Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,419
- 38,055
Kuna uzi mwingine mwenzako anatafuta mke mtumishi [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu funguka zaidi hao samaki soko lake ni wapi?Mkuu njoo mwanza na laki 3 unaanza biashara ya samaki kutoka ukara na visiwa vingine.. huu mtaji uhakika mzigo wa laki 2 unakupa 150,000 net profit per go...
andaa elfu 90 kodi ya chumba miezi mitatu + umeme na maji
andaa laki 2 nyingine ya gharama ndogo ndogo za maisha, za kuanzia.
Maisha lazima yaendelee
Mkuu pole sana, hii ni hatari sana aisee, huyu mwanamke alibakisha jambo moja tu, ni kukutoa uhai..Mkuu fanya kwanza test hamia wilaya inayofuata ndani ya mkoa huo huo kapange chumba chako kama una kazi nenda kazini kama kawaida fanya hivyo ndani ya miezi miwili hom rud kama kawaida zuga kidogo tembea kaa wiki rud tembea ukifanya hivi utakuja nishukuru ila kama ww ni jobless zamia tu mkoa mwingine, kuna kipindi ndoa yangu ilikuwa ya moto nikasema isiwe kes nikavuta room kijiji kingine ndani ya wilaya hiyo hiyo nikatulia ili kuwaza kwa kina nikaja gundua mi na wife tulikuwa tumechokana na hizo tabia alizonazo mkeo hazifiki hata robo mi nishawai kuletewa jamaa waniteke uzur wake karet nimeiva nikawafinya mpaka wakatoa siri uamuzi nilio chukua ndio huo
Hapo umeangalia upande mmoja tu; upande wa mwanamke kuonyesha dharau ya kujenga nyumba bila kimtaarifu mumewe, lakini hujaangalia madhara ambayo yangetokea iwapo huyo mwanamke angekuwa mama wa nyumbabni, na kwamba hana kazi yoyote. Huoni kuwa hapo hali ingekuwa mbaya zaidi? Si afadhali mama alikuwa msomi na mwajiriwa serikalini, hata kama alikuwa anafanya mambo ya kuudhi, lakini chakula cha baba na watoto nyumbani kilipatikana? Kama wote wangekuwa wanaangaliana usoni tu nyumbani, hali si ingekuwa mbaya zaidi? Ndoa zenye amani ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu, hazina uhusiano na kuoa msomi au asiyesoma. Mbona tunaona ndoa nyingi tu za mume msomi na mke ni mama wa nyumbani sikusambaratika? No correlation between stable marriage and the difference of educational level of individuals.Wanaume tusioe wanawake waliosoma wale sio wife material na mwisho wake ni mbaya sana.
Pole mkuu
Mimi niaidi kwamba hutarudia huyu mwana mke mpumbavu, nikupe ushauri wangu, unajua waalimu mlio wengi stress za kipato duni ndo zina wa ongoza kufanya maamuzi ya haraharaka mukipata pesa mnarudi nyuma mliko toka eti yule ni mke wangu wa ndoa jinga kabisaMaisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana iko hivi nlifunga ndoa tar 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nlishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani Kila kitu kimeparaganyika Sana yaani Kila nkifanya biashara napata hasara ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakua mambo yameyumba ugomvi hauishi chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii ( mke ni mfanyakazi) serikalini
Kubwa lililoniumiza nafsi ni maendeleo ya haraka haraka anayoyafanya mke wangu Ana Jenga nyumba ambayo me sijawahi Iona Wala kiwanja sijui kilipo! Nlijua baada ya kushinda nyumban siku moja na kuona diary yake yenye maelezo juu yatofali hell anazowapa mafundi na material ya ujenzi
Inapoelekea nyumba imefikia kwenye lenta
Kutokana na kuwa na hasira nlimpga ikawa ni kama nimeamsha yaliyolala alichofanya kiliniadhirisha Mara 2 ya nlivyokua mwanzoni
Naaandika nikiwa na uchungu mkubwa Sana na machozi yananitoka nahitaji kwenda mbali ambako nitaaanza upya nimwachie watoto vyombo na Kila kitu ninachomiliki hapa nitaondoka tu na pikipiki nguo pamoja na vyeti vyangu vya taaluma Nina stashahada ya ualimu kwa masomo ya geography na kiswahili kwa anayejua nnapoweza kuanza maisha nikiwa na amani anielekeze hata ikiwa kijijini ntashukuru
Nilipendelea Tunduma kwa kuwa Kuna mzunguko mkubwa was biashara kama nnavyosikia lakin kama mtu anaweza kunielekeza sehemu nyingine ntashukuru
Kiongozi omba yasikukute, me nilikuwa nasema siwezi kuja kumpiga mwanamke but kuna upuuzi aliwahi kunifanyia ilibidi nimtie vitasa...Unapigaje mwanamke nigga?
