Ninakuja Tunduma kuanza maisha upya

Ninakuja Tunduma kuanza maisha upya

Joined
Feb 25, 2022
Posts
21
Reaction score
63
Maisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana, iko hivi nilifunga ndoa tarehe 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nilishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani kila kitu kimeparaganyika Sana yaani kila nkifanya biashara napata hasara.

Ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakuwa mambo yameyumba ugomvi hauishi, chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii (mke ni mfanyakazi) Serikalini.

Kubwa lililoniumiza nafsi ni maendeleo ya haraka haraka anayoyafanya mke wangu, anajenga nyumba ambayo me sijawahi iona wala kiwanja sijui kilipo! Nilijua baada ya kushinda nyumbani siku moja na kuona diary yake yenye maelezo juu ya tofali, hela anazowapa mafundi na material ya ujenzi. Inapoelekea nyumba imefikia kwenye lenta.

Kutokana na kuwa na hasira nilimpiga ikawa ni kama nimeamsha yaliyolala, alichofanya kiliniadhirisha mara 2 ya nilivyokuwa mwanzoni.

Naandika nikiwa na uchungu mkubwa sana na machozi yananitoka nahitaji kwenda mbali ambako nitaanza upya nimwachie watoto, vyombo na Kila kitu ninachomiliki hapa nitaondoka tu na pikipiki, nguo pamoja na vyeti vyangu vya taaluma. Nina stashahada ya ualimu kwa masomo ya Geography na Kiswahili kwa anayejua nnapoweza kuanza maisha nikiwa na amani anielekeze hata ikiwa kijijini ntashukuru.

Nilipendelea Tunduma kwa kuwa kuna mzunguko mkubwa wa biashara kama ninavyosikia lakini kama mtu anaweza kunielekeza sehemu nyingine nitashukuru.
 
Maisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana iko hivi nlifunga ndoa tar 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nlishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani Kila kitu kimeparaganyika Sana yaani Kila nkifanya biashara napata hasara ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakua mambo yameyumba ugomvi hauishi chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii ( mke ni mfanyakazi) serikalini

Kubwa lililoniumiza nafsi ni maendeleo ya haraka haraka anayoyafanya mke wangu Ana Jenga nyumba ambayo me sijawahi Iona Wala kiwanja sijui kilipo! Nlijua baada ya kushinda nyumban siku moja na kuona diary yake yenye maelezo juu yatofali hell anazowapa mafundi na material ya ujenzi
Inapoelekea nyumba imefikia kwenye lenta
Kutokana na kuwa na hasira nlimpga ikawa ni kama nimeamsha yaliyolala alichofanya kiliniadhirisha Mara 2 ya nlivyokua mwanzoni

Naaandika nikiwa na uchungu mkubwa Sana na machozi yananitoka nahitaji kwenda mbali ambako nitaaanza upya nimwachie watoto vyombo na Kila kitu ninachomiliki hapa nitaondoka tu na pikipiki nguo pamoja na vyeti vyangu vya taaluma Nina stashahada ya ualimu kwa masomo ya geography na kiswahili kwa anayejua nnapoweza kuanza maisha nikiwa na amani anielekeze hata ikiwa kijijini ntashukuru

Nilipendelea Tunduma kwa kuwa Kuna mzunguko mkubwa was biashara kama nnavyosikia lakin kama mtu anaweza kunielekeza sehemu nyingine ntashukuru
Pole sana, lakini ndio maisha, hiyo miaka 6 uliyoishi nae ni kabla ya yeye mke kupata kazi ama
 
Back
Top Bottom