Ninaomba ushauri kwa haya mapendekezo ya 200M

Chief wekeza kwenye real estate hio pesa faida yake utafanywa vurugu zote mjini na mtaji upo pale utajenga nyumba,utanunua usafiri,utafungua zipu na chupa za bia na ofisi still inatembea huku ukifungua KILA aina ya biashara uitakayo.
Real estate haina hasara Wala pressure we ni kula tu pesa zinaingia.
Hio 200 inazaa bilioni moja kwa mwaka.
Real estate ndo biashara gani
 
Habari wakuu nisiwachoshe naombeni ushauri kwa mpangilio huu nilio upanga baada ya kulipwa pesa zangu nilizo fwatilia kwa mda mrefu kiasi cha shilingi 200M.
Nimepanga kama ifuatavyo
1.40M kujenga nyumba ya ndoto zangu
2.40M nimeweka kwaajili ya kununua usafiri gari
3.20M kwajili ya matumizi binafsi ya hapa na pale
4.100M Biashara ambapo nimegawa kama ifuatavyo
1.30M nataka kufungua Pharmancy mkoani
2.20M wakala Mpesa, tigo, na bank
Then Hii 50M bado inahang hang sijaipatia nini cha kufanya naombeni ushauri na kuboresha wapi na wapi.
Unafilisika mkuu Yan huachi akiba ningekua mie ndio ww ml 100 ningeweka fixed ac ya miaka miwili hiyo ngine ningefanyia matumizi mengine
 
Tafuta Shamba maeneo ambayo tayari ni makazi au si mbali na makazi ya Shamba ambapo heka moja si chini ya milioni 10,au 20.Then unaenda ardhi unaisajili unagawa viwanja unavipa hati unaweka barabara za mitaa na mitaro ya maji unaweka mawe ya biconi KILA kiwanja,unaweka miundombinu ya maji unaweka nguzo za umeme kulingana na mpangilio wa viwanja,unasajili mtaa wako google wanakupa location then kwa heka moja unatoa viwanja 6 vikubwa KILA kiwanja kimoja unauza bei ya kununulia Shamba kama ni milioni 10 au 20 so kama ni 20 kwa heka moja unapata milioni 120 kwa heka 10 ni bilioni 1.2.
Ukitaka kuzivuna zaidi jenga na hard ware kabisa wanunue kwako vifaa vya ujenzi.
Malipo ni cash au kwa mwaka cash bei inapungua kwa mwaka bei inaongezeka.
Ukipata pesa sasa kanunue gari la milioni 200 jenga nyumba ya kisasa,kale bata ulaya.nk vurugu zote.
 
Chief wekeza kwenye real estate hio pesa faida yake utafanywa vurugu zote mjini na mtaji upo pale utajenga nyumba,utanunua usafiri,utafungua zipu na chupa za bia na ofisi still inatembea huku ukifungua KILA aina ya biashara uitakayo.
Real estate haina hasara Wala pressure we ni kula tu pesa zinaingia.
Hio 200 inazaa bilioni moja kwa mwaka.
Ki vipi faida ataingiza kwenye real estate
 
Dah...ukiungana na mm nakupeleka kwenye u billionaire chap. Fanya kunitimbia inbox!

Hio hela kwa kila mwezi unaweza kuzalisha sh mil 30 net; kwa mwaka unakunja sh mil 360 net
Id yenyewe ccm halafu unataka aje pm? Kwahiyo mmekubaliana na mama nyuki kuwa mtaanza kula kwelikweli?
 
Habari wakuu nisiwachoshe naombeni ushauri kwa mpangilio huu nilio upanga baada ya kulipwa pesa zangu nilizo fwatilia kwa mda mrefu kiasi cha shilingi 200M.
Nimepanga kama ifuatavyo
1.40M kujenga nyumba ya ndoto zangu
2.40M nimeweka kwaajili ya kununua usafiri gari
3.20M kwajili ya matumizi binafsi ya hapa na pale
4.100M Biashara ambapo nimegawa kama ifuatavyo
1.30M nataka kufungua Pharmancy mkoani
2.20M wakala Mpesa, tigo, na bank
Then Hii 50M bado inahang hang sijaipatia nini cha kufanya naombeni ushauri na kuboresha wapi na wapi.
Ulifanikiwa kupata zile gari za mizigo kama scania 30 ulizotaka zikupelekee mzigo Dar..
 
Chief wekeza kwenye real estate hio pesa faida yake utafanywa vurugu zote mjini na mtaji upo pale utajenga nyumba,utanunua usafiri,utafungua zipu na chupa za bia na ofisi still inatembea huku ukifungua KILA aina ya biashara uitakayo.
Real estate haina hasara Wala pressure we ni kula tu pesa zinaingia.
Hio 200 inazaa bilioni moja kwa mwaka.
Kwa style hii NHC wangekuwa number 1 kwenye gawio la serikali.
 
40mln nyumba ya ndoto zako?!! Labda useme tu 40mln unaziingiza kwenye ujenzi.

Gharama za ujenzi kwa Sasa ziko juu sana Mkuu,kuanzia cement hadi nyaya za umeme licha ya kua tuna viwanda vingi!!

Ila kama ujenzi tu wa nyumba sawa,toa neno ya ndoto yako!!
 
Kiwanja ninacho tayari na tofari 3000 za kuanzia
 
Back
Top Bottom