Huu uamuzi wa kuondoka ilibidi uuchukue kabla ya kipigo
Dah mkuu imebidi nicheke kwa hizo karate 😂😂😂😂 sasa walitaka wakuteke wakupeleke wapi 😂😂Mkuu fanya kwanza test hamia wilaya inayofuata ndani ya mkoa huo huo kapange chumba chako kama una kazi nenda kazini kama kawaida fanya hivyo ndani ya miezi miwili hom rud kama kawaida zuga kidogo tembea kaa wiki rud tembea ukifanya hivi utakuja nishukuru ila kama ww ni jobless zamia tu mkoa mwingine, kuna kipindi ndoa yangu ilikuwa ya moto nikasema isiwe kes nikavuta room kijiji kingine ndani ya wilaya hiyo hiyo nikatulia ili kuwaza kwa kina nikaja gundua mi na wife tulikuwa tumechokana na hizo tabia alizonazo mkeo hazifiki hata robo mi nishawai kuletewa jamaa waniteke uzur wake karet nimeiva nikawafinya mpaka wakatoa siri uamuzi nilio chukua ndio huo
Hapana sio wote waliosoma wako Hivyo, Heshima ya Mwanamke inaanzia katika familia Yao, na Utamaduni wa kwao na Watu wanaomzunguka, Na Akili yake ya Kuona Mambo Kwa Upana.Wanaume tusioe wanawake waliosoma wale sio wife material na mwisho wake ni mbaya sana.
Pole mkuu
Hahahaaha Daaah, Mke kama Huyo ukimalizana na Hao jamaa unamtandika Haswaaa halafu unampeleka Polisi na huo ndo unakua MwishoMkuu fanya kwanza test hamia wilaya inayofuata ndani ya mkoa huo huo kapange chumba chako kama una kazi nenda kazini kama kawaida fanya hivyo ndani ya miezi miwili hom rud kama kawaida zuga kidogo tembea kaa wiki rud tembea ukifanya hivi utakuja nishukuru ila kama ww ni jobless zamia tu mkoa mwingine, kuna kipindi ndoa yangu ilikuwa ya moto nikasema isiwe kes nikavuta room kijiji kingine ndani ya wilaya hiyo hiyo nikatulia ili kuwaza kwa kina nikaja gundua mi na wife tulikuwa tumechokana na hizo tabia alizonazo mkeo hazifiki hata robo mi nishawai kuletewa jamaa waniteke uzur wake karet nimeiva nikawafinya mpaka wakatoa siri uamuzi nilio chukua ndio huo
Mzee kwani ni wapi Tanzania hii ambapo hamna msosi wa buku?Mkuu pole sana Tunduma itakuwa salama kwako maana vyumba hadi vya elfu10 vya umeme vipo kuhusu misosi mpaka kuna machaka wanauza misosi ya buku buku yani life simple sana.
Bado upo na mkeo?Mkuu fanya kwanza test hamia wilaya inayofuata ndani ya mkoa huo huo kapange chumba chako kama una kazi nenda kazini kama kawaida fanya hivyo ndani ya miezi miwili hom rud kama kawaida zuga kidogo tembea kaa wiki rud tembea ukifanya hivi utakuja nishukuru ila kama ww ni jobless zamia tu mkoa mwingine, kuna kipindi ndoa yangu ilikuwa ya moto nikasema isiwe kes nikavuta room kijiji kingine ndani ya wilaya hiyo hiyo nikatulia ili kuwaza kwa kina nikaja gundua mi na wife tulikuwa tumechokana na hizo tabia alizonazo mkeo hazifiki hata robo mi nishawai kuletewa jamaa waniteke uzur wake karet nimeiva nikawafinya mpaka wakatoa siri uamuzi nilio chukua ndio huo
Duh hapo mpemba ni njia panda ya kwenda kijijini kwa mama Yangu kule isongole Ileje...Madam upo Tunduma sehemu gani?
