Nawezaje kuanza maisha upya

pureman2

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
1,494
2,538
Yaliyonikuta kwenye maisha yameumiza moyo na nafsi yangu. Leo sitosimulia mkasa wa maisha yangu.

Maamzi niliyofanya nime relocate mkoa kuanza maisha mapya. Mkoa huu Sina ndugu ila that day nashuka stend nlimfuata Mzee mmoja tuliekua tumepanda bus moja. Nikamweleza Mzee naomba uniamini, ni mara ya kwanza ndo nafika kwenye mji huu, simjui mtu, na Sina pa kufikia. Nakamuomba anihifadhi, Mzee aliniangalia Kwa Dk kazaa akiwa ananisikuliza nikijieleza na huku amenikazia macho na kuusoma uso wangu and all my body language, akanijibu nifuate.

Aliita tax akamuelekeza driver eneo analoishi na safari ikaanza. Baada ya kama dk 15 tukaingia mtaa flani, una miti mingi, eneo tulivu halina harakati nyingi . Tax ikasimama kwenye nyumba, tukashuka na kuingia kwenye makazi hayo .
Kumbe Mzee ni police mstaafu, anaishi anaishi na familia yake ndogo. Home alikuwepo mkewe, na dada ake , wote watu wazima, na wajukuu wawili. Vijana wao wana maisha yao mikoa mingine. Kulikua na nyumba kubwa na ingine ndogo. Ile ndogo alikua anishi shamba boy. Baada ya utambulisho-mfupi Mzee akasema tutakua na mgeni huyu Kwa siku kadhaa, badae akanitambulisha Kwa shamba boy na kusema mtakua mnalala huku.

Kufupisha mkasa huu, Mzee na familia yake wamekua wakalimu. Nilipata fursa ya kumuuleza Mzee my profile and background. Kiufupi ni msomi wa level ya degree ila ndo hizi course ambazo mtu una graduate afu ukifika kitaa wewe mwenyewe ukijiuliza ulisomea nini unapata shida kupata jibu clear. Tuachane na Hilo.

Ki personality sababu ya kupigwa na maisha na changamoto za maisha nimekua introvert pro. Mkimyaa sana, usipoanzisha story hainisumbui kubaki kimyaa. Kiukweli sio kuwa ni ujeuri , ila nikiwa kimyaa najiona Niko safe zaidi ya kufungua kinywa changu .

Kwa utangulizi huu naomba Nije kwenye hoja ya msingi. Nifanyaje ili niweze kuanza maisha mapya kwenye mji mgeni kwangu, bila network ya marafiki, ndugu na jamaa. Kwa wale waliowahi pitia scenario kama hii mliwezaje kupata marafiki wapya, mambo gani ya kuzingatia unapokua ugenini Kwa watu baki waliokuamini. Njia gani za kutumia kuongeza network?

Kuna stress naipitia hadi akili haifikiri vizuri. JF naombeni muongozo
 
Anza kazi ya shamba boy
 
Sema kama sio muongeaji, ni ngumu sana ku force stories, ni ngumu sana Naandika kwa uzoefu...

Sijui uanzie wapi, ila kwa ufupi hapo ni ugenini, Jitahidi sana, najua ni ngumu..
Ukimya sana utawapa mashaka, kumbuka wao hawakujui..
Ntalizingatia hili mkuu
 
Jiongeze. Jitume na usisubirie kuagiziwa nini cha kufanya. Wewe fanya tu mpaka wenyewe waseme sasa kijana pumzika.

Nakuhakikishia hawataweza kukuchoka mapema na utaonekana mtu mwenye tija katika huo mji, taratibu utaona milango inafunguka
 
Me mwenyewe nataka nianze upya.
Nadhani ni kuchukua hatua na maamuzi magumu.
Step 1 umeifanya kuondoka mkoa A na kwenda B.

Sasa hapo fanya mengine
Kweli mkuu, lazima ujikatae kabisa. Hapa familia haijui niko wapi .
 
Jiongeze. Jitume na usisubirie kuagiziwa nini cha kufanya. Wewe fanya tu mpaka wenyewe waseme sasa kijana pumzika.

Nakuhakikishia hawataweza kukuchoka mapema na utaonekana mtu mwenye tija katika huo mji, taratibu utaona milango inafunguka
Asante mkuu. Mzee pia anafanya business za mazao , na hapo home Kuna store, magari yanashusha mazao mara nyingi, nimekua najiongeza sana kubeba na kupangilia magunia. Jioni unala mgongo hoi
 
Saidia kazi za nyumbani hapo.pia uwe unanichanganya wa Wana kitaa.ukikaa nao usibweteke na usione aibu kuwaeleza kua unaitaji kazi ama kibarua.kuna wengne Wana roho na Wana mishe zao watakurinda.pia usibague kazi kikubwa owe ya halali
Asante, ila mtaa umepoa sana. Ila Kuna wauza matunda , vijiduka vidogo vya mahitaji ya home. Na Kuna mahala jioni wanauza maziwa, hivyo Kuna siku uwa nasogea maeneo hayo
 
Back
Top Bottom