DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,312
- 109,408
Kingine nnachokiona,
Mfanyakazi wako anafaidika San na ofisi yako.
Kumlipa 100,000 afu ukamuongezea posho ya siku, hapo bado hajajiongeza za kwake Apo ofsini.
Binafsi,
Huo mshahara ningetakiwa kulipa kwa biashara yenye mtaji usiopungua million 50, na yenye mzunguko usiopungua mauzo ya millioni 1 kwa siku.
Pia biashara inatakiwa kua na uhakika wa kuingiza faida isiyopungua Laki 1 kwa sikU nzima baada ya Kutoa matumizi Yote ya ofisi kutwa nzima.

mtu in a second sion shida kabisa...tena aka.nye mav.i mbele huko