunaimiliki sisi, Nakupenda we mwanaume unanipenda Sana, Acha niseme Hakuna mwanaume anaenipa faraja na furaha Kama wewe ,Najua Nishakuambia Kila kitu kuhusu mimi na mti wenye matunda ndio hupigwa mawe
Oneni hizi missed call
Napendwa mie Kwa mara ya pili napendwa naupokea upendo baba Kwa mikono miwili
Nakupenda sana![]()
kapeace
Abeekapeace
ikivuma sana.. hukaribia kupasuka. jiandae kuliaJamani napendwa mimi nnaringa kama mme wangu ananipenda hivi nahisi jf tunaimiliki sisi, Nakupenda we mwanaume unanipenda Sana, Acha niseme Hakuna mwanaume anaenipa faraja na furaha Kama wewe ,Najua Nishakuambia Kila kitu kuhusu mimi na mti wenye matunda ndio hupigwa mawe
Oneni hizi missed call
Napendwa mie Kwa mara ya pili napendwa naupokea upendo baba Kwa mikono miwili
Nakupenda sana![]()
mi nakupenda! Ila sijakuona !!!Hongera sana kwa kupendwa love! Hakuna kitu unajisikia raha kama kupendwa
Btw shemeji yupo humu au??? Kama yupo humu nina imani message sent and delivered
Asante kwa kunipendami nakupenda! Ila sijakuona !!!
Acha ukipendwa na mwanaume anaejielewa utaona dunia yako maisha yenyewe mafupi haya kama mtu anaona wivu avumilie tu atapendwaShoti pambana na huba lako...!usikatishwe moyo na wenye wivu!!Ukishikwa shikilia tu kwa raha zako lol..
Mie enyewe hapa mapenz yamenilevya hata mbele sioni..hahaaaa kupendwa raha sana jomoni!!!
Bila shaka atakuwa ni Gudume....Yupo humu anasoma
Acha tu nimpendee Hakuna kama yeye