Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,454
Haya bwana kila la kheri 'Kamanda', hope utarudi salama.
Naufaham vizuri huu mtego, msije mkashangaa kusikia Lisu na Mnyika wamekufa mazoezini jeshini pindi watakapokwenda na wao.
Haya bwana kila la kheri 'Kamanda', hope utarudi salama.
Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.

Aaaaa, nilifikiri mwaka kama sisi.Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
Kwani huoni hiyo kamanda iko kwenye apostrophe, maana yake sio kamanda halisi ni placebo, mbona mnashindwa kuelewa.acha kudhalilisha jina "KAMANDA" wewe!
Mkuu Mkeshaji, "give a dog a bad name and hang it!", just wish him the best, and hope for the best that hell be the best!.Mkuu Pasco, si wote wanaobadilika positively.
Huyu Lameck Madelu, kwa akili zake ndio anaweza kutoka huko akiwa wa ovyo kabisa.
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Haya bwana kila la kheri 'Kamanda', hope utarudi salama.
wale wale, nimeshaeleza hiyo kamanda kwenye apostrophe inamaanisha nini.Huyo sio kamanda wewe. Ni kada tu wa ccm.
sikupi hongera mpaka utakapohitimu mafunzo na kupewa force number.Wana JF, salam!