Mi Niko mpemba hapa A.K.A jirani yako kabisaaa...!!!
#YNWA
Vijana wengi mnaoa bila kujua kwanini mnaoa.Maisha Yana ups n down napitia kipindi kigumu Sana iko hivi nlifunga ndoa tar 17/11/2020 ndoa takatifu ya kikiristo na mwanamke mmoja ambaye nlishaishi naye kwa muda was miaka 6 kuanzia siku nimemuoa yaani Kila kitu kimeparaganyika Sana yaani Kila nkifanya biashara napata hasara ninadaiwa almost 1.8 na watu tofauti tofauti siishi kwa amani nyumbani kwangu kwakua mambo yameyumba ugomvi hauishi chakula kile kilichonifanya nioe sikipati kwa wakati mke tukikwazana kidogo tu anapiga simu kwao kuwa namnyanyasa simhudumii ( mke ni mfanyakazi) serikalini
Kubwa lililoniumiza nafsi ni maendeleo ya haraka haraka anayoyafanya mke wangu Ana Jenga nyumba ambayo me sijawahi Iona Wala kiwanja sijui kilipo! Nlijua baada ya kushinda nyumban siku moja na kuona diary yake yenye maelezo juu yatofali hell anazowapa mafundi na material ya ujenzi
Inapoelekea nyumba imefikia kwenye lenta
Kutokana na kuwa na hasira nlimpga ikawa ni kama nimeamsha yaliyolala alichofanya kiliniadhirisha Mara 2 ya nlivyokua mwanzoni
Naaandika nikiwa na uchungu mkubwa Sana na machozi yananitoka nahitaji kwenda mbali ambako nitaaanza upya nimwachie watoto vyombo na Kila kitu ninachomiliki hapa nitaondoka tu na pikipiki nguo pamoja na vyeti vyangu vya taaluma Nina stashahada ya ualimu kwa masomo ya geography na kiswahili kwa anayejua nnapoweza kuanza maisha nikiwa na amani anielekeze hata ikiwa kijijini ntashukuru
Nilipendelea Tunduma kwa kuwa Kuna mzunguko mkubwa was biashara kama nnavyosikia lakin kama mtu anaweza kunielekeza sehemu nyingine ntashukuru
Bado ninae MkuuBado upo na mkeo?
Wanawake wana roho za ajabu sana et waniteke alafu wakanifiiling [emoji34][emoji34] na ukicheki sababu ni ya kitoto sana hawa watu akili zao wanazijua wenyewe na ukatili wowote atafanya mwanaume kwa mwanaume mwenzie nyuma ya ugomvi kuna mwanamke na pesaDah mkuu imebidi nicheke kwa hizo karate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa walitaka wakuteke wakupeleke wapi [emoji23][emoji23]
Asante mkuu mke alizamilia wanile baada ya kuona kila kituko anachofanya nampuuza alikuwa akirudi usiku mi sina hata muda wa kuuliza nilimfuma na kidume hata sikujali nikamuacha akaniibia pesa ambazo niliweka kwaajili ya kumnunulia mother nyumba wala hata sikujali alipo ona haya yote hayatoshi siku narud hom toka kwenye mishe ghafla navamiwa nipo kwenye gari pekee yangu na taarifa ya kurudi kwangu si kumwambia yoyote zaidi ya mke wangu asee nilijitutumua na kushika wote maana walikuwa wanaume wa3 mmoja alinikimbia baada ya kuona kipigo kimezid hawa wengine wakaropoka hapohapo nikawatia kwenye gari moja kwa moja hom kwa wife kwa kuwa hom nina mazingira private kdg niliwapa mateso hatari nilipoona nimeridhika ndani ya siku tatu nikawaacha huru no polisi no mAjilaniMkuu pole sana, hii ni hatari sana aisee, huyu mwanamke alibakisha jambo moja tu, ni kukutoa uhai..