Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Status
Not open for further replies.
...mimi ombi langu ni moja tu Ndugu Mwigulu...huko utakutana na vijana wengine, na haswa hawa wabichi toka shuleni...PLEASE, naomba uwahubirie kwamba NGONO ZEMBE ni hatari kwa afya zao, tunawategemea kama TAIFA la LEO, si kesho!!!

....afu angalia usimtukane AFENDI...teh teh teh, hapa natania tu mjomba!!!
 
Wana JF, salam!

Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.

Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.

Siyo kweli Bw Mwigulu kuwa unafanya hivyo kwa ajili ya uliyotaja (hapo pekundu) ila unafanya kwa mujibu wa sheria ya mwaka 1964 kifungu Na. 5F
 
Hongera mkuu.
Ila kampeni hii imekaa kibaguzi sana aise.
Huku mitaani kuna watu ambao hawakupitia mafunzo ya kijeshi sasa wana hamu ya kua miongoni mwa jeshi la akiba lakini hawajui wapi waanzie,by the way hongera sana na ukirudi salama usisite kutujuza.

Nafasi ni chache mkuu..Ni lazima kuanzia somewhere..Na katika process wapo watakao pata upendeleo..Mwenye nacho huongezewa
 
Who cares kama siasa zenyewe unazozifanya ni za kisanii?? I hope ni dhamira yako mwenyewe ndiyo imekusukuma, sasa sijui ukirudi utaitwa nani....kuruta first class..!!
 
Wana jf salam!

Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU. Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu /tuition hii ya bure itowayo elimu ya maisha ie jf.
Hongera bw Lameck, ushauri wangu kwako japo cku za nyuma niliwahi kukwambia cpendezwi na aina ya saisa uzifanyazo, naamini ulijaribu kutafakari na kuona mapungufu fulani ktk siasa zako sasa nakushauri kupitia hiyo fulsa hadhimu jaribu kubadilika na kuwa mzalendo wa kweli wa nchi na c wachama pambana kuitetea nchi chukia ufisadi ambao chama chako ndio kimekuwa mama wa ufisadi epuka kupinga hoja za zamsingi na za kweli eti kwakuwa zimetolewa na upinzani hasa chadema na NCCR.tanguliza maslahi ya nchi na wananchi na c ya chama ambacho kwa hakika unatambua mapungufu madhambi na madhahifu yake.mwisho kama kweli umed dhamiria mafunzo ya JKT yatakufanya uwe c mwigulu yule wa siasa za chuki ghiriba matusi na dharau bali mwigulu mwenye siasa za kuheshimaiana kujenga hoja kuvumilia na kutetea nchi kwa maslai ya wote,asante na nakutakia mafunzo mema Mungu awakulinde na kuwatunza wewe na wote mtakaohudhuria mafunzo hayo.
 
ni miezi sita mkuu...jiandae kiakili kwa hilo na si 3weeks to 3months kama unavyodhani...so familia ikadirie matumizi ya 6months....kila la heri..huko ndo makamanda wa kweli watajulikana si tu watu wanaamua kuvaa magwanda ya mgambo halafu wanajiita makamanda while hata SAR au RIFLE hawajui kutumia...wanajua kutumia vibastola tu vya kike
ALL THE WELL COMRADE....nape naye anakwenda?
Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
 
Hongera bw Lameck, ushauri wangu kwako japo cku za nyuma niliwahi kukwambia cpendezwi na aina ya saisa uzifanyazo, naamini ulijaribu kutafakari na kuona mapungufu fulani ktk siasa zako sasa nakushauri kupitia hiyo fulsa hadhimu jaribu kubadilika na kuwa mzalendo wa kweli wa nchi na c wachama pambana kuitetea nchi chukia ufisadi ambao chama chako ndio kimekuwa mama wa ufisadi epuka kupinga hoja za zamsingi na za kweli eti kwakuwa zimetolewa na upinzani hasa chadema na NCCR.tanguliza maslahi ya nchi na wananchi na c ya chama ambacho kwa hakika unatambua mapungufu madhambi na madhahifu yake.mwisho kama kweli umed dhamiria mafunzo ya JKT yatakufanya uwe c mwigulu yule wa siasa za chuki ghiriba matusi na dharau bali mwigulu mwenye siasa za kuheshimaiana kujenga hoja kuvumilia na kutetea nchi kwa maslai ya wote,asante na nakutakia mafunzo mema Mungu awakulinde na kuwatunza wewe na wote mtakaohudhuria mafunzo hayo.
 
Kwanza nikukumbushe kuwa wewe siyo kijana, PILI nenda JKT labda utaweza kufumbuliwa macho upate uzalendo ndo ufahamu kuwa CCM ni chama kisichotufaa hata kidogo ktk nchi hii na chapaswa kufutwa ktk ramani ya siasa. TATU labda utajifunza kuongea kwa hoja badala kutukana matusi yalokujaa mdomoni.

Lakini kubwa kuliko yote ni kuwa JASIRI HAACHI ASILI. Utabaki yule yule kwani mbwa mzee hawezi kufundishwa mbinu mpya!

kweli mwana, umempa live bila chenga huyu aliyenunua jina baada ya kufeli darasa la 7,
 
Wana JF, salam!

Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.

Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.

salam zao
 
aisee, very fine, nenda mwigulu ukapate mafundisho, natamani wasibadilishe mfumo waliotumia zamani, kwa wale waliopitia wanakumbuka mshikemshike wa kule, ukirudi kwenu kibri yote kwisha. ikiwa hivyo bila shaka utarudi na discpline
 
MUGUU PANDE! Bora ujiandae bwana Mwigulu,maanake 2015 itakuwa mchakamchaka tu.
 
Uzalendo sio kuvaa bendera ya taifa mwigulu labda ukienda hayo mafunzo unaweza kuongeza upeo wako wa kufikiri na utaacha kutumikia wezi na mafisadi wa nchi hii.kwa sasa bado huna uzalendo kwani unajua nchii ipo wapi akina nani wakulaumiwa na bado unajifanya hujui.kila la kheri.
 
Mbona mnatuseti ili tuwe na mategemeo makubwa kuhusu safari yenu lakini wiki tatu ni semina tu hazitoshi hata kuvaa combat.

Kiukweli hamkustahili kwenda kwani umri wenu umekwenda na kuna vijana wengi fursa hizo zingekuwa na maana zaidi na faida kubwa kuliko nyie wabunge ambao ni walafi na kila fursa mnataka iwanufaishe nyie kwanza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom