Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

It's no secret Mwanakijiji alikuwa anamuunga mkono mgombea wa CCM.

Binafsi sikuona popote pale ambapo alimsema vibaya.

Kazi yake kuu kwenye uchaguzi wa mwaka huu ilikuwa ni kupiga propaganda dhidhi ya Lowassa.

Na sasa keshatamka wazi kwamba anamuunga mkono Magufuli.

Ni haki yake hata hivyo.

Tazama carefully anaandika sometimes kuacha nafasi ya kugeuka huko mbele
now ameshaanza kusema hakui support CCM ..
mimi naona huwezi ku support JPM bila kui support CCM hasa wakati ule wa kampeni
 
Tazama carefully anaandika sometimes kuacha nafasi ya kugeuka huko mbele
now ameshaanza kusema hakui support CCM ..
mimi naona huwezi ku support JPM bila kui support CCM hasa wakati ule wa kampeni

Of course, he has to hedge his bets.

I'd probably do the same exact thing too.
 
Tazama carefully anaandika sometimes kuacha nafasi ya kugeuka huko mbele
now ameshaanza kusema hakui support CCM ..
mimi naona huwezi ku support JPM bila kui support CCM hasa wakati ule wa kampeni

Faulty reasoning...unafikiri waliomfuata yule jamaa waliifuata CHADEMA? Kumkataa Lowassa haikumanisha kuikataa CHADEMAna kura zinaonesha hivyo. Ningetaka kuisifia CCM mbona ningefanya wazi tu.
 
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu haoni wala hasikii, ila niulize amelipwa bei gani?? Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona ana mantiki pale angeshambulia upinzani UKAWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi! Maana anachokisema ni sawa na mtu aliyetahayuri!

Lowassa katokea CCM ni zao la CCM, na sasa kaamua kuokoka na kufatana na walokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona ni yule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa ila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.

Wewe Mzee Mwanakijiji humuwezi ni mtu mwenye maoni alijua kuplay na event na sarakasi za Fisadi mimi nampongeza sana tu kuweza kusimamia kile anachokiamini . kudos MM bila kumsahau Rais wa mioyo wa Chadema rais pendwa Dr Slaa
 
It's no secret Mwanakijiji alikuwa anamuunga mkono mgombea wa CCM.

Binafsi sikuona popote pale ambapo alimsema vibaya.

Kazi yake kuu kwenye uchaguzi wa mwaka huu ilikuwa ni kupiga propaganda dhidhi ya Lowassa.

Na sasa keshatamka wazi kwamba anamuunga mkono Magufuli.

Ni haki yake hata hivyo.

NN, angalie kwa upande mwingine... Unafikiri waliomtaka Lowassa walikuwa wanaitaka CHADEMA vile vile? Wakati wote wa kampeni hadi sasa umenisoma nikisifia sera ah mipango yoyote ya CCM?
Ukilinganisha mimi na Lowassa au Sumaye nani aliisifia sana CCM?
 
Huu uchaguzi umechanganya sana watu.

Maana watu wameondoka CCM na wengine wakajiunga CHADEMA kwa haraka haraka huku wengine wakisema wanatoka tu CCM lakini hawajiungi na chama chochote [sijui ndo ilikuwa namna ya kuacha mlango wazi kama wakitaka kurudi tena CCM].

Na kusema ukweli mimi binafsi sikuona kama wewe ulikuwa unaipigia debe CCM moja kwa moja.

Lakini pia, haiepukiki kwa watu kudhani kwamba