Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Ni mteja wa miaka zaidi ya mitatu wa Vodacom na nimetumia hela yangu nyingi sana kwenye huduma zao hadi nimekuwa mteja wa thamani. Nimekuwa nakopa na kulipa kwa wakati (isipokuwa mara moja tu nilichelewa kurudisha mkopo kwa siku moja) lakini kwa muda mrefu limit imegota pale pale kwenye 144,500/=
Niliwahi kupiga simu customer service nikaambiwa niwe nafanya transactions mara kwa mara, ikiwezekana kila siku, kati ya M-PESA na M-PAWA, nimefanya hivyo lakini wapi.
Kuna uwezekano kuna mtu ndani anatumia account yangu kuzungusha hela? Kama sivyo, tatizo ni nini?