Ninakuja Tunduma kuanza maisha upya

Ninakuja Tunduma kuanza maisha upya

Wanaume tusioe wanawake waliosoma wale sio wife material na mwisho wake ni mbaya sana.

Pole mkuu
Mwanamke akipata tu wachache wanaheshimu wanaume wengi wao matako hulia mbaya kiguu na njia
 
Pole ndugu ipo siku utasimama tena.
Maisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana iko hivi nlifunga ndoa tar 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nlishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani Kila kitu kimeparaganyika Sana yaani Kila nkifanya biashara napata hasara ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakua mambo yameyumba ugomvi hauishi chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii ( mke ni mfanyakazi) serikalini

Kubwa lililoniumiza nafsi ni maendeleo ya haraka haraka anayoyafanya mke wangu Ana Jenga nyumba ambayo me sijawahi Iona Wala kiwanja sijui kilipo! Nlijua baada ya kushinda nyumban siku moja na kuona diary yake yenye maelezo juu yatofali hell anazowapa mafundi na material ya ujenzi
Inapoelekea nyumba imefikia kwenye lenta
Kutokana na kuwa na hasira nlimpga ikawa ni kama nimeamsha yaliyolala alichofanya kiliniadhirisha Mara 2 ya nlivyokua mwanzoni

Naaandika nikiwa na uchungu mkubwa Sana na machozi yananitoka nahitaji kwenda mbali ambako nitaaanza upya nimwachie watoto vyombo na Kila kitu ninachomiliki hapa nitaondoka tu na pikipiki nguo pamoja na vyeti vyangu vya taaluma Nina stashahada ya ualimu kwa masomo ya geography na kiswahili kwa anayejua nnapoweza kuanza maisha nikiwa na amani anielekeze hata ikiwa kijijini ntashukuru

Nilipendelea Tunduma kwa kuwa Kuna mzunguko mkubwa was biashara kama nnavyosikia lakin kama mtu anaweza kunielekeza sehemu nyingine ntashukuru
 
Umeandika Kwa uchungu Sana mkuu, mapambano yaendelee huo sio mwisho.
 
Asante mkuu mke alizamilia wanile baada ya kuona kila kituko anachofanya nampuuza alikuwa akirudi usiku mi sina hata muda wa kuuliza nilimfuma na kidume hata sikujali nikamuacha akaniibia pesa ambazo niliweka kwaajili ya kumnunulia mother nyumba wala hata sikujali alipo ona haya yote hayatoshi siku narud hom toka kwenye mishe ghafla navamiwa nipo kwenye gari pekee yangu na taarifa ya kurudi kwangu si kumwambia yoyote zaidi ya mke wangu asee nilijitutumua na kushika wote maana walikuwa wanaume wa3 mmoja alinikimbia baada ya kuona kipigo kimezid hawa wengine wakaropoka hapohapo nikawatia kwenye gari moja kwa moja hom kwa wife kwa kuwa hom nina mazingira private kdg niliwapa mateso hatari nilipoona nimeridhika ndani ya siku tatu nikawaacha huru no polisi no mAjilani
Daaa ila wewe Bro hua natamani siku tukutane live unipe experience ya maisha maana hustle zako za kibabe sana,hua unanipa inspiration ya kupambana sana katika haya maisha,
Ukianzia Ile soft revenge Kule Nyasaland na hata hii duuuu umepitia kashkash sio kidogo
Duuuu big up nakuelewa sana

Life is struggle!
mr bann
💪💪💪
 
Kama upo mkoa wa Songwe nakushauri uende Makongorosi Chunya kuliko Tunduma.
 
Asante mkuu mke alizamilia wanile baada ya kuona kila kituko anachofanya nampuuza alikuwa akirudi usiku mi sina hata muda wa kuuliza nilimfuma na kidume hata sikujali nikamuacha akaniibia pesa ambazo niliweka kwaajili ya kumnunulia mother nyumba wala hata sikujali alipo ona haya yote hayatoshi siku narud hom toka kwenye mishe ghafla navamiwa nipo kwenye gari pekee yangu na taarifa ya kurudi kwangu si kumwambia yoyote zaidi ya mke wangu asee nilijitutumua na kushika wote maana walikuwa wanaume wa3 mmoja alinikimbia baada ya kuona kipigo kimezid hawa wengine wakaropoka hapohapo nikawatia kwenye gari moja kwa moja hom kwa wife kwa kuwa hom nina mazingira private kdg niliwapa mateso hatari nilipoona nimeridhika ndani ya siku tatu nikawaacha huru no polisi no mAjilani
Hii ni kamba ya kitoto sana
 
Pole sana mkuu, stori yako inakaribiana na yangu lakini mimi sikumpiga wala kufanya fujo, just usiku wa saa tano baada ya kukwazana nae nikaamka kitandani nikaingia kabatini nikapanga nguo na vitu vyangu muhimu, nikaenda kitandani nikamkiss mtoto wetu mdogo kwenyw paji la uso na kumwambia kwa heri mwanangu naenda kupambana kwa ajili yako kisha nikamuaga mke wangu nikamwambia kwaheri kuanzia sasa uko huru kuwa na mtu yeyote mimi na wewe sio mke na mume tena (talaka hiyo).

Nikaondoka nikiwa mfukoni nina elfu 10 tu nikaenda kwa mdogo wangu anayesoma chuo kapanga mtaani, nikakaa kwake kama siku tatu tu nikatumiwa sms whatsapp na jamaa mmoja kutoka Canada (mtanzania) niliyekuwa nazungumza nae kuhusu kuwekeza bongo yaani yeye atoe mtaji mimi nifanye usimamizi wa mradi. Akatuma pesa nikaenda site na kuanzia hapo mambo yakabadilika kabisa shida na dharau nilizokuwa nafanyiwa mwanzo zikawa historia.

Mwanamke akaanza kuwapigia ndugu zangu kuwa nimemuacha na lawama kibao, nachofanya ni kuwaambia tu mimi sina tena mke bali namtumia pesa kwa ajili ya kumhudumia mtoto basi. Mungu akipenda mwaka huu nitaoa tena kwa sababu nimeshapata mchumba ambae nimemsoma na kujiridhisha kuwa hawezi kuwa kama yule wa mwanzo.

Katika kuchagua mwanamke angalia sana vitu vifuatavyo:-
1. Elimu yake
2. Kazi yake

Hivyo vitu juu huwa vinawapa zaidi kiburi wanawake wengi hasa wasio na hofu ya Mungu. Mwanamke akiwa na kazi wewe huna utapata manyanyaso sio ya dunia hii, mwanamke akikuzidi elimu au kipato (sio wote) anaamini wakati wowote atatusua na hata ukimuacha ataolewa tu. Zingatia sana hayo na tumeagizwa tuishi nao kwa akili. Pia usijaribu kuoa mwanamke mwenye kazi kwa kutegemea mtasaidiana maisha, akipata mshahara ni wake na familia yao kwao ila mshahara wako ndio uhudumie familia.

Ushauri wangu mkuu ili uepukane na stress na kisukari cha ujanani, just move on na uanze upya maisha yako.
 
Kwahiyo unaacha kazi huko ulikokuwa au hukua kazini!??
 
Back
Top Bottom