Ninakosea wapi? Au biashara ni kipaji?

Ndugu wanachangamoto gan
Ndugu wanapenda kuleta masihara Kwenye pesa.

Ndugu ukimuita mfanye biashara afu mtaji umetoa wewe,yeye akilini mwake anajua wee tayar ushafanikiwa kimaisha ELA UNAYO.

Akilini mwake anajua kabisa 100%
Iyo nafas uliyompa ndiyo chansi pekee na yeye atoboe kimaisha.

YEYE
HAJALISHI WALA HAJUI HUO MTAJI WAKO UMEPATA VIPI.

Mwisho wa sikU hatokua serious na biashara husika,
Na hata akiwa serious basi atakua serious kakamilisha malengo yake binafsi na kamwe Ela hutoiona.

Icho kiburi anakitoa wap?
Kwa ndugu wengine hasa wazazi wako waliokuzaa, anajua kabisa hata akivuruga mtakaa kifamilia myamalize huwezi mfunga jela wala kumfanya kitu mbaya.

Kama Ni ndugu wa upande wa kambo, ujombani au baba wadogo n.k HAO NDIO SUMU KABISA.
Atakua pale kakamilisha ndoto za hao ndugu zake,
Na Kama walkuaga wanakuomba pesa unabanabana,Basi request zote za miamala zitapitia kwa uyo ndugu yao anaesimamia biashara yako.

Mwisho wa sikU,
Ela nyingi zitakua zinatoka nje ya mzunguko na utayumba sana kibiashara,

Na ukishafirisika ndugu hao hao walokuyumbisha bado watahitaji tena msaada WAKO.

Na Sio ajabu usishangae siku wakaanza kukusema na kukucheka umefilisika.

Bila kukaza, kuuvaa uso wa KAZI kavu kavu bila kupepesa pepesa macho kibongobongo hutoboi.
 
Nakubaliana na ww mkuu
 
Dah mkuu, ukilinganisha pesa nliyoweka na ninayoipata ni asilimia ndogo, yote kwa yote naombeni mbinu za kitaalam kuikuza, kuna kipindi mtu alikuja na ofa ya milioni 3 ila nilimtolea mbali apo kwa sasa naanza kutamani nngeikubali ile ofa
Kwanza kabisa ujue DNA ya mjasiliamali ni uvumilivu na kuwa na jicho la kuona mbali.

Ushauri wangu ni kama ifuatavyo
1. Jaribu kuangalia kama unaweza kupunguza matumizi kwanza. Mfano kuna hivyo vitu umevitaja, hakuna kinachoweza kupungua? Binti kwa nini anasafiri? Hawezi kupanga maeneo jirani na kazi kuepuka gharama za usafiri?

2. Angalia kuongeza wigo wa wateja. Fungua social media akaunti kama Insta na jaribu kutafuta wateja huko. Ukiweza kufikisha kwa wateja mahitaji yao walipo itakuongezea wigo wa biashara.

3. Unapaswa kuwa na picha halisi ya biashara yako, yaani ujue kila kinachotokea. Mfano suppliers wako na gharama unayotumia kwa kila vendor, biashara inayoondoka sana, mapato, matumizi n.k. Hapa unahitaji software ambayo itakusaidia kurekodi na kukupa report yenye hizi analytics.

Kama utahitaji hii software tunayo nzuri sana ambayo itakuwa launched siku chache zijazo. Ukitaka Demo akaunti ni unaweza niambia nitakuja PM kwako.
 
Nimesoma na kugundua kwa haraka msichana wako anapiga hela zaidi ya wewe mwenye mtaji na biashara kitu ambacho ni makosa.

1. Kama inawezekana akae karibu na ilipo office yake kukata hiyo pesa ya usafiri.
2. Ongeza aina nyingine ya biashara kama wakala wa bank etc ili kumuongezea msichana kazi na kujaribu kuongeza faida.
3. Kama una muda au mtu unayemuamini muweke dukani kwa mwezi mzima ili kujua kama huyo dada hakuibii.
4. kama yote yanashindikana kaa mezani na staff wako mweleze ukweli na kwa pamoja mtafute mbinu za kuongeza mauzo na hilo likishindikana muweke wazi kwamba unaenda kupunguza mapato yake kwa 40% ili kugharamia matumizi.
 
Nasema kwa uzoefu na ndio ukweli,
Mauajiriwa Ukitaka kufanya biashara serious acha ajira ingia kwenye biashara Kwa miguu yote miwili.

Hizi biashara waajiriwa wanazofungua Na kuweka vijana wa kazi haziwezi kamwe kukutoa
Waajiliwa wengi wanauvivu flani hivi na uboss ndani yake.

Popote ulipoweka Ela yako uliyoipata kwa jasho,
Afu kizembe zembe unamuachia mtu baki akutimizie ndoto zako, wakati zake mwenyewe hata ajui zinatimia vipi.

Ni kujtaftia presha za bure, mtoa mada anapaswa KUFANYA maamuz magumu.
 
Kama wadau hapo juu
Mshahara wa mtu kwa mwezi atleast uwe 10% ya faida yako
Mdau kwa mwezi faida haifiki 1m unamlipa mtu 100k doh na usafiri juu hapo bado hajafanya yake
Ela hawezi kuiona kwa style anayoenda nayo.

Analipa mishahara kitajiri Sana.
 
Hbarini wafanyabiashara.

Binafsi ni kijana nimeingia 31, ni muajiriwa seikalini shirika flani, Nilikuwa navutiwa sana na ujasriamali hivyo na mimi nikaona nisijivunge.

Nikaona nifungue steshonari nimweke dada wa kazi awe ananisaidia, sikutaka kukopa hivyo nikafikiria nifungue biashara ambayo mshara wangu unaweza kuwa mtaji, Basi nikakusanya mshahara, viposho na balance ya benki nikafanikiwa kununua photocopy machine, printe ya rangi, lamination, computer, madaftari, peni,n.k niligharamika milioni 3 na kitu hivi

Gharama za kila mwezi huwa ni chumba - 100,000, Mshahara wa binti- 100,000, chakula+choo+taka+usafiri wa binti - 90,000, umeme+ulinzi - 20,000, hivyo matumizi jumla huwa ni kama 310,000. Mauzo yote kwa mwezi huwa yanacheza kwenye laki 4 hadi laki 4 na nusu na kuna muda anakuwa pungufu kwa hio kama unavyoona hapo faida ipo ila ya kawaida kuifanya tu biashara isiwe na hasara

hio faida kiukweli inaniumiza maana hata nikizidisha mara 20 bado haifikii msharawangu baada ya makato, yani hata kazini huko watu baki wanaoniulizaga steshinari inaendeleaje huwa inabidi niwadanganye faida ili kuepuka aibu

sasa sijui nijiongeze vp wadau
huyoo dada ndo anakulaa faidaaa (Mshahara wa binti- 100,000, chakula+choo+taka+usafiri wa binti - 90,000,).. kibanda chaako kiko wapii.. tafuta ndugu uwe unampaa hata 50 na awe ana lala kwako
 
Natamani nikuibie Siri kidogo,

Hapo anayefaidika ni mfanyakazi, kwa maelezo yako tu biashara ipo sehemu nzuri yenye mzunguko ila inakosa msimamizi mwenye uchungu wa biashara (aifanye kama yake)

Mwaka fulani hukooooo, niliwahi kukaa stationery, mshahara elfu 50, hakuna nauli Wala pesa ya kula....lakini nilikuwa nakula vizuri kuliko boss.

Hiyo hamsini yake ni nyongeza tu, akipinduka kidogo akirudi tayari nahakikisha natengeneza elfu kumi.

Cha ajabu sasa mimi ndiye mfanyakazi wake pekee aliyesema "siibi na ni mwaminifu", so hata akisafiri kila kitu chini yangu, wale wengine walikuwa wanaiba hadi shetani anaogopa.

Yaani ikitokea deal unakuta wanalazimisha tupeane hata elfu hamsini hamsini

So kuwa Makini na mfanyakazi, na jitahidi siku za kutokuwepo kazini ushinde nae, lakini pia ziara za kushtukiza pamoja na hesabu za jumla za vitu vyote ufanye mara KWA mara.

Nimeona umeeleza kwenye printings huibiwi, "unajidanganya" huko ndio kuna hela sasa, printings, scannings ndio sekta yenyewe ya kuchukua pesa kiulaini. Ukikuta asiye na huruma hata wino ukiisha yupo radhi aka-refill kwa hawa wa mitaani bei Chee, ukifika hujui kitu.

So stationery ILI uone faida Siri kubwa ni usimamizi wa karibu sana.

Ila mkuu UKITAKA kuiuza nishtue, maana inaonekana ipo sehemu nzuri sana
 
Mfanyakazi wa sheli mwenye mauzo ya million 6 kwa sikU (double ya mtaji wako),
Analipwa elfu 80 kwa mwezi, na posho ya elfu 5 kwa siku

Wewe mwenye mtaji wa million 3,
Unajitutumua unamlipa mshahara wa 100,000.

Mkuu nikwambie TU ukweli,
Ukishaingia Kwenye ujasiliamali lazima ujue kua bahili na usiwe na roho ya huruma kijinga jinga.

Unapaswa kulipa kutokana na unachoingiza, na Sio kuangalia sura Wala Roho mtakatifu.

Kwenye biashara hizi za kibepari,
Ukijifanya msamalia mwema, Unapotea Kwenye GAME faster.

Kaulizie mishahara anayolipa MO-Dewji kwenye biashara zake, afu utanipa majibu.
Kwenye biashara yake kunavitu vitatua afatilie atapata majibu.
# Mfanyakazi ( anawezakuja kua anamuibia au Hana kaulinzuri na wateja biashara haiwezi kukua).
# mzunguuko was vitendeakazi, coppy iko clear, maitaji yanaenda ya huitaji wawateja?
#Mazingira yako ya kazi population au jamii iliyokuzunguuka huitaji hauongezeki au mpo wengi went biashara jamayako na waitaji niwachache
 
Kama ukitoa kila kitu kuanzia mshahara/matumizi yote unabakiwa na faida ya 80,000 to 100,000

sikushauri uache hiyo biashara hata kidogo,wewe kilio chako ni faida ndogo ila si kwamba hupati kbsa

wenzako wanaliaga hawapati kabisa,80k usiichukulie poa kwa biashara, hebu jiulize biashara yako hiyo

ukiendaga fata mzigo wa 80k unachukua vitu kiasi gani?! assume huitumiii hiyo hela iache usiiguse kwa

miezi 10 tu Utakuta kibubu kina 800k hivi ukijikaza ndani ya 10month ukichukua ile 800k ukairudisha yote

kwenye hiyo biashara yako unahisi utakua na stationary ya ukubwa gani? Shida yenu watu mliozoea ajira

mnapenda mahela mengi mengi yanayokuja kwa mara moja kama mishahara yenu ilivyo, Biashara/ujasiriamali haupo hivyo.

Huku tunakusanya sh 200 tu sh 100 tu sh 50 tu sh 500 then total tunakuja ipata baada ya miezi kadhaa SO mkuu nikwambie tu kitu, Biashara yako iko vizuri sana komaa hapohapo Punguza matumizi yasio na lazima

graph yako ya income kwa mwezi itaongezeka,Kingine akili yako iruhusu kufanya kazi zaidi unapoona biashara inakupa income ndogo usifikirie kuiacha "utaacha biashara ngapi"?

jifunze kuweka akiba na kujiona kama huna biashara ongeza biashara nyingine na nyingine kupitia hicho kidogo unachokipata kwa mwezi "biashara za mitaji ya laki zipo kibao" zifanye.

kuwa na biashara nyingi ndogo ndogo unapofika mwisho wa mwezi ukikusanya kote Utajikutaa mfukoni una not less ya 3 to 4m (depends na vibiashara vyako) Acha kupasuka kichwa na biashara kubwa kubwa.

Umeingia ktk ujasiriamali Cheza namba zote cheza miguu yote Kuwa kiraka kama mcheza mpira anaetumia left n right...

Mwisho : Usifunge wala usiache hiyo biashara bali itumie kama sehemu ya kupatia mitaji ya vibiashara vyako vingine... Go ahead Champion...
Kaka umeongea maneno mazito sana..

Hata mm kuna biashara nimeanza kuifanya sahivi, aiseee at the beginning tu, nimekula loss, I mean hata mtaji haujarudi, lakini sikati tamaa, bado najifunza, na biashara yenye faida nzuri,
 
Kama ukitoa kila kitu kuanzia mshahara/matumizi yote unabakiwa na faida ya 80,000 to 100,000

sikushauri uache hiyo biashara hata kidogo,wewe kilio chako ni faida ndogo ila si kwamba hupati kbsa

wenzako wanaliaga hawapati kabisa,80k usiichukulie poa kwa biashara, hebu jiulize biashara yako hiyo

ukiendaga fata mzigo wa 80k unachukua vitu kiasi gani?! assume huitumiii hiyo hela iache usiiguse kwa

miezi 10 tu Utakuta kibubu kina 800k hivi ukijikaza ndani ya 10month ukichukua ile 800k ukairudisha yote

kwenye hiyo biashara yako unahisi utakua na stationary ya ukubwa gani? Shida yenu watu mliozoea ajira

mnapenda mahela mengi mengi yanayokuja kwa mara moja kama mishahara yenu ilivyo, Biashara/ujasiriamali haupo hivyo.

Huku tunakusanya sh 200 tu sh 100 tu sh 50 tu sh 500 then total tunakuja ipata baada ya miezi kadhaa SO mkuu nikwambie tu kitu, Biashara yako iko vizuri sana komaa hapohapo Punguza matumizi yasio na lazima

graph yako ya income kwa mwezi itaongezeka,Kingine akili yako iruhusu kufanya kazi zaidi unapoona biashara inakupa income ndogo usifikirie kuiacha "utaacha biashara ngapi"?

jifunze kuweka akiba na kujiona kama huna biashara ongeza biashara nyingine na nyingine kupitia hicho kidogo unachokipata kwa mwezi "biashara za mitaji ya laki zipo kibao" zifanye.

kuwa na biashara nyingi ndogo ndogo unapofika mwisho wa mwezi ukikusanya kote Utajikutaa mfukoni una not less ya 3 to 4m (depends na vibiashara vyako) Acha kupasuka kichwa na biashara kubwa kubwa.

Umeingia ktk ujasiriamali Cheza namba zote cheza miguu yote Kuwa kiraka kama mcheza mpira anaetumia left n right...

Mwisho : Usifunge wala usiache hiyo biashara bali itumie kama sehemu ya kupatia mitaji ya vibiashara vyako vingine... Go ahead Champion...
atakuwa amekuelewa, sisi tukiandika hali ya biashara zetu apa anaweza akajiona yeye ni mshindi

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Ila mkuu UKITAKA kuiuza nishtue, maana inaonekana ipo sehemu nzuri sana

Acha nipeperushia ndege wangu,nishamuwahi aniuzie mimi...

nawewe vimacho kodo kodo unataka unichukulie tonge mdomoni

Mkuu usimwambie kitu huyu Luv ukitaka iuza kama nlivyokwambia PM yangu iko wazi..

Bila shaka Boss sky soldier ombi langu utalifanyia kazi...

Luv Mambo! Nmekumiss kweli😊
 
Maboss kama ikija kutokea ntauza biashara hii serious basi itabidi hesabu za net present value ifanyike kulingana na future earnings na time value of money😊.

Humu ndani nashukuru mmenipa nipa za uso saizi naweza kuanza kufanya adjustments.

kwa sasa hivi nimeona niongezee passpoti saizi dakika 3, nina kamera siitumiagi nimeona ije dukani na pia printer ya ofisini ina toa picha za passport, so hapa cha kununua ni mashuka tu ya bluu au meupe pamoja na hela kidogo ya kupewa ujuzi na wanaofanya hizi biashara maana picha za passport za benki, hati ya kusafiri nje ya nchi, n.k ni tofauti kwahio ujuzi unahitajika. kwa passport saizi ambayo ni elf 2,500 faida iaweza kuwa elf 2.

Pia nimefatilia nimeona steshonari nyingi huwa wanatoa mshahara wa elf 50 na posho huwa ni elf 2, kiufupi huyu binti wa hapa anapiga bata kwa huu mshahara naompa wa laki 1 na allowance zinazofika laki kwa mwezi, nimepanga kumweka ndugu yangu flani yupo yupo hapa nyumbani wakae pamoja na huyo binti kwa mwezi hivi yani ni mwendo w bampa tu bampa,nipo tayari kupata hasara kwa matumizi kama ya chakula yatayoongezeka ila mwisho wa siku nataka nilinganishe mauzo tu, kama mauzo yataongezeka basi hapo ntakuwa nmepata jibu kwamba nilikuwa napigwa.
 
Hii biashara ya kitambo mkuu ni miaka mitatu sasa, huwa najipa matumaini ipo siku itakuwa ila wapi,

Gharama nlizotumia kuanziha biashara,

photocopy 1,800,000
printer ya rangi yenye scanner - 450,000
computer 400,000
lamination 100,000
kalamu, bahasha, madaftari, n.k - milioni 1

Gharama za kila mwezi

chumba - 100,000
Mshahara - 100,000
chakula, choo, taka, usafiri - 90,000
Umeme - 20,000

Jumla ya mapato yanacheza kwenye laki 4 na kitu, mara chache inazidi
Nashangaa unalalamika nini! Kwa mtaji huu ilitegemea upate faida ya shilingi ngapi? Fanya research ili upanue biashara. Orodhesha vitu ambavyo wateja wanaulizia lakini huna na pia angalia wewe mwenyewe vitu unavyoweza kuongeza ili kuvuta wateja zaidi. Kama ni eneo lisilo na wateja wengi basi hamisha biashara kwani tayari una uzoefu wa kutosha. Au tafuta tena mtaji ukafungue stationery nyingine eneo tofauti. Baada ya muda uliwanazo angalau tano utajikuta unapata faida ya kutosha.
 
Maboss kama ikija kutokea ntauza biashara hii serious basi itabidi hesabu za net present value ifanyike kulingana na future earnings na time value of money😊.

Humu ndani nashukuru mmenipa nipa za uso saizi naweza kuanza kufanya adjustments.

kwa sasa hivi nimeona niongezee passpoti saizi dakika 3, nina kamera siitumiagi nimeona ije dukani na pia printer ya ofisini ina toa picha za passport, so hapa cha kununua ni mashuka tu ya bluu au meupe pamoja na hela kidogo ya kupewa ujuzi na wanaofanya hizi biashara maana picha za passport za benki, hati ya kusafiri nje ya nchi, n.k ni tofauti kwahio ujuzi unahitajika. kwa passport saizi ambayo ni elf 2,500 faida iaweza kuwa elf 2.

Pia nimefatilia nimeona steshonari nyingi huwa wanatoa mshahara wa elf 50 na posho huwa ni elf 2, kiufupi huyu binti wa hapa anapiga bata kwa huu mshahara naompa wa laki 1 na allowance zinazofika laki kwa mwezi, nimepanga kumweka ndugu yangu flani yupo yupo hapa nyumbani wakae pamoja na huyo binti kwa mwezi hivi yani ni mwendo w bampa tu bampa,nipo tayari kupata hasara kwa matumizi kama ya chakula yatayoongezeka ila mwisho wa siku nataka nilinganishe mauzo tu, kama mauzo yataongezeka basi hapo ntakuwa nmepata jibu kwamba nilikuwa napigwa.
Usipoangalia hili la kwenda kumchukuwa ndugu yako litatifua biashara yako na uje kujuta sana baadae. Faida ndogo namna hiyo halafu unaongeza mzigo wa matumizi? Navyowajua wabongo hapo umeongeza mpigaji wa pili (kama huyo wa msichana alikuwa anakupiga). Mimi nahisi wala haibi na kama inaiba ni kitu kidogo sana. Kubadilisha wafanyakazi bila sababu za msingi ni hatari sana.
 
Acha nipeperushia ndege wangu,nishamuwahi aniuzie mimi...

nawewe vimacho kodo kodo unataka unichukulie tonge mdomoni

Mkuu usimwambie kitu huyu Luv ukitaka iuza kama nlivyokwambia PM yangu iko wazi..

Bila shaka Boss sky soldier ombi langu utalifanyia kazi...

Luv Mambo! Nmekumiss kweli

Poa utanunua basi halafu uniajiri, usiwe unakuja lakini

Nimekumiss pia
 
Maboss kama ikija kutokea ntauza biashara hii serious basi itabidi hesabu za net present value ifanyike kulingana na future earnings na time value of money.

Humu ndani nashukuru mmenipa nipa za uso saizi naweza kuanza kufanya adjustments.

kwa sasa hivi nimeona niongezee passpoti saizi dakika 3, nina kamera siitumiagi nimeona ije dukani na pia printer ya ofisini ina toa picha za passport, so hapa cha kununua ni mashuka tu ya bluu au meupe pamoja na hela kidogo ya kupewa ujuzi na wanaofanya hizi biashara maana picha za passport za benki, hati ya kusafiri nje ya nchi, n.k ni tofauti kwahio ujuzi unahitajika. kwa passport saizi ambayo ni elf 2,500 faida iaweza kuwa elf 2.

Pia nimefatilia nimeona steshonari nyingi huwa wanatoa mshahara wa elf 50 na posho huwa ni elf 2, kiufupi huyu binti wa hapa anapiga bata kwa huu mshahara naompa wa laki 1 na allowance zinazofika laki kwa mwezi, nimepanga kumweka ndugu yangu flani yupo yupo hapa nyumbani wakae pamoja na huyo binti kwa mwezi hivi yani ni mwendo w bampa tu bampa,nipo tayari kupata hasara kwa matumizi kama ya chakula yatayoongezeka ila mwisho wa siku nataka nilinganishe mauzo tu, kama mauzo yataongezeka basi hapo ntakuwa nmepata jibu kwamba nilikuwa napigwa.
Kuhusu kumuweka ndugu yako sishauri kabisa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom