Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,289
- 4,648
- Thread starter
-
- #101
Hivyo nilishaacha... nilijiunga ili nipunguze kilo na zikapungua kweliπππ nshapata kilo nizitakazo nmeachana nayo dearUtakuwa na michezo na marejesho mengi ya vikobaπππ
Umeiona mbele wapi jamani?Kama Mungu kwanza mbona pesa umeweka mbele
Sawa mbeba maonoMama Pretty unaelekea kubaya.
Mbona mi napenda kawaida tu kama wengineo na sjawahi kufikiria kufanya mambo ya hovyo...Hakuna mtu ambaye hatamani pesa ila tu tumezidiana kwenye kutamani wapo wengine ni wa kuwango Cha high level, middle level na lower level ila kwa upande wako naona ni wa high level hii ni mbaya Sana maana Unaweza kujikuta unafanya mambo ya ovyo tu kutokana na msukumo wa kuhitaji ankara
ππππMarejesho ni diet tosha kabisaHivyo nilishaacha... nilijiunga ili nipunguze kilo na zikapungua kweliπππ nshapata kilo nizitakazo nmeachana nayo dear
Wallah!Hakika pesa sabuni ya roho.
Mimba haiokotwi.. inatafutwa hata pesa hivyo hivyo ....umeona vyema...Vyote vinatafutwa ... Ungekuwa bize kutafuta hela kwanza mana mimba ht Kona ya pili hapo ungeokota
Kweli vile...ππππMarejesho ni diet tosha kabisa
Mkuu nakuona unavyotengeneza waraka hapo[emoji1787][emoji1787]Yangu ni furaha kukuona mwaa
Huna akili wewe comments ya kipumbavu kabisa.Mimi kwenye tigo tu naweza kukupa hadi dollars elfu 25 ila uwe nachura tu
Tarehe hizi utacheka sanaaaa.Mental illness is real π
Unaonekana Unatype Sana makimba eehMimba haiokotwi.. inatafutwa hata pesa hivyo hivyo ....umeona vyema...
Ila kila nkitaka kutype mimba kidole kinakimbilia kwenye 'k' kimbaπππππππ
Huko kuchanganyikiwa ndio panapoanzia hapo hapo kuwa Makini bibieMbona mi napenda kawaida tu kama wengineo na sjawahi kufikiria kufanya mambo ya hovyo...
Huwa naamini kama ipo ipo tu na kama haipo basi.. japokuwa nachanganyikiwa kidogo πππ
Hapana kipenzi sifokei watoto wazuriπππTarehe hizi utacheka sanaaaa.
Ngoja ipite wiki uje utufokee.
Utaanza na mimi?
Walaaa kidole tu kinateleza...Unaonekana Unatype Sana makimba eeh
Sawa ntakua makiniHuko kuchanganyikiwa ndio panapoanzia hapo hapo kuwa Makini bibie