KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu haoni wala hasikii, ila niulize amelipwa bei gani?? Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona ana mantiki pale angeshambulia upinzani UKAWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi! Maana anachokisema ni sawa na mtu aliyetahayuri!
Lowassa katokea CCM ni zao la CCM, na sasa kaamua kuokoka na kufatana na walokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona ni yule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa ila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.