ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,667
- 57,077
Tuna namba tufanye miamala unywe wine at least
Pole sanaSikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.
22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.
27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019
Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.
NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Are u serious? 🤔🥹Pole nyingi Sana zinachosha kula maisha kwani umekufa wewe?
Pole sanaa Mungu akutie nguvu. Tusihuzunike sana mwenyezi Mungu ameamua kumchukua malaika wake .Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.
22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.
27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019
Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.
NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Pole sana dadaake! 🫂Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.
22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.
27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019
Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.
NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Watoto wa kaka yako ndio ndugu zako sasaPole shoga yangu
Nawapenda Sana watoto WA dada zangu kama nimewaza vile.WA kaka sio kiviiile
Ila pole Sana sana.
Inauma sana kifo cha mtoto mdogo
Mungu atakufariji
usijali Mungu atakuponya...Sijui hata nitapona vipi kwa hili, nimeshindwa
Aaah wapiWatoto wa kaka yako ndio ndugu zako sasa
Inasababishwa na nini?Brain Cancer hiyo.
The fact kwamba ilishaanza kupush organs kama jicho nje, ujue ilikuwa advanced hiyo.
Poleni sana..