Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

Alipiga tena kusikia sauti yake nikwambia Niko ktk kelele nitakupigia baadae then SMS za vitisho zikafululiza kutoka TALA namba tofaut tofaut
Best yangu wamemuomba aweke hata 2500 na wana mdai kama laki naa hivi
 
Yaani ni wa ajabu kweli. Hivi ni Wavivu au Wazembe tu..
Eti toka saa nane kasoro dakika nane (02-04-2019) wanachunguza tu taarifa zangu mpaka leo hii 17-05-2019...

Mbona walishaanipa mkopo na nikalipa tena ndani ya muda walionipa..

Shame on you...!

Kumbuka mna details muhimu za wateja wenu hivyo tuheshimiane.

Kama biashara imewashinda, tupeni taarifa tu.

Nawasilisha..
 
Back
Top Bottom