Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

hv jamani hizi habari ni za kweli au
IMG-20190506-WA0000.jpeg
 
Tala wananidai 150k, na tigo Nvushe 82k kwa sasa wanisamehe sina uwezo wa kuwalipa hadi hali yangu ikitengamaa na msg za vitisho hazisaidia
 
Muosha huogeshwa hadharani.
Kuna mzee mmoja hapa dar, Msikiti wa Kwa Mpogo Temeke alishauri fedha fulani za mradi wa msikiti zitumike kujenga mahali pa kuoshea maiti.
Wamemaliza tu kujenga haijapita wiki akavuta, na ndiye alikuwa wa kwanza kuoshwa pale mahali.
 
kama kuna mtu ana mpango au mipango ya kukopaa TALA namshauli kabisa asije akajaribu hawa maafisa mikopo wanaodai mikopo ya TALA sio wastaarabu kabisa.........

mimi nashukuru nimemaliza deni langu kiukweli STAILI wanayotumia kudaiiii watu sio kabisa yaani mtu unapigiwa simu unafokewa unapewa vitishoo mara unatukanwaaa aisee ni membi nimeya experience lakini mi kiukweli sitokuja kumshauli mtu au rafiki akopee TaLAAAA
 
Sakayo

Halafu tala sasa hivi wamezuia mikopo kama hawakopeshi tena watuambie liapp lao
Nahisi ukienda kujilipua wanakwambia ombi lako linashughulikiwa utakaa siku tatu hamna majibu zamani hata dakika tano hazifiki washakupa
 
Back
Top Bottom