Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

Hivi inakuwaje msomi ananunuliwa na anaingia kingi kwa matakwa yake mwenyewe? Asiye na vidato anapewa pesa ila kichwani akiwa anajua kura ni UKAWA.

Mzee Mwanakijiji anaamini kuwa Lowassa ni fisadi wa Richmond, ila ameshindwa kuleta ushahidi tumfunge Lowassa, pia yeye mwenyewe ameshindwa kumchukulia hatua Lowassa.

Binafsi sipendi ufisadi, ila kwa kuwa Chama changu cha kijani kimeshindwa kumchukulia hatua Lowassa kwa ufisadi waliomtuhumu nao na hata kuimba ngojera za vua gamba. Nina amini kuwa Lowassa sio fisadi, Lowassa alijiuzulu kufunika kombe mwanaharamu apite. Na mwanaharamu huyu na jinamizi lake la rushwa yuko ndani ya Chama changu cha kijani.
 
Huna sera ndio maana unasema hamtaki lowassa na yet yeye ndio rais wako
 
KakaKiza kwa mtazamo wangu Mwanakijiji alikuwa zamani miaka miwili kurudi nyuma, ila usimchukie nakushauri mpotezee mazima.
 
Last edited by a moderator:
Ukisema fisadi ni kigezo kipi unatumia kumuita fisadi uache kuita genge kubwa la mafisadi lililopo CCM mpaka leo Tembo wamebaki tembo 17 tu!

Kweli Kakakiazi ila mtu mwenye maoni mapana anaweza kujiuliza swali moja tu hivi hayo mafisadi mengi yaliyoko CCM nayo yanagombea Urais ya JMT? kama jibu ni hapana basi ndugu kajiongeze.
 
Nikusanyieni makala za Mzee mwanakijiji, nikusanyieni makala za Dr. W. Slaa. Nitaanza kuzisoma Tar. 26...
 
Sijui kwanini ameamua kujidhalilisha hivyo. Demokrasia inasema wengi wape, yeye anapingana nayo

democracy inaruhusu kupishana kwa mawazo pia...haukufundishwa hilo darasa la tano?
 
KakaKiza kwa mtazamo wangu Mwanakijiji alikuwa zamani miaka miwili kurudi nyuma, ila usimchukie nakushauri mpotezee mazima.

kakakiza si mtu mzuri,anaweza kukumaliza kwasababu ya kisiasa tu,,,,,,,
watu wa congo lubumbashi ndivyo walivyo....
 
Last edited by a moderator:
Ahamie na kwa yule Waziri wa Ujenzi aliyelipa wakandarasi hwewa Milioni 951 na kuwalipa makandarasi kwa Riba ya Tsh. Billioni 28 HIZO 10% za ulipaji amepwea nani? Abalance makala zake ndio maana Lowasa akiwa CCM alisema ndani ya CCM hakuna msafi. Hapa kati yaawa wawili tunatafuta unafuu. CCM ni gari bovu Je liende gereji kurekebishwa au liendelee barabarani huku likirekebishwa. Au tuchague gari jipya lenye spear chafu chache (UKAWA).

Msingi wa haya yote ni kwamba Uraisi ni Taasisi na sio uongozi wa mtu mmoja. Lowasa anakwenda kufanya kazi na watu ambao wana usafi kidogo kulinganisha na wanaccm ambao ni wachafu zaidi. Lowasa alikuwa mchafu sawa Je Magufuli nae msafi?
 
Mwanakijiji ameshachoka, hana tofauti sana na Humphrey Pole Pole..wote ni wachumia tumbo.
 
TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA......That`s political Tolerance........
 
Nguvu ya fedha ni kubwa sana kuliko unavyofikiri kuna siku ungefikiri Dr Slaa angekuja kugeuka ?.
Khaa!! hata mimi nashangaa imekuwaje leo Mbowe, Mbatia, Lissu na wengine wanayakana maneno yao. Fedha ina nguvu sana. Ni CCM tu ndiyo wameweza kumkata mtu na fedha yake na kundi lake :glasses-nerdy:
 
Nguvu ya fedha ni kubwa sana kuliko unavyofikiri kuna siku ungefikiri Dr Slaa angekuja kugeuka ?.

Double standard mliyonayo ni ya kutisha. Hivi unawezaje kusema Slaa amegeuka na ushindwe kuona jinsi uongozi wa Chadema top-bottom ulivyoguka kutoka kumshambulia Lowasa kuwa ni fisadi hadi kuwa mtakatifu ambaye hatutakiwi hata kumnyooshewa kidole?

Unataka kujua nguvu ya pesa? Waangalia kwa makini viongozi wako wa Chadema kwanza.
 
"Mimi sito ongea mengi sana wenzangu walionitangulia wamesema kila kitu, naomba muwapigie kura madiwani na wabunge wa CCM", hiyo ni sentensi aliyoitoa 'Edward Ngoyai Lowassa' katika mkutano wa kampeni uliofanyika Musoma huku akiwa amezungukwa na wafuasi waliovaa magwanda na watu waliovaa nguo zenye rangi ya CDM, bendera za UKAWA zinapepea kila kona akizitazama.

That is more than a slip of the tongue psychologically Lowassa bado anaamini mwana CCM huko UKAWA kaenda kujaribu kutimiza ndoto zake za uraisi tu, kwa mwana UKAWA na CDM mtu yeyote anaemshambulia Lowassa badala ya chama kizima lazima kuna input zake nyingi sana zinazompelekea aumie na kinachoendelea kutokana na jitihada zao za awali. Ni mtu ambae yuko juu juu tu na support ya UKAWA asiejua mabadailiko gani anayataka anaweza support utapeli unaoendelea pia ni mabadiliko; unakaribia uchaguzi Mnyika bado kupanda jukwaa na Lowassa.

CDM uchaguzi huu wamejiaribia wenyewe ata campaign ni tofauti kabisa na style yao kwa kuangalia chaguzi zingine tulizozizoea kwenye ku-synchronize attacks zao na kuzipa uzito wa habari moja kikawaida kampeni wanazofanya sehemu tofauti zote zinajumlishwa kama kitu kimoja kama M4C sijui operation kimbunga etc; for what is worth Mbowe na wenzie washavuta chao awana wasiwasi pole mtanzania anayeumia na chama chenye maslahi ya wachache.
 
Ahamie na kwa yule Waziri wa Ujenzi aliyelipa wakandarasi hwewa Milioni 951 na kuwalipa makandarasi kwa Riba ya Tsh. Billioni 28 HIZO 10% za ulipaji amepwea nani? Abalance makala zake ndio maana Lowasa akiwa CCM alisema ndani ya CCM hakuna msafi. Hapa kati yaawa wawili tunatafuta unafuu. CCM ni gari bovu Je liende gereji kurekebishwa au liendelee barabarani huku likirekebishwa. Au tuchague gari jipya lenye spear chafu chache (UKAWA).

Msingi wa haya yote ni kwamba Uraisi ni Taasisi na sio uongozi wa mtu mmoja. Lowasa anakwenda kufanya kazi na watu ambao wana usafi kidogo kulinganisha na wanaccm ambao ni wachafu zaidi. Lowasa alikuwa mchafu sawa Je Magufuli nae msafi?

Ww kwa akili yako ya samaki unafikiri nani msafi ndani ya chadema? Baada ya Lowasa kuingia na kutawnya pesa za richmond viongozi wote wamebadilika ss wanaimba wimbo mmoja kuwa mwenye ushahidi na aende mahakamani, maana yake watu wameshiba, msafi aliondoka baada ya kugomea kuchukua huo mzigo Dr.Slaa na kwa upande wa cuf-Prof. Lipumba na yy akaondoka. na baada ya hao wazee kuondoka wakazushiwa kuwa wamepewa pesa na ccm, na Nape alisema kuwa Mbowe kauza chadema na watu wake, na Mbowe hajakanusha hata siku moja, akina Msigwa hawajakanusha, ndo maana tunasema, ni nafuu ukampatia simba aloshiba kuliko kuwapatia simba wengi wenye njaa. maana yake ni kwamba watahitaji kijlimbikizia fedha nyingi na kwa kuwa rais atakuwa ndo original fusadi- mtashika adabu zenu nyie wenye vihelehele!
 
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu haoni wala hasikii, ila niulize amelipwa bei gani?? Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona ana mantiki pale angeshambulia upinzani UKAWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi! Maana anachokisema ni sawa na mtu aliyetahayuri!

Lowassa katokea CCM ni zao la CCM, na sasa kaamua kuokoka na kufatana na walokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona ni yule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa ila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.

Chadema ndio walimuomba fisadi mkuu lowasa ajiunge nao, baada ya kuona warioba amekataa. Wanaokoteza wagombea uraisi kama kumbikumbi shambani. Kamwe fisadi hawezi kubadilika na mm kwenye vipindi vyangu hapa shuleni nitaendelea kuwapa dozi wanafunzi mpaka wamuelewe huyu fisadi. Nnatoa wito kwa walimu wote mashuleni wawaeleze wanafunzi walau kidogo kuhusu hili jizi na genge lake. Kura yangu ni kwa MAGUFURI.
 
Back
Top Bottom