dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,815
- 61,705
hahahahakaka sisi tunaopamba masherehe ya harusi tutakula wapi?
njoo Tunduma tubebe gunia huku
hahahahakaka sisi tunaopamba masherehe ya harusi tutakula wapi?
Vitabu vya dini vinatuhitaji kufanya jambo ilobo
Zama zimebadilika mkuu nayasema haya kama muislamu niliyelelewa kwenye dini ndoa imekuwa ghali kwa sasa
Pole sana kiongozi...njoo masumbwe geita utakuja kunishikuru badaeMaisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana iko hivi nlifunga ndoa tar 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nlishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani Kila kitu kimeparaganyika Sana yaani Kila nkifanya biashara napata hasara ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakua mambo yameyumba ugomvi hauishi chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii ( mke ni mfanyakazi) serikalini
Kubwa lililoniumiza nafsi ni maendeleo ya haraka haraka anayoyafanya mke wangu Ana Jenga nyumba ambayo me sijawahi Iona Wala kiwanja sijui kilipo! Nlijua baada ya kushinda nyumban siku moja na kuona diary yake yenye maelezo juu yatofali hell anazowapa mafundi na material ya ujenzi
Inapoelekea nyumba imefikia kwenye lenta
Kutokana na kuwa na hasira nlimpga ikawa ni kama nimeamsha yaliyolala alichofanya kiliniadhirisha Mara 2 ya nlivyokua mwanzoni
Naaandika nikiwa na uchungu mkubwa Sana na machozi yananitoka nahitaji kwenda mbali ambako nitaaanza upya nimwachie watoto vyombo na Kila kitu ninachomiliki hapa nitaondoka tu na pikipiki nguo pamoja na vyeti vyangu vya taaluma Nina stashahada ya ualimu kwa masomo ya geography na kiswahili kwa anayejua nnapoweza kuanza maisha nikiwa na amani anielekeze hata ikiwa kijijini ntashukuru
Nilipendelea Tunduma kwa kuwa Kuna mzunguko mkubwa was biashara kama nnavyosikia lakin kama mtu anaweza kunielekeza sehemu nyingine ntashukuru
Kuna nini huko masumbwe kiongoziPole sana kiongozi...njoo masumbwe geita utakuja kunishikuru badae
Madam upo Tunduma sehemu gani?Pole Sana .
Karibu Sana tunduma
Acha tu YAWAKUTE...Kwako Liverpool VPN
Njoo huku utoe ushauri!
Wale mnaokimbilia kuoa kisa umri au presha za maisha huku wewe binafsi huko na changamoto karibu uendelee jifunza. Ndoa za kisasa zina ubinafsi mwingi mno na umachi No.
Tukutane tunduma. Me niko nabeba gunia huku
Kumbe Songwe ina watu wengi sanaa humuu.Wale mnaokimbilia kuoa kisa umri au presha za maisha huku wewe binafsi huko na changamoto karibu uendelee jifunza. Ndoa za kisasa zina ubinafsi mwingi mno na umachi No.
Tukutane tunduma. Me niko nabeba gunia huku
Aendelee kuvumilia na kuumia mpaka lini?Pole sana mkuu.
Haya ni majira tu nayo yatapita.
Mkabidhi Mungu maisha,yeye atakushindia.
Nakushauri USIOE KABISAAA.Mkuu umeniongezea miaka kadhaa mbele kuwaza suala la kuoa. Ahsante na pole kwa wakati mmoja.
Immediately file for divorce ,Halafu uwe mwanaume unaonekana weak na mke wako ana serious controlling issuesMaisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana iko hivi nlifunga ndoa tar 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nlishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani Kila kitu kimeparaganyika Sana yaani Kila nkifanya biashara napata hasara ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakua mambo yameyumba ugomvi hauishi chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii ( mke ni mfanyakazi) serikalini