Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Status
Not open for further replies.
Naomba huko ujifunze UTANZANIA na sio UCCM!!!

Kila lakheri kruta!
 
Mhhhh! Mkuu if this is true then there is no need for "Waheshimiwa" to be there for 3 weeks...Hivi kule kwa wajeda kungekuwa na nidhamu haya madudu ya Kagoda na Meremeta na baadhi ya wajeda kujihusisha na biashara ya meno ya tembo yangekuwepo kweli!?

Wewe inaelekea hulijui jeshi. Pale hata ukikaa masaa 12 tu unajifunza vitu kibao. Somo kuu huwa ni NIDHAMU kwa chain of command. .
 
Mhhhh! Mkuu if this is true then there is no need for "Waheshimiwa" to be there for 3 weeks...Hivi kule kwa wajeda kungekuwa na nidhamu haya madudu ya Kagoda na Meremeta na baadhi ya wajeda kujihusisha na biashara ya meno ya tembo yangekuwepo kweli!?

Tatizo ni kwamba sijui kitu kuhusu Kagoda wala Meremeta kwa hiyo siwezi kuzisemea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nyimbo.....nyimbo huwa ni burudani tosha huko....HONGERA
 
Hapa inatakiwa hata watumishi wa serikali ambao hawakupita jeshini wanatakiwa waende japo kwa miezi 3 tu inatosha! Hapa iwe bila kujali vitambi!
 
Wewe inaelekea hulijui jeshi. Pale hata ukikaa masaa 12 tu unajifunza vitu kibao. Somo kuu huwa ni NIDHAMU kwa chain of command. .

You gotta be serious mkuu. wiki 3..!??imekaa kisiasa zaidi
 
Ndugu Mwigulu Nchemba, nakutakia kila la heri ili mafunzo utakayopata huko yawe ni kwa manufaa kwako binafsi na Taifa hili sasa na hata baadae.
 
Mwigulu Nchemba

Ila punguza chuki na wale unaotofautiana nao kisiasa.
Siasa zako ni za chuki sana ni hatali kwa usitawi wa taifa letu, na huwa unashangaza kutwa kujivika skafu ya taifa ila unakuwa na roho mbaya kwa wtz wenzako kisa vyama.
Badilika lejea siasa zako za igunga na arumelu kuna watz wenzetu wamepoteza maisha huwa unajisikiaje?
wale walikuwa wanategemewa na w atu wangapi nyuma yao? We unakula bata tu leo unajifanya bonge la mzalendo.
 
Last edited by a moderator:
kama JKT inaongeza uzalendo basi mimi afadhali nisiende coz viongozi wote wanaotafuna nchi hii kwa ufisadi, kama mikataba mibovu, EPA, Richmond, Kuiba wanyama waliohai akiwemo mnyama wa Taifa Twiga, wamepita JKT. Mimi sitakwenda JKT. Naona Mwigulu unakwenda kuongeza mbinu na ujasiri za kuliibia taifa.
 
@ la heri. "Kuruti" msema hovyo,! Kajifunze uzalendo na nidhamu na c uccm na matusi na ushabiki ambavyo ndo vinadisplay image yako.
 
Wiki tatu, hayo ni mafunzo au warsha.......!mnalipwa au bure>?]
 
Mkuu Mwigulu Mchemba,

Kwanza hongera kwa ujasiri na kujitoa kwenda JKT ambayo naamini itakusaidia sana ku inject true sense in your little brain!. Mtu akiisoma CV yako, iko very impressive, inaonyesha you are a bright na brilliant young man, ila akikusikiliza when you talk shit!, you real looks like shit, and that puts me off!.

Hivyo sasa tumia fursa hii ya JKT, to learn humility ambayo ita inject a little sense in your little brain that has been missing all along na kuwa not little brain anymore but a big brain!, na ukitoka utajikuta sio tuu umebadilika, bali utaisaidia vizuri zaidi CCM sio tuu kushinda kwa kishindo uchaguzi wa 2015, bali pia CCM kushinda kwa haki!.

All the best!.

Pasco (wa jf).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom