Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Status
Not open for further replies.
Wanaenda kupoteza fedha zetu tu hawa kwenye hiyo SEMINA ya JKT wao wanaita mafunzo ya JKT.
 
Ngoja nikupe kisa kimoja ambacho KOPLO hawezi kusamehe KURUTA. (hii ni ya makutupola JKT)

Mimi Koplo Lukanga nikikusamehe wewe Kuruta wa Danger-coy itabidi kwanza afande x( Mkuu wa kombania) aitishe kikao cha dharura kwa nini nimekusamehe.

Hapo itashindikana, itabidi kesi iende kwa mkuu wa kikosi kwamba mimi Koplo nimekusamehe na kikao kitashindwa kuamua kwa hiyo kesi hiyo itaenda moja kwa moja kwa mkuu wa JKT dar es salaam.

Huko nako kesi hiyo takuwa ngumu sana, ibadili afande (mkuu wa JKT) aitishe kikao cha dharura ili kujadili suala hili - itashindikana ndipo atachukua uamuzi wa kumwandikia Waziri wa ulinzi.

Waziri wa ulinzi naye ataitisha kikao cha makamanda pamoja na katibu mkuu wa wizara, hapo pia itashindikana na sasa suala hili litaenda bungeni kama hoja binafsi ya serikali toka kwa waziri wa ulinzi.

Bunge litajadili na itashindikana kupata uamuzi, kwa hiyo sasa kitakachofuata ni Rais wa nchi kuvunja Bunge na turudie uchaguzi Upya

-- YAANI YOTE HAYA KWA SABABU YAKO KURUTAA!!!! Haiwezekani kabisa
Chini -- chini -- chinii -- Juuu -- juuu pale utapiga pushapu kama 50 hivi ukisimama unaona blue blue...
baada ya DK mbili hivi unapewa msosi umalize fasta fasta... aisee lazima urudishe chenji na kukumbuka home.

Mkuu umenifurahisha.
 
Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu

Khaaaaaaaa! JKT gani hiyo ya isiyozidi miezi 3? Hapo mnaenda kutalii tu. Utamu wa ni JKT kuanzia miezi 6!
 
Chadema watapata muda wa kupumzika sasa.Manake kila kona unawakaba
 
Afadhali,yamkini ukirudi utakuwa mzalendo kwa nchi yako,hutawasuport wanaoua tembo
tembo wetu na mafisadi"
 
You gotta be serious mkuu. wiki 3..!??imekaa kisiasa zaidi

Nenda kwenye kambi yoyote ya jeshi. Kasimame nje ya geti, wala usiingie ndani, wewe simama tu nje karibu na geti la kuingia kambini kwa nusu saa. Halafu njoo utuambie kama hujajifunza kitu.
 
Mdogo wangu anaenda JKT Musoma, ole wako Mwigulu Nchemba umguse. Hata panya hatapona huko kwako!
 
unategemea ukitoka huko utakuwa umejifunza nini?wanaotuibia sasa ni hao waliotoka na kupitia JKT!!!!
 
Duh! JKT wiki tatu!! What a joke?? Kisiasa hili lawezekana, kitaalamu it is questionable!
 
Wana JF, salam!

Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.

Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.

Good for your decission. unataka kuwa askari wa chama chako! green brigade hawatoshi sio. Nini malengo yako mengine zaidi ya hayo. utaweza ku-meet malengo hayo in thee weeks? kwa hulka yako I would advise no any to teach you any military skills. I guess they will detect the type you are and find out how to train you-all the best.
 
Ati wiki tatu? Kaka mwaenda kujifunza ama kutalii? Enewei kila la kheri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom