Matatizo yote ya watanzania yamesababishwa na yanaendelea kusababishwa na CCM.
Ndugu yangu ameenda Muhimbili akiwa anaongea anatembea ila amerudi kakatwa mkono, haongei na hatembei. Yaani uzembe wa madaktari umesababisha akatwe mkono na asiweze kuongea. Walimuwekea drip ya dawa ikawa inaflow nje ya mshipa, na manesi kwa kuwa ni wazembe hawakugundua kuwa dawa inaflow kwenye nyama badala ya kwenye mshipa, wamekuja kushituka asubuhi mkono umekauka kama kuni, ooh! Ni maumivu yalioje aliyoyapata ndugu yangu 😭😭. CCM wote mlaaniwe na Mungu awape adhabu kali sana. Kasababishiwa matatizo makubwa ambayo yamebadiri maisha yake forever. Hawezi kuongea, kapoteza mkono na hawezi kutembea tena.
Nchi ina rasilimali za kuifanya iwe na huduma bora za afya ila maccm yanaiuza nchi kwa vipande vichache vya fedha, Miccm inauza rasilimali za mabilioni ya fedha kwa kuexchange ya vijisent vya kuishi maisha ya kifahari wao na familia zao. Naichukia CCM.
Barabara mashimo kila sehemu. Barabara mbaya, tunafia mahospitalini na tukiongea mnatuteka na kutupoteza. CCM mlaaniwe na mfe vifo vya mateso makubwa.
Nchi imegeuzwa shamba la bibi, madini yanachimbwa kila kona ya nchii hii. Mabilioni ya thamani ya dhahabu, yanasafirishwa nje ya nchi kila siku lakini hata hicho kidogo tunachopata kwenye mirabaha kinafanyiwa ufisadi. Viongozi wanaendesha magari ya thamani kubwa huku raia wakikatwa mikono hospitalini kwa kukosa uangalizi bora wa madaktari, ooh! Nchi yangu nakulilia. Kwa nini Mungu umeyaruhusu maccm yawatese viumbe wako kwa kiwango hiki?
Maccm achieni nchi kwa hiari, muda wenu wa kuendelea kututesa watanzania umeisha. Tunachukua nchi yetu, tunairudisha nchi yetu kwa wananchi.