Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

Mkuu KakaKiiza, huna haja ya kumchukia mtu yoyote kwa sababu ya misimamo, tofauti za kisiasa na tunafundishwa na dini, hata adui mpende!.

Kwa wale ambao they don't who he really is, ndio wanaotatizwa, inakubidi ujifunze zaidi managing divesity, we are different, but we are one!, we are all human!.

Sisi tulimgundua zamani yeye na kirusi chake, tukapandizi hizi nyuzi humu.

Online Puppets: Kumbe Tunao "Puppets" Wengi Kuliko Tunavyojidhania!.

Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa,

Kwenye msafara wa Mamba, na Kenge wapo!- It is Either ....

CHADEMA ni hadithi ya mgeni njoo mwenyeji apone au akome

Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani?, ..

Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au

Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...! -

Pasco
Najitahidi sana kukuelewa pacha, lakini daah kwa hii trend inavyokwenda nakuelewa zaidi.

Mkuu upo kimaslahi zaidi.

Ukweli uliomo moyoni mwako hutaki kuusema bali unaongea through voices in your head mkuu
 
Nashangaa wanachukiwa watu ambao misimamo yao ni ile ile lakini hawachukiwi walioamua kubadili misimamo ....mbaya zaidi hakuna anayejibu hoja...kawaeleza nani kamleta EL Chadema hakuna aliyepinga....kapangua hoja za mahitaji ya mabadiliko haya feki .....watu wamebaki na lugha za "sisi tutamchagua EL tu" ....Uchaguzi ukiisha mtajua mbichi na mbivu ....lakini pia lazima waliokubali kubinafsisha mapambano kwa mamluki walipe matokeo yake ......huu ni uhuni wa Karne kwenye siasa za Tanzania ...
 
Mkuu nimekuelewa sana sana sijui kwanini vijana hawalitambui hilo
 
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu haoni wala hasikii, ila niulize amelipwa bei gani?? Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona ana mantiki pale angeshambulia upinzani UKAWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi! Maana anachokisema ni sawa na mtu aliyetahayuri!

Lowassa katokea CCM ni zao la CCM, na sasa kaamua kuokoka na kufatana na walokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona ni yule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa ila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.

hana la maana huyo ni msaka tonge huyo sisi tunamjua hata huku kwetu watu hawana imani naye tena...anatembea na price tag on huyo.
 
Chuki kwa mtu fulani ambaye hata humjui,hajawahi kukuongoza,kukudhulumu wala na wala hajawahi kukulazimisha kufanya kitu kinyume na utashi wako.....!
Unajitesa bure kabisa bila sababu bt i hope ni suala la umri,ukikua utapata kazi za kufanya na kuacha chuki hizo za wanawake wajawazito.
 
MkuuKakaKiiza, huna haja ya kumchukia mtu yoyote kwa sababu ya misimamo, tofauti za kisiasa na tunafundishwa na dini, hata adui mpende!.

Kwa wale ambao they don't know who Mzee Mwanakijiji is really is, ndio wanaotatizwa na misimamo yake kwa kudhani amefanya about turn, no!, he is a man in a mission!, kwenye freedoom of expression, everybody has the right of his or her own opinion, inakubidi ujifunze zaidi managing diversity, that we are different, but we are one!, and we are all human!.

Sisi tulimgundua zamani yeye na kirusi chake, tukapandisha nyuzi hizi humu.

Online Puppets: Kumbe Tunao "Puppets" Wengi Kuliko Tunavyojidhania!.
[h=3]CHADEMA kuna kirusi! Je, unajua kirusi hiki ni nani?[/h]Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa,

Kwenye msafara wa Mamba, na Kenge wapo!- It is Either ....

CHADEMA ni hadithi ya mgeni njoo mwenyeji apone au akome

Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani?, ..

Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au

Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...! -

Pasco

Pasco, kumbukumbu zangu zinaniambia ulisema "ccm inachotaka ni ushindi na itampitisha Lowasa kwa ajili hiyo tu, lama ingetaka rais bora ingempitisha Muhongo au Magufuli, ila ccm haitafanya hivyo". Hiyo ilikuwa kauli yako siku chache kabla mtu wetu hajakatwa! Wewe umebaki na Lowasa kama awali mwanakijiji amebaki na kutomkubali lowasa kama awali. All equal with same magnitude but on different directions!
 
Last edited by a moderator:
Nilimkataa Lowassa akiwa ndani ya ccm, na naendelea kumkataa akiwa ndani Chadema.

