Mgm-
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 6,040
- 8,715
Sawa sawaMakongorosi kuna uchimbaji wa dhahabu na chunya yote kwa ujumla imebaeikiwa madini hayo na mzunguko wa hela ni mkubwa sana huko.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Sawa sawaMakongorosi kuna uchimbaji wa dhahabu na chunya yote kwa ujumla imebaeikiwa madini hayo na mzunguko wa hela ni mkubwa sana huko.
Ushauri kwa vijana! Oa mke wa saizi yako na sio hipsMaisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana iko hivi nlifunga ndoa tar 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nlishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani Kila kitu kimeparaganyika Sana yaani Kila nkifanya biashara napata hasara ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakua mambo yameyumba ugomvi hauishi chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii ( mke ni mfanyakazi) serikalini
Kubwa lililoniumiza nafsi ni maendeleo ya haraka haraka anayoyafanya mke wangu Ana Jenga nyumba ambayo me sijawahi Iona Wala kiwanja sijui kilipo! Nlijua baada ya kushinda nyumban siku moja na kuona diary yake yenye maelezo juu yatofali hell anazowapa mafundi na material ya ujenzi
Inapoelekea nyumba imefikia kwenye lenta
Kutokana na kuwa na hasira nlimpga ikawa ni kama nimeamsha yaliyolala alichofanya kiliniadhirisha Mara 2 ya nlivyokua mwanzoni
Naaandika nikiwa na uchungu mkubwa Sana na machozi yananitoka nahitaji kwenda mbali ambako nitaaanza upya nimwachie watoto vyombo na Kila kitu ninachomiliki hapa nitaondoka tu na pikipiki nguo pamoja na vyeti vyangu vya taaluma Nina stashahada ya ualimu kwa masomo ya geography na kiswahili kwa anayejua nnapoweza kuanza maisha nikiwa na amani anielekeze hata ikiwa kijijini ntashukuru
Nilipendelea Tunduma kwa kuwa Kuna mzunguko mkubwa was biashara kama nnavyosikia lakin kama mtu anaweza kunielekeza sehemu nyingine ntashukuru
Kitabu cha dini kimeandikwa na mwanaume mwenzio na kina makosa kibao tu kama wewe ni msomi mzuri na una akili timamu!!wewe omba aliemuumba akusaidie Maisha tu usijiegemeze kwenye dini fulani hizo ni program za wanaume wenzio za kupata kipato!!sawa mwanaume mwenzangu???Halafu ulifunga ndoa ya Nini kama unapata tendo la NDOA???!!Ndoa za kisasa ni mfumo jike wa kishetani tena wa kisheria wa kuondoa mamlaka ya viongozi wa kiasili wa kiume ambao tulipewa na muumba!!wakati hujafunga ndoa hiyo ya kishetani ya kikanisa ulikuwa unaishi nae vizuri kwasababu ulikuwa kiongozi halisi mwanaume wa sheria ya asili za ukaondoa mamlaka YAKO KWA kuleta sheria ya kishetani ya mfumo jike KWA kufunga ndoa ya kanisa la kishetani la kibabeli ambalo linaungana na serikali ya kidunia ndipo mamlaka YAKO yakatoweshwa na kuwa mtumwa kibarua wa nyumba YAKO mwenyewe!!USIFUNGE NDOA TAFUTA CHETI FEKI KWA MATUMIZI FULANI YA MDA MFUPI TU NA SIO NDOA KABISA KABISA HUKO NIKUUA MAMLAKA YAKO KIASILI YA UTAWALA!!FANYA UTAFITI MWENYEWE MAHUSIANO MENGI HUINGIA DOSARI BAADA YA KUFUNGA NDOA!!!Vitabu vya dini vinatuhitaji kufanya jambo ilo
Kwanini iwe makongorosi zidi ya tunduma? Natumaini kuna wazo positive ntapata toka kwakoKama upo mkoa wa Songwe nakushauri uende Makongorosi Chunya kuliko Tunduma.
Mkuu,mimi nawaambiaga watu kwamba mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana hawaelewi
Madini haya kaka andika kitabu mm nitakua wakwanza kununuaKitabu cha dini kimeandikwa na mwanaume mwenzio na kina makosa kibao tu kama wewe ni msomi mzuri na una akili timamu!!wewe omba aliemuumba akusaidie Maisha tu usijiegemeze kwenye dini fulani hizo ni program za wanaume wenzio za kupata kipato!!sawa mwanaume mwenzangu???Halafu ulifunga ndoa ya Nini kama unapata tendo la NDOA???!!Ndoa za kisasa ni mfumo jike wa kishetani tena wa kisheria wa kuondoa mamlaka ya viongozi wa kiasili wa kiume ambao tulipewa na muumba!!wakati hujafunga ndoa hiyo ya kishetani ya kikanisa ulikuwa unaishi nae vizuri kwasababu ulikuwa kiongozi halisi mwanaume wa sheria ya asili za ukaondoa mamlaka YAKO KWA kuleta sheria ya kishetani ya mfumo jike KWA kufunga ndoa ya kanisa la kishetani la kibabeli ambalo linaungana na serikali ya kidunia ndipo mamlaka YAKO yakatoweshwa na kuwa mtumwa kibarua wa nyumba YAKO mwenyewe!!USIFUNGE NDOA TAFUTA CHETI FEKI KWA MATUMIZI FULANI YA MDA MFUPI TU NA SIO NDOA KABISA KABISA HUKO NIKUUA MAMLAKA YAKO KIASILI YA UTAWALA!!FANYA UTAFITI MWENYEWE MAHUSIANO MENGI HUINGIA DOSARI BAADA YA KUFUNGA NDOA!!!
Muongo huyo mpuuzi[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu embu dadavua yaani mkeo kakutafutia watekaji???dah kweli sijaona yote duniani hapa
Pole sana Kaka, nadhani sasa unaendelea vizuri na mipango yako ilifanikiwaMaisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana iko hivi nlifunga ndoa tar 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nlishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani Kila kitu kimeparaganyika Sana yaani Kila nkifanya biashara napata hasara ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakua mambo yameyumba ugomvi hauishi chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii ( mke ni mfanyakazi) serikalini
Kubwa lililoniumiza nafsi ni maendeleo ya haraka haraka anayoyafanya mke wangu Ana Jenga nyumba ambayo me sijawahi Iona Wala kiwanja sijui kilipo! Nlijua baada ya kushinda nyumban siku moja na kuona diary yake yenye maelezo juu yatofali hell anazowapa mafundi na material ya ujenzi
Inapoelekea nyumba imefikia kwenye lenta
Kutokana na kuwa na hasira nlimpga ikawa ni kama nimeamsha yaliyolala alichofanya kiliniadhirisha Mara 2 ya nlivyokua mwanzoni
Naaandika nikiwa na uchungu mkubwa Sana na machozi yananitoka nahitaji kwenda mbali ambako nitaaanza upya nimwachie watoto vyombo na Kila kitu ninachomiliki hapa nitaondoka tu na pikipiki nguo pamoja na vyeti vyangu vya taaluma Nina stashahada ya ualimu kwa masomo ya geography na kiswahili kwa anayejua nnapoweza kuanza maisha nikiwa na amani anielekeze hata ikiwa kijijini ntashukuru
Nilipendelea Tunduma kwa kuwa Kuna mzunguko mkubwa was biashara kama nnavyosikia lakin kama mtu anaweza kunielekeza sehemu nyingine ntashukuru
"Pole kaka, ilaaa baada dhiki sio dhiki tena ni farajaMaisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana iko hivi nlifunga ndoa tar 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nlishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani Kila kitu kimeparaganyika Sana yaani Kila nkifanya biashara napata hasara ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakua mambo yameyumba ugomvi hauishi chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii ( mke ni mfanyakazi) serikalini
Kubwa lililoniumiza nafsi ni maendeleo ya haraka haraka anayoyafanya mke wangu Ana Jenga nyumba ambayo me sijawahi Iona Wala kiwanja sijui kilipo! Nlijua baada ya kushinda nyumban siku moja na kuona diary yake yenye maelezo juu yatofali hell anazowapa mafundi na material ya ujenzi
Inapoelekea nyumba imefikia kwenye lenta
Kutokana na kuwa na hasira nlimpga ikawa ni kama nimeamsha yaliyolala alichofanya kiliniadhirisha Mara 2 ya nlivyokua mwanzoni
Naaandika nikiwa na uchungu mkubwa Sana na machozi yananitoka nahitaji kwenda mbali ambako nitaaanza upya nimwachie watoto vyombo na Kila kitu ninachomiliki hapa nitaondoka tu na pikipiki nguo pamoja na vyeti vyangu vya taaluma Nina stashahada ya ualimu kwa masomo ya geography na kiswahili kwa anayejua nnapoweza kuanza maisha nikiwa na amani anielekeze hata ikiwa kijijini ntashukuru
Nilipendelea Tunduma kwa kuwa Kuna mzunguko mkubwa was biashara kama nnavyosikia lakin kama mtu anaweza kunielekeza sehemu nyingine ntashukuru
kufa ni matokeo ndugu[emoji106]Mkuu fanya kwanza test hamia wilaya au mitaa inayofuata ndani ya mkoa huo huo kapange chumba kwa muda kama una kazi nenda kazini kama kawaida fanya hivyo ndani ya miezi miwili kuhusu hom rud kama kawaida zuga kidogo tembea kaa wiki rudi tembea usimwambie kama umepanga huku unausoma mchezo ukifanya hivi utakuja nishukuru ila kama ww ni jobless zamia mkoa mwingine, kuna kipindi ndoa yangu ilikuwa ya moto nikasema isiwe kes nikavuta room kijijikingine ndani ya wilaya hiyo hiyo nikatulia ili kuwaza kwa kina nikaja gundua mimi na wife tulikuwa tumechokana hili lazima ulijue kwa kutest kwanza kubali kataa kwenye ndoa kuna kipindi kinaitwa "kuchokana" hiki ni kipindi kigumu sana kwa wanandoa nikwambie jambo hizo tabia alizonazo mkeo hazifiki hata robo nilizofanyiwa na wife mi nishawai kuletewa jamaa waniteke uzur wake karet nimeiva nikawafinya mpaka wakatoa siri kuna mengi mazito nishawai tiliwa sumu na mke wangu tena wa ndoa, usiombe mwanamke akuchoke utakubali shoo uzuri wake roho yangu ya paka napenda matatizo sana sehem isiyo na changamoto huwa siwezi kuishi,napenda changamoto ili ziniandae kiakili kufa ni matokeo ndugu yangu mwanaume hutakiwi kulia lia kaza tafuta buni kila njia utatue tatizo sio kukimbilia kuachana ni Amin broo hayo unayopitia natamani ningekuwa mimi hapo mbona yeye mwenyewe angekubali na hiyo nyumba mbona angenipa tena huku akiwa na amani, hebu fanya nilichokushauri hapo juu tafuta kwanza room ili ujipange kiakili unatumia mbinu ipi humo ndani huwez kujiongezea mtaishia kuuana mchezo hautaki hasira
Huu
Masumbwe sehemu gani kaka, mi hapo hapo..Pole sana kiongozi...njoo masumbwe geita utakuja kunishikuru badae
Kwamba mke akuwekee hadi sumu na bado unaishi nae, hatari sanaMkuu fanya kwanza test hamia wilaya au mitaa inayofuata ndani ya mkoa huo huo kapange chumba kwa muda kama una kazi nenda kazini kama kawaida fanya hivyo ndani ya miezi miwili kuhusu hom rud kama kawaida zuga kidogo tembea kaa wiki rudi tembea usimwambie kama umepanga huku unausoma mchezo ukifanya hivi utakuja nishukuru ila kama ww ni jobless zamia mkoa mwingine, kuna kipindi ndoa yangu ilikuwa ya moto nikasema isiwe kes nikavuta room kijijikingine ndani ya wilaya hiyo hiyo nikatulia ili kuwaza kwa kina nikaja gundua mimi na wife tulikuwa tumechokana hili lazima ulijue kwa kutest kwanza kubali kataa kwenye ndoa kuna kipindi kinaitwa "kuchokana" hiki ni kipindi kigumu sana kwa wanandoa nikwambie jambo hizo tabia alizonazo mkeo hazifiki hata robo nilizofanyiwa na wife mi nishawai kuletewa jamaa waniteke uzur wake karet nimeiva nikawafinya mpaka wakatoa siri kuna mengi mazito nishawai tiliwa sumu na mke wangu tena wa ndoa, usiombe mwanamke akuchoke utakubali shoo uzuri wake roho yangu ya paka napenda matatizo sana sehem isiyo na changamoto huwa siwezi kuishi,napenda changamoto ili ziniandae kiakili kufa ni matokeo ndugu yangu mwanaume hutakiwi kulia lia kaza tafuta buni kila njia utatue tatizo sio kukimbilia kuachana ni Amin broo hayo unayopitia natamani ningekuwa mimi hapo mbona yeye mwenyewe angekubali na hiyo nyumba mbona angenipa tena huku akiwa na amani, hebu fanya nilichokushauri hapo juu tafuta kwanza room ili ujipange kiakili unatumia mbinu ipi humo ndani huwez kujiongezea mtaishia kuuana mchezo hautaki hasira
Huu
We jamaa una moyo wa ajabu kuendelea kuishi na mwanamke kama huyo, mi nisingeweza aiseeAsante mkuu mke alizamilia wanile baada ya kuona kila kituko anachofanya nampuuza alikuwa akirudi usiku mi sina hata muda wa kuuliza nilimfuma na kidume hata sikujali nikamuacha akaniibia pesa ambazo niliweka kwaajili ya kumnunulia mother nyumba wala hata sikujali alipo ona haya yote hayatoshi siku narud hom toka kwenye mishe ghafla navamiwa nipo kwenye gari pekee yangu na taarifa ya kurudi kwangu si kumwambia yoyote zaidi ya mke wangu asee nilijitutumua na kushika wote maana walikuwa wanaume wa3 mmoja alinikimbia baada ya kuona kipigo kimezid hawa wengine wakaropoka hapohapo nikawatia kwenye gari moja kwa moja hom kwa wife kwa kuwa hom nina mazingira private kdg niliwapa mateso hatari nilipoona nimeridhika ndani ya siku tatu nikawaacha huru no polisi no mAjilani
Korogwe si kuna mahela mkuuMakongorosi ni mkoa gani nafikaje nkitokea korogwe Tanga
Ukweli kabisa hapa ukikichsnganya unakutana na moto wa ZambiaKatika vitu utakavyohama navyo usisahau kubeba na boxers za condom mkuu,,
Hapo tunduma kuna miwaya balaa.
Kama mtu wa peku peku basi ni Bora kubali huko ulipo..
Tena moto wake mkali sn hapo.Ukweli kabisa hapa ukikichsnganya unakutana na moto wa Zambia