Tuliowahi kukopa bank na tukafilisiwa, tupoje kiuchumi hadi sasa?

chumanile

JF-Expert Member
May 20, 2018
296
327
Habari wana jf.

Tumshukuru mungu kwa kua tuko na afya njema na tukiwa tuna uwaga mwaka 2019. Kiukweli hatufi ila chamoto tunakiona. Nikiwa mfanya biashara mdogo 2003/2003 nilikua nakua kwa kasi kibiashara, niliweza kuendesha biashara yangu vizuri kabisa.pia niliweza kujijenga kimaendelea kwa maana nilinunua kiwanja, buzza nikajenga, nikawa na ki start changu, na mambo yanakwenda. GHAFLA nikajikuta naenda bank bira sababu ya msingi. Nikatimiza vingezo vyao nikapatiwa mkopo tsh m10. Kiukweli baada ya pesa hiyo kuitia mkononi, MIPANGO ikaongezeka.

Nikawa siogopi kujaribu ata kama sija fanya utafiti ktk hilo. Jambo, kubwa ninalo kumbuka ktk pesa hiyo nikafungua duka la MANGI (mchele,unga,nk) aisee kuazia hapo mambo yakawa mengi nikawa mtu wa lesi kutafuta pesa kumbe napoteza, kutahamaki marejesho yanakuta, biashara haziendi, pesa sina. Ndugu nilichanganyikiwa, nikajikuta nakosa amani kwa madeni ya bank. Mwisho wa siku maji ya shingo sina kitu. Nikauza kila kitu, kistart, maduka yote, navingine ili kulipa madeni. Hazikutosha ikabidi kibanda kipingwe mnada ili kumaliza deni lao.

Mungu saidia kipindi ile nyumba inapingwa mnada nilikua nadaiwa kama tsh5600000/= nikiwa tayari nisha lipa 6450000/= ile nyumba ikiuzwa kwa m8200000-5600000=2600000. Toa gharama zao za mnada, usafiri, matangazo, usumbufu, nk. Nikapewa m2 nakitu hivi. Hapo ikawa mwisho wa deni. Tokea hapo kiukweli nilijikuta mnyonge nisie jua hata cha kufanya. Ile mbili nikaenda sehemu moja magole nikanunua kiwanja kwa 6500000 nikajenga chumba moja maisha yakaaza upya somo.

USIKOPE PESA BANK KAMA UNAJIMUDU KIBIASHARA ZAKO.
TUSIWE NA MIPANGO MINGI KWANI KWANI HIYO NI NJIA YA UPOTEVU WA PESA.
SIMAMIA APO ULIPO ATA KAMA BIASHARA NI NGUMU.
USIMUAMINI KIRA MTU KTK SWALA LA PESA.
YOTE9.DENI SIO KITU KIZURI.
mwenye swali juu mikopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie ht nipewe hela bure sirudii tena hii biashara! Ujinga tu yaan!
Hii biashara inatakiwa uifanye ukiwa umeishakamilisha mambo muhimu ya maisha kama kujenga. Ifanye kama unatafuta hela ya kula au watoto nauli ya kwenda shule! Kuna siri kubwa ambayo akina mangi na wapemba hawawezi kukuambia. Ukiingia kichwa na mbaya zaidi umepanga frame ya mtu lazima uchemke
 
Sitosahau mwaka 1992 Niliposaini mkataba wa mkopo kwa dhamana ya mali nilizojipatia huko ugaibuni katika kipindi changu cha masomo katika chuo cha harvad na mpaka leo naujutia sana uamzi ule japo leo nimesimama upya.

Huo mwaka ulikua umezaliwa kweli! Ujue bado naukumbuka ule uzi wako wa kumhusu yule mwanamuziki Alicious!!! 🙊

Achilia mbali ule uliowavuruga wadau humu wa kusafiri kutoka Kigoma kwa treni huku ukiwa hujui utafikia wapi utakapowasili Jijini!!
 
Hii biashara inatakiwa uifanye ukiwa umeishakamilisha mambo muhimu ya maisha kama kujenga. Ifanye kama unatafuta hela ya kula au watoto nauli ya kwenda shule! Kuna siri kubwa ambayo akina mangi na wapemba hawawezi kukuambia. Ukiingia kichwa na mbaya zaidi umepanga frame ya mtu lazima uchemke

Ukijimix uchukue laki 1 imekula kwako!siri ya duka uwe na vinywaji pia!hakuna kusema eti vyakula maharage mchele unga!hakuna nasema!hakuna chakula uuze useme upate faida 500 -1000!@kg! Ukipata sana 300@kg!inachoshq!
 
Funzo

Back
Top Bottom