LOWASA ni yule yule wa ccm na yule yule wa Chadema hajabadilika, Ila Chadema ndio wamebadilika kumfuata Lowassa.

tatizo mmehama kwenye hoja mmeelekea kwenye chuki binafsi, kama hoja ingekuwa ni ufisadi tungewasikia mnawaunga mkono wagimbea kama hashim rungwe au mama anna mgwira, lakini kusema kama slaa eti magufuli hajaiba sana ni upuuzi
 
Pasco, kumbukumbu zangu zinaniambia ulisema "ccm inachotaka ni ushindi na itampitisha Lowasa kwa ajili hiyo tu, lama ingetaka rais bora ingempitisha Muhongo au Magufuli, ila ccm haitafanya hivyo". Hiyo ilikuwa kauli yako siku chache kabla mtu wetu hajakatwa! Wewe umebaki na Lowasa kama awali mwanakijiji amebaki na kutomkubali lowasa kama awali. All equal with same magnitude but on different directions!
Mkuu John Kachembeho, usemayo ni kweli, niliyasema hayo kwa trend ya CCM ya mwaka 2005, kwenye top 3, Dr. Salim was the best!, (Top Diplomat!), `akifuatiwa na Prof. Mwandosya (Best Brain!), JK was the last!, sababu zilizomfanya JK ashinde ni good looking, anatabasamu, hivyo anachagulika!. Nikitegemea CCM ilikuwa inaijua nguvu ya EL na ilitaka ushindi!, katiya wagombea wote wa CCM, The Best option alikuwa ni Jaji Ramadhani!. Lakini ilibidi awe ni Magufuli kwa sababu fulani, nimezieleza hapa.
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John [/h]Ila hata mimi licha ya kumkubali sana EL, pia nilitoa angalizo hili kumhusu na kweli likatokea
[h=3]Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! - Patachimbika!.[/h]
ni kweli sasa panachimbika!, Lowassa ndio huyo anaelekea Ikulu!.

Tena usidhani tunalizimisha kuwa ni lazima awe Lowassa!.
[h=3]Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015.[/h]Licha ya kumsupport Lowassa akiwa CCM, ni mimi ndiye nilipandisha uzi huu na nakuwekea na tarehe zake.

[h=3]CCM Imechokwa, -Nov 14, 2010[/h][h=3]Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni ...Apr 2, 2012[/h][h=3]Topic: Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...May 1, 2012[/h][h=3]Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa... - Aug 28, 2012[/h]
Pasco
 
hii inaonyesha upeo wa akili yako ukoje siku zote ukweli unachukiwa kitendo cha kumchukia mwanakijiji si cha ajabu kwani amesema ukweli unaokugusa hata sisi ukifatilia post zetu za nyuma wote tulikuwa tunamchukia lowasa akiwa ccm kwanini tubadili misimamo yetu kisa kahamia chadema lowasa hawezikuleta mabadiliko sanasana amekuja kuua upinzani
 
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu haoni wala hasikii, ila niulize amelipwa bei gani?? Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona ana mantiki pale angeshambulia upinzani UKAWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi! Maana anachokisema ni sawa na mtu aliyetahayuri!

Lowassa katokea CCM ni zao la CCM, na sasa kaamua kuokoka na kufatana na walokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona ni yule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa ila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.

Pole sana kwa kuwa na hisia hiyo ya chuki; si nzuri kwa afya ya akili au hisia zako. Ila inaonekana umeanza kuzinduka na hupendi kuzinduka huku kwani ulikuwa tayari umeamua kupeleka kura yako kwa Lowassa na sasa huwezi kwenda kule na hilo limechukiza. Sijawahi kumshambulia Lowassa hata kidogo.
 
Mzee Mwanakijji anatisha kaka, na huyu Mzee akianzisha gazeti lake, atakuwa Dar bestseller wa kila siku.
 
Pasco, kumbukumbu zangu zinaniambia ulisema "ccm inachotaka ni ushindi na itampitisha Lowasa kwa ajili hiyo tu, lama ingetaka rais bora ingempitisha Muhongo au Magufuli, ila ccm haitafanya hivyo". Hiyo ilikuwa kauli yako siku chache kabla mtu wetu hajakatwa! Wewe umebaki na Lowasa kama awali mwanakijiji amebaki na kutomkubali lowasa kama awali. All equal with same magnitude but on different directions!
Mkuu John Kachembeho, usemayo ni kweli, niliyasema hayo kwa trend ya CCM ya mwaka 2005, kwenye top 3, Dr. Salim was the best!, (Top Diplomat!), `akifuatiwa na Prof. Mwandosya (Best Brain!), JK was the last!, sababu zilizomfanya JK ashinde ni good looking, anatabasamu, hivyo anachagulika!. Nikitegemea CCM ilikuwa inaijua nguvu ya EL na ilitaka ushindi!, katiya wagombea wote wa CCM, The Best option alikuwa ni Jaji Ramadhani!. Lakini ilibidi awe ni Magufuli kwa sababu fulani, nimezieleza hapa.
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John [/h]Ila hata mimi licha ya kumkubali sana EL, pia nilitoa angalizo hili kumhusu na kweli likatokea
[h=3]Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! - Patachimbika!.[/h]
ni kweli sasa panachimbika!, Lowassa ndio huyo anaelekea Ikulu!.

Tena usidhani tunalizimisha kuwa ni lazima awe Lowassa!.
[h=3]Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015.[/h]Licha ya kumsupport Lowassa akiwa CCM, ni mimi ndiye nilipandisha uzi huu na nakuwekea na tarehe zake.

[h=3]CCM Imechokwa, -Nov 14, 2010[/h][h=3]Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni ...Apr 2, 2012[/h][h=3]Topic: Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...May 1, 2012[/h][h=3]Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa... - Aug 28, 2012[/h]
Pasco
 
Chuki haitakusaidia...Magufuli ndio rais wako kaka. Chukua jembe ukalime.
 
Hilo jamaa limerithi upuuzi sijui kwa nani..ila ndio ujumla wa watu wanaonekana majukwaani wakishndana na wengine ila ikirudi kwao ni mojawapo ya michawi inayologa wengine.
 
Pole sana kwa kuwa na hisia hiyo ya chuki; si nzuri kwa afya ya akili au hisia zako. Ila inaonekana umeanza kuzinduka na hupendi kuzinduka huku kwani ulikuwa tayari umeamua kupeleka kura yako kwa Lowassa na sasa huwezi kwenda kule na hilo limechukiza. Sijawahi kumshambulia Lowassa hata kidogo.
Kaka labda niseme, kwamba sipo tayari kuipigia kura CCM! moja hilo ulitambue, ila nipo tayari kuwa mwana mabadiliko!yawezekana mabadiliko nayoyataka sikwa mtu sahihi, lakini nikiona mabadiliko yanaweza kuja acha nifanye maamzi leo kwa huyo, ili kesho na keshokutwa baada ya maamuzi yangu ya mabadiliko ya awali,huenda tutapata anayefaa kwa mwendelezo wa mabailiko!Kuliko kukaa katika chumba cha moshi kwa kuogopa kutokea kwenye mlango unaowaka moto!maana nitaungua kidogo nanitatoka nje! ila sipo tayari kukaa kwenye moshi kwakuogopa kutokea kwenye mlango unakotokea moshi kisa nitaungua hapana!!Mabadiliko ni leo!!Huyo waliomkataa mimi ndiye namtaka!!"Yesu alipo kuwa Galilayah kuna kahaba alimfata akitaka kumgusa wale wanafunzi wakasema wewe kahaba unatakumtia najisi mtu wa Mungu wakataka kumpiga mawe akauliza kama kuna mtu asiye na dhambi kati yenu basi huyo mpigeni mawe!!"Wale wanafunzi kwakuwa walijua hapo safi wakayatupa mawe!! Mzee Mwanakijiji najua unafanya kazi yakumsema Lowassa je wewe ni msafi??hao unaowatetea ni wasafi??CCM naweza kusema Jaji Ramadhani labda anaweza kuwa msafi lakini mbona hata kumi bora sijui kama alifika!!Mimi naona makala zako zijikite katika chama na simu!kwakuwa unafanya kazi ya CCM basi mda unaotumia kumkashifu mtu!haitasaidfia kitu!Watu wameamua mabadiliko hadi wanadeki lami uwezi kujiuliza?? Pasco uko huru kuja hapa!
 
Last edited by a moderator:
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu haoni wala hasikii, ila niulize amelipwa bei gani?? Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona ana mantiki pale angeshambulia upinzani UKAWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi! Maana anachokisema ni sawa na mtu aliyetahayuri!

Lowassa katokea CCM ni zao la CCM, na sasa kaamua kuokoka na kufatana na walokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona ni yule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa ila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.

Amesame ameokoka? Amesema hatafanya tena na atawakemea wataofanya?
 
Back
Top Bottom