Ninaishi na maumivu

Ninaishi na maumivu

Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.

Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....

Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.

22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.

27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019

Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.

NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Hapa konyagiiii ipo KICHWANI imekolea.

Mimi ni mkristo nilimpoteza dada 16/ 17 July...

Niliwai kuwa na UGOMVII na MUNGU muda mrefu nilimwomba dada asifariki dada akafarikii

Ilichukua muda sana kupona...Kuna story/ simulizi ya maswahaba wa mtume Muhammad..for sure iliniokoa na kunisaidia sanaa

#VIJANA SABA WA PANGONI
 
Najua kuna mambo ni ngumu kuyaepuka, lkn hii kitu inayoitwa Globalization, imekuja na majanga mengi sana.

Maisha ya KISASA yana hasara nyingi na mbaya.

Screenshot_20250905_204409_X.png

All in all pole again, Mungu awape nguvu ktk kipindi kigumu mnachopitia.
 
Hapa konyagiiii ipo KICHWANI imekolea.

Mimi ni mkristo nilimpoteza dada 16/ 17 July...

Niliwai kuwa na UGOMVII na MUNGU muda mrefu nilimwomba dada asifariki dada akafarikii

Ilichukua muda sana kupona...Kuna story/ simulizi ya maswahaba wa mtume Muhammad..for sure iliniokoa na kunisaidia sanaa
Naomba namie labda itanisaidia kwa akili zangu nashindwa
 
Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.

Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....

Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.

22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.

27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019

Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.

NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Polee. We uko kama mimi. Mtoto akiumwa naombaga niumwe mimi. Naumwa mara mbili yake. Hata hivyo nikumuomba Mungu tu dunia ina maumivu sana.
 
Nina maumivu sana.
Kwenye movie ya Jet Li, Fearless kuna binti alipata upofu, huyu binti alikuwa anaishi na bibi yake. Binti alijawa na huzuni isiyoisha! Bibi yake alimfuata kisha akamwambia:

"If you're sad, then cry. When there are no more tears, life will go on".
MV5BMTQ1ODg0MDM0MF5BMl5BanBnXkFtZTYwNzYyNTQ3._V1_.jpg

Bibie, tafuta sehemu iliyotulia, lia mpake machozi yaishe, ukimaliza, endelea na maisha coz huwezi kubadilisha na maisha lazima yaendelee!
 
Naomba namie labda itanisaidia kwa akili zangu nashindwa
Itafute hiyo simuliziii itakusaidia sana...Mimi nilikaa mwaka na ushee sikusamehe

MIMI SIKUWAI KIAMINI KAMA FAMILIA YETU / SISI NA WOTEEEEEEE WANAO NIHUSU SIKUWAI KUAMINI KAMA TUNAWEZA KUFARIKII.

NI SIMULIZII NGUMU..NILILIA MBELE ZA WATU NIKAGOMBEZWA/ NIKAKATAZWA NIKAWA NALIA CHUMBANI/ NALIA KISIRI SIRI ACHA NI MBAYA SANAA
 
Kwenye movie ya Jet Li, Fearless kuna binti alipata upofu, huyu binti alikuwa anaishi na bibi yake. Binti alijawa na huzuni isiyoisha! Bibi yake alimfuata kisha akamwambia:

"If you're sad, then cry. When there are no more tears, life will go on".
View attachment 3466050
Bibie, tafuta sehemu iliyotulia, lia mpake machozi yaishe, ukimaliza, endelea na maisha coz huwezi kubadilisha na maisha lazima yaendelee!
Machozi yanapunguza maumivu, kwa ushauri uliompatia pia atafute wimbo wa Ambwene, “NIMEACHILIA” bila shaka atapata relief kiasi fulani.
 
Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.

Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....

Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.

22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.

27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019

Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.

NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Pole sana my dear, Eve.
 
Back
Top Bottom