Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

Tulia dogo... Mzee Mwanakijiji alimponda Lowassa kabla hajaja Chadema na ataendelea kumponda popote alipo. Wewe umekubali kumpokea Lowassa simply because amebadili uanachama. Hajawai kumtaja owner wa Richmond wala hajawai kukemea ufisadi alafu unasema ameokoka. That is plain silly!
Kwani mumiliki wa Richimond anatajwa na Lowassa?au umsikilizi na Tundu lissu alishawatajia ulisikia au ukusikia??poor you°
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa jarida la Cheche , Nisije nikapigwa ban kwa Namecalling. Ila wengine wameshamjua Mwanakijiji ni nani.

Hata wewe tunakujua! Nakuamuru ukae kimya maana utapata shambulio usijue linatokea wapi na kwasababugani.. Hebu jaribu kumtaja uone!
 
kwani wewe unapendwa na wangapi na ni wangapi hawakupendi?

-mwanakijiji anatumia kipawa chake cha kuandika makala ili apate mkate wake kila siku.
-mwanakijiji kwa sasa anategemea Raia Mwema na Raia Tanzania kama ofisi yake na analipwa kwa hilo.
-magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania yemeonyesha kuwa upande wa mrengo fulani wa kisiasi wewe unategemea wale waandika makala watapingana na bosi wao Gen ulimwengu ambaye anampondea Lowassa?
 
Kwani mumiliki wa Richimond anatajwa na Lowassa?au umsikilizi na Tundu lissu alishawatajia ulisikia au ukusikia??poor you°
Lissu?? Lissu?? Bado unamsikiliza Lisu aliyesema jana kuwa Lowasa NI fisadi na leo kusema Lowassa SI fisadi. Kuanzia mwezi ujao, hiyo dhambi itamtafuna Lissu na kummaliza.
 
Tulia dogo... Mzee Mwanakijiji alimponda Lowassa kabla hajaja Chadema na ataendelea kumponda popote alipo. Wewe umekubali kumpokea Lowassa simply because amebadili uanachama. Hajawai kumtaja owner wa Richmond wala hajawai kukemea ufisadi alafu unasema ameokoka. That is plain silly!

Mkuu, kumshambulia mtu mmoja tu wakati kuna mafisadi lukuki ni chuki isiyo na kipimo. Utadhani lowassa kamwibia mke. Khaaa
 
Last edited by a moderator:
Lissu?? Lissu?? Bado unamsikiliza Lisu aliyesema jana kuwa Lowasa NI fisadi na leo kusema Lowassa SI fisadi. Kuanzia mwezi ujao, hiyo dhambi itamtafuna Lissu na kummaliza.
Yawezekana alikuwa fisadi kutokana na limfumo la ccm sasa yupo katika harakati tumeona watu wakirudisha silaha polisi na kula kiapo kuwa hawatafanya kazi ya ujambazi na wanaamua kutumikia jamii! Sasa wewe unamshanga Lissu???
 
Mi nikiiona post yake napita mbaali nisiharibu siku.. atlist angekuwa na uwiano ktk post zake angalau unajikaza kusoma, ye ni.kuponda mwanzo mwisho kaaa..!!
 
Mwanakijiji nilishamueka kundi la Star tv na tbccm, uhuru, Raia mwema, Dira, tazama, nishawadelete wala sipati homa tn
 
Mkuu, kumshambulia mtu mmoja tu wakati kuna mafisadi lukuki ni chuki isiyo na kipimo. Utadhani lowassa kamwibia mke. Khaaa

mkuu umesahau kuwa nafasi ya rais ni moja....ila hata hivyo tunashukuru angalau unajua kuwa jamaa na miongoni mwa mafidadi
 
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu aoni wala asikii, ila niulize amelipwa bei gani??Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona anamantiki pale angeshambulia upinzani UKWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi!maana anachokisema nisawa na mtu aliyetahayuri!Lowassa katokea CCM nizao la CCM, nasasa kaamua kuokoka na kufatana nawalokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona niyule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa hila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.

Tatizo mnasema Sanaa ,Wewe Nani nchi hiii???!
 
Last edited by a moderator:
Aponde tu Mpaka achoke huyu ni type ya dr cassava wanaojionaga perfect kwa kila kitu na wakiandikacho wanaona ni bora wengine wafate. Anyway ana Uhuru wa kuandika chochote ila chuki ikizidi na kutobalance habari inaonyesha jambo lisilo Sawa. Mi hata aandike nini shaamua nitakaye mchagua na Watanzania wengi wasio shikiwa akili washaamua.
 
Mwanakijiji .....he is just a little man...a little man like Magufuli...
kuna vitu na sababu zinazopelekea Mwanakijiji awe desperate kumpigania Magufuli....

baadhi ya hizo sababu zitajitokeza later Magufuli akishashinda....

obvious Magufuli ana 'agenda' ambayo ni bigger than CCM ...

Mwanakijiji na Dr Slaa wanaijua hiyo 'agenda'

ndo maana now kwa ni 'do or die'
lusungo Pasco ....
 
Last edited by a moderator:
Nguvu ya fedha ni kubwa sana kuliko unavyofikiri kuna siku ungefikiri Dr Slaa angekuja kugeuka ?.
Alafu wanataka eti tumwamini wakala katika kituo cha kura huku pesa, vitisho na hatari zingine zikimkabiri wakala huyo huyo.

 
Lowasa ni fisadi wala siyo kwamba anashambuliwa anaambiwa ukwe yeye ni fisadi.
 
Mwanakijiji .....he is just a little man...a little man like Magufuli...
kuna vitu na sababu zinazopelekea Mwanakijiji awe desperate kumpigania Magufuli....

baadhi ya hizo sababu zitajitokeza later Magufuli akishashinda....

obvious Magufuli ana 'agenda' ambayo ni bigger than CCM ...

Mwanakijiji na Dr Slaa wanaijua hiyo 'agenda'

ndo maana now kwa ni 'do or die'
lusungo Pasco ....

I see!!

Pasco wa jf njoo huku
 
Last edited by a moderator:
Lowasa ni fisadi wala siyo kwamba anashambuliwa anaambiwa ukwe yeye ni fisadi.
Ukisema fisadi ni kigezo kipi unatumia kumuita fisadi uache kuita genge kubwa la mafisadi lililopo CCM mpaka leo Tembo wamebaki tembo 17 tu!
 
Back
Top Bottom