kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,563
- 5,170
Mzee mwanakijiji kama kawaida yake ijumaa ya Sept 2 aliibuka na thread akijiuliza maswali kama kweli CDM walimanisha walipotangaza kufanya mikutano na maandamano Nchi mzima kuanzia Sept 1 kabla ya kutangaza kuarisha shughuli hiyo siku moja kabla ya dee-day, au walikuwa wanatania tuu.
Mzee mwanakijiji popote pale ulipo tafadhali majibu ya dukuduku lako la kama walikuwa wanatania au la haya hapa!
Mzee mwanakijiji, mwaka 2008 Edward Lowassa Waziri mkuu wa wakati huo alijiuzuru kwa kashifa ya Richmond. Baada ya sekeseke hiyo CDM wakaja na operation mbali ikiwemo ile walioiita operation sangala ikitanguliwa ma ile list of shame ( listi ya mafisadi waliokubuhu)inayosemekana iliandaliwa na mheshimiwa Lissu, mmoja wa waliotajwa alikuwa Edward Lowassa.
Baada ya hapo Lowassa akawa ndio blue print ya ufisadi Tanzania, akaandamwa na viongozi wa CDM kutoka Ufipa kuelekea pande zote za Nchi. Mnyika akasema ana ushahidi, Kubenea ikawa bila taarifa inayomuhusu Lowassa Mwanahalisi haliuzi, alipokutana na tindi Kali nako Lowassa akahusishwa, Lissu akaituhumu CCM kwa kumpa form ya kugombea urais Mwizi Lowassa badala ya kumpeleka mahakamani, Lema akasema ni baraka kwa mungu kumzomea fisadi kama Lowassa, Msigwa akahoji wanaoshabikia Lowassa wakapimwe akili, Mbowe yeye akajisemea Lowassa ni dhaifu.
Mzee mwanakijiji hata mchakato wa katiba mpya ulipokwama pale Dodoma wanaCDM walimunyoshea mkono Lowassa kuwa ndo kinara wa mkwamo huo kwa kuwa alitaka atawale kwa kutumia katiba hii wanayoipinga pindi atakapokuwa Rais.
Mzee Mwanakijiji, baada ya Lowassa kukatwa pale Dodoma kwa mshangao wa wengi akahamia CDM na akateuliwa ndani ya masaa kadhaa kupeperusha bendera ya CDM(UKAWA) sasa wanamuita Rais wa mioyo yao.
Mzee mwanakijiji Yale yote waliyoyasema CDM kuhusu Lowassa kabla ya July 2015 walikuwa wanatania tuu, narudia ulikuwa utanii tuu Mzee!
Mzee Mwanakijiji mwaka 2010 Dr. Slaa( siku hizi wanamuita Dr.Mihogo)alipambana na Jk kwenye Urais, Jk akapata kura million 5 Dr. Akapata kura million 2(kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi). CDM wakasema Dr. ameibiwa kura yeye ndo alishinda( yaani kwa maoni yao Dr. alipata angalau kura million Nne na moja huku Jk akipata chini ya kula million tatu, laki tisa, tisini na Tisa elfu na mia Tisa na tisini na Tisa, maana jumla ya kura kwa mujibu wa Tume ilikuwa millioni nane).Hivyo CDM wakakataa kumtambua Jk kama Rais na Dr. akaitwa Rais wa mioyo yao!
Ni ukweli kuanzia 2010 umarufuu wa CDM na Dr. Slaa ulipanda Mara dufu, 2015 alikuwa kwenye kilele chake cha mafanikio kisiasa, hii ikachagizwa zaidi na muungano ulioitwa UKAWA ulioonekana kuja kumaliza tatzo la mda mrefu la vyama kugawana kura. Mzee mwanakijiji ilipofika July 2015 mwezi mmoja kabla ya kampeni kuanza CDM wakabadilisha gia angani, ktk mazingira ambayo hayaelezeki, wakampiga chini Dr. Slaa aliyekuwa amemshinda( kwa mujibu wao) a serving president mwaka 2010 na kumuchukua Edward Lowassa, fisadi la kutisha( kwa mujibu wa wanaCDM kabla ya July 2015).
Mzee mwanakijiji hapa napo walikuwa wanatania tuu, Dr. Slaa 2010 hakushinda, na wala hakuwahi kuwa Rais wa mioyo yao, narudia walikuwa wanatania tuu! Ndo maana hawakumpa kugombea 2015!
Juzi Juzi wakaondoka bungeni eti wanapinga ukandamizwaji kutoka kwa Naibu Spika, wakatutosa watanzania wkt mhimu kweli, wkt wa kujadili mustakabali wa taiga kwa mwaka mzima, wakakimbia mjadala wa bajeti. Sasa wanarudi bungeni, na hakuna sehemu tumeskia kuwa kile kilichowatoa bungeni sasa kimewekwa sawa, kikubwa namskia Ndugai akimpongeza Dr.Tulia kwa kazi nzuri. Lkn wanaenda mbali, wanasema wameamua waende ili kuwawakilisha wananchi, hv mikutano huu na ule wa bajeti upi ni mhimu, upi walitakiwa waususie?
Mzee mwanakijiji hapa napo walikuwa wanatania, zile gundi kwenye mdomo ulikuwa utani tu, nasema walikuwa wanatania!
Baadae wakaja na kituko kingine, wakasema wanaenda kuisadia polisi kuzuia mikutano wa CCM Dodoma, siku chache kabla ya mukutano wakatangaza kustisha mpango huo.Mikutano mkuu ukaka kwa siku mbili, ukatoka na azimio la UKUTA sept 1 siku moja kabla ya dee-day wakatangaza eti wameahirisha hadi Oct 1.
Hapa napo walikuwa wanatania tu na hata hiyo oct 1 napo wanatania, wanatania tuu Mzee mwanakijiji. Mtu anasema ayetaka kunya kuahirisha kwa eti kwakuwa maji ya kuchambia yanamchanganyiko wa pilipili na majivu au tissue inamchanganyiko wa Sulphuric Acid kama kweli anataka kunya ataenda bila kujali madhira yatakayomukuta! Mama mjamzito hawezi kukataa kwenda kujifungua mda unapofika eti anahofia maumivu. CDM wametunga mimba kwa hiari yao, mda wa kujifungua umefika eti wanaahirisha! Haa! wamegoma kuzaa! Hapana, hawakuwa na mimba ulikuwa utani tuu!
Mzee Mwanakijiji hawa jamaa wanapenda sana utani, tena ule wa mwanaume kumshika mwanaume mwenzake Ta*o.
Wanatania tu, na wataendelea kutania!