Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,462
- 29,158
Kufa kufaana.....!!!!!Jibu sahihi ni la pale juu....
Jamaa wamebanwa saana mambo ya kodi na pesa zingine.
Kampuni inaenda kufirisika.. Wanachokifanya sasa ni kurudisha pesa zao tu...
Ukilipa ndio baasi.... La msingi km wanakudai we kausha tu usiwalipe teena hawana watu wazuri wa kudeal na iyo situation.
Ugomvi wao na tra haukutakiwa uwaaffect wateja....
Tuwatapeli tu na sisi