Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

Nahisi ukienda kujilipua wanakwambia ombi lako linashughulikiwa utakaa siku tatu hamna majibu zamani hata dakika tano hazifiki washakupa
Mm ndio wameniambia hivyo inaenda week ya pili na sijawahi hata kuwasumbua

Kwenye acc yao insta na comments wamefunga
 
Watanzania ndivyo tulivyo, tumegeuza sifa kukopa na kugoma kulipa.
 
Mimi ni mdaiwa sugu wa Branch lakini nilikuwa mkopaji mzuri na nililipa kwa wakati mpaka nikafikisha kiwango cha 90,000/ lkn baada ya hapo mambo yakawa magumu mpaka nikapewa majina mengi sana mara tapeli, mdaiwa sugu na msg nyingi za kunidhihaki kutokana na msg zao ndio nikaamua kuuchuna mpaka siku watakapoacha kunitumia msg za vitisho
Mdaiwa sugu
 
"Chumba cha mahabusu utakiona kipana, kidirisha kimoja kidogo kinachopitisha mwanga hafifu ndio kitakua chanzo cha hewa yako, na utaikumbuka siku hii unayokumbushwa kulipa deni lako la branch lakini unapuuzia. FANYA MALIPO LEO."
Mkuu wewe ni mdaiwa sugu imekuwaje mpaka utumiwe meseji hii?
 
Haha jinga hao niliwalamba mwanzoni kabisa hata selfie na ma ID hakuna yaani unafoji madata tu na line na simu nilitupa uko mxeeeew😂😂
 
Jibu sahihi ni la pale juu....

Jamaa wamebanwa saana mambo ya kodi na pesa zingine.

Kampuni inaenda kufirisika.. Wanachokifanya sasa ni kurudisha pesa zao tu...

Ukilipa ndio baasi.... La msingi km wanakudai we kausha tu usiwalipe teena hawana watu wazuri wa kudeal na iyo situation.

Ugomvi wao na tra haukutakiwa uwaaffect wateja....


Tuwatapeli tu na sisi
 
Nimekuwa mkopaji mzuri wa taasisi ya kufedha ya Tala kwa maana ya kukopa na kurejesha kwa wakati (with some exceptions). Hadi kufikia tatizo nililo nalo nimekopa jumla ya mikopo 8.

To my surprise, mara baada tu ya kurejesha mkopo wa mwisho na kujaribu kukopa tena nakutana statement isemayo "Bado tunahakiki maelezo yako, tutakutaarifu hivi punde, tafadhali endelea kusubiri". Hali hii imeendelea for some weeks now!

Nahitaji kupata experience toka kwa watumiaji wenzangu wa Tala, mmeshakutana na hali hii? If yes, huu sio utapeli?

Au wamekutana na technical problem?!

Kindly share your experience with Tala services! Screenshot attached!

Ahsanteni.View attachment 1087575
Bwana bwana bwana awa jamaa bora TALA ila branch wanapiga simu na kutukana matusi ya nguoni
 
Mi nimewalipa buku 96 Kabla hata ya Deadline...hawajanipa hadi leo...na Deadline ulitakuwa Tarehe 30 April. Na sio mimi peke yangu...Watu kibao wameEXPERIENCE hii kitu.

Kama unawalipa, ni vile tu una hofu ya Mungu kwamba walikusaidia, ulipe fadhira.



Nadhani pia lile sakata la Mkurugenzi wao limewatatiza sana.
Mkurugenzi wao alifanyaje tena
 
duh, aante maana madhila haya yamenikuta pia, lakini uaminifu ni muhimu maana malipo ni kwa Mungu
 
Mbona mwanzo walikukopesha?
Kuna hela yoyote yako waliokudhulumu au kukutapeli?
Issue ni kua wamekataa kukukopesha hela yao wenyewe, hakuna utapeli hapo.

Na perhaps the main reason ni kua kwa sasa hawako vizuri na Government, since ile scandal yao na Voda, so wanatafuta Exit Door ilipo now.
issue hapo ni kuwa umekua mwaminifu, who knows huenda wakasolve madhila yao na kurudi uwandani hapo ndipo ngano na magugu zitapepetwa, usifurahi kwa kuwa unahisi kkwamba umetapeliwa fahi kwa kuwa UMEKUWA MWAMINIFU kurejesha cha watu...........kumbuka hakukua na guarantee kwamba utakopeshwa milele na wameweka kiwngo ni 320,000 ......mimi nadhani hata riba yao ilikua nafuu kuliko riba za MITAANI
 
Kesi imewavuruga... Wenzio wenye salio LA kubip hawakurejesha maana ulikuwa ukirejesha hawakopeshi ...fuatilia thread zilizopita utapata majibu....
Kweli kabisa hawakopeshi tena kwa sasa jamaa ukirudisha tu hela yao ndo basi tena
 
Back
Top Bottom