Ninakuja Tunduma kuanza maisha upya

Ninakuja Tunduma kuanza maisha upya

Acha tu YAWAKUTE...
Tushawaambia MSIOEEE ila hawasikii...

Sasa sisi tutawafanya nini?

Wacha yawakutee....

MSIOE nyie raia MTAKUFA mtuachie dunia Tamu hivi..!!!

#YNWA
Nimescrol hadi nione comment yako.
Kwa mwanaume ndoa sumu bhana.
Kula tungi kula kushi kula maisha.

Kwa wanaume wanaoogopa upweke tutawapa kibali cha kuoa wakifikisha miaka 60.
 
Makongorosi ni mkoa gani nafikaje nkitokea korogwe Tanga
Makongorosi ni mkoa wa mbeya wilaya ya chunya

Ukitoka tanga unafika mbeya then unaenda chunya to makongorosi ni masaa mawili na nauli elf 6 kutoka mbeya mjini

Huko kuna urahisi wa kupata hela hasa kwa MTU Mwenye hasira na maisha kama wewe coz hela ya madini IPO sana
 
Makongorosi ni mkoa gani nafikaje nkitokea korogwe Tanga
Ni huko huko Mbeya mkuu....Chunya iligawanywa nafikiri ikawa mdani ya mkoa wa Songwe na Mbeya.

Pia kuna fursa za kilimo na ufugaji kwa kule Lupa... unaweza ambaa pori la Rungwa hadi uikute Sikonge Tabora au urudi nyuma hadi uikute kamsamba huko momba hatimaye Tunduma.

Ni eneo gifted sana.

Nimefanya kazi Chunya kwa cheo kizuri tu sikitaji miaka ya 198....
 
Daaa ila wewe Bro hua natamani siku tukutane live unipe experience ya maisha maana hustle zako za kibabe sana,hua unanipa inspiration ya kupambana sana katika haya maisha,
Ukianzia Ile soft revenge Kule Nyasaland na hata hii duuuu umepitia kashkash sio kidogo
Duuuu big up nakuelewa sana

Life is struggle!
mr bann
[emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Makongorosi kuna uchimbaji wa dhahabu na chunya yote kwa ujumla imebaeikiwa madini hayo na mzunguko wa hela ni mkubwa sana huko.
Pamoja na hayo yote lakini maisha ya huko yakoje ?kwani sehemu nyingi zinazochimbwa madini maisha yake ni ghali sana.
 
Mke alikua chuo.. mchizi alisomesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaa ila wewe Bro hua natamani siku tukutane live unipe experience ya maisha maana hustle zako za kibabe sana,hua unanipa inspiration ya kupambana sana katika haya maisha,
Ukianzia Ile soft revenge Kule Nyasaland na hata hii duuuu umepitia kashkash sio kidogo
Duuuu big up nakuelewa sana

Life is struggle!
mr bann
💪💪💪
Huyu ni mwamba wa kaskazini
 
Mkuu fanya kwanza test hamia wilaya inayofuata ndani ya mkoa huo huo kapange chumba chako kama una kazi nenda kazini kama kawaida fanya hivyo ndani ya miezi miwili hom rud kama kawaida zuga kidogo tembea kaa wiki rud tembea ukifanya hivi utakuja nishukuru ila kama ww ni jobless zamia tu mkoa mwingine, kuna kipindi ndoa yangu ilikuwa ya moto nikasema isiwe kes nikavuta room kijiji kingine ndani ya wilaya hiyo hiyo nikatulia ili kuwaza kwa kina nikaja gundua mi na wife tulikuwa tumechokana na hizo tabia alizonazo mkeo hazifiki hata robo mi nishawai kuletewa jamaa waniteke uzur wake karet nimeiva nikawafinya mpaka wakatoa siri uamuzi nilio chukua ndio huo
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu embu dadavua yaani mkeo kakutafutia watekaji???dah kweli sijaona yote duniani hapa
 
Hapana sio wote waliosoma wako Hivyo, Heshima ya Mwanamke inaanzia katika familia Yao, na Utamaduni wa kwao na Watu wanaomzunguka, Na Akili yake ya Kuona Mambo Kwa Upana.

Wapo ambao hawajasoma Ila wanatabia za Kishetani utajuta, na ni kwasababu ya malezi Yao ndo maana unaambiwa kabla hujaoa fanya Utafiti vizuri sana usikurupuke.

Mwanamke ni Kiumbe dhaifu sana Unachohitaji ni Akili ya Kumtawala na Atatulia sana Hata kama Hauna Kitu.
bravo[emoji122][emoji122]
 
Asante mkuu mke alizamilia wanile baada ya kuona kila kituko anachofanya nampuuza alikuwa akirudi usiku mi sina hata muda wa kuuliza nilimfuma na kidume hata sikujali nikamuacha akaniibia pesa ambazo niliweka kwaajili ya kumnunulia mother nyumba wala hata sikujali alipo ona haya yote hayatoshi siku narud hom toka kwenye mishe ghafla navamiwa nipo kwenye gari pekee yangu na taarifa ya kurudi kwangu si kumwambia yoyote zaidi ya mke wangu asee nilijitutumua na kushika wote maana walikuwa wanaume wa3 mmoja alinikimbia baada ya kuona kipigo kimezid hawa wengine wakaropoka hapohapo nikawatia kwenye gari moja kwa moja hom kwa wife kwa kuwa hom nina mazingira private kdg niliwapa mateso hatari nilipoona nimeridhika ndani ya siku tatu nikawaacha huru no polisi no mAjilani
mhh
 
Back
Top Bottom