Ninapendwa mie

Ninapendwa mie

Mkuu acha tu,...cha msingi huyo anayemdatisha mwenzake awe real ,aisee kama ni fake halafu akadatisha hivo mbona Dinazarde tutamkosa JF
Haiwezekani aisee ,amini Nakuambia Nna roho ngumu mimi Hakuna utaniona milele kama sijakufa
 
Jamani napendwa mimi nnaringa kama mme wangu ananipenda hivi nahisi jf tunaimiliki sisi, Nakupenda we mwanaume unanipenda Sana, Acha niseme Hakuna mwanaume anaenipa faraja na furaha Kama wewe ,Najua Nishakuambia Kila kitu kuhusu mimi na mti wenye matunda ndio hupigwa mawe
Oneni hizi missed call
Napendwa mie Kwa mara ya pili napendwa naupokea upendo baba Kwa mikono miwili
Nakupenda sana
c81434f4b5b22f31c3e639a39b74ccb6.jpg

Hii whatsapp yako kiboko aisee..

kuna message imetumwa 8:52pm ila ipo juu ya missed call ya 8:51pm

Missed call ya 8:14 pm ipo chini ya missed call ya 8:51 pm. Unajua umenifanya mpaka nikaenda kuangalia simu yangu ila bado sijaelewa.
 
Dadeki missed calls tu hapo yaani unaona kama chupi inakubana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom