Ninapenda pesa

Labda ndio wanaita midlife crisis sijui.

Mkuu, ukikosa pesa chezea dyudyu walau stress levels zinapungua kidogo
Hata nichezee nini hainipunguzii machungu mpaka nizipate😂😂😂
 
Wew hupendi pesa ila unatamaa na pesa kwanin ukikosa pesa unawafokea watoto kwani watoto ndio wamekunyima pesa mtu Kam wew sio wakumpa Dili la pesa
Sababu ukipewa Dili la pesa utaleta tamaa
Na watu wakigundua unatamaa watakua hawakupi Dili za pesa mwisho wa siku utakosa kabisa pesa
 
Wewe hutamani pesa?
 
Watu kama nyinyi mnaopenda sana pesa, huwa mnakuwa ni watu poa na waelewa sana kwenye baadhi ya mambo! Yaani mara nyingi huwa hamna mambo mengi. Aisee ubarikiwe sana.
 
kama unapata furaha yako kwa kupenda pesa ni vizur uzipende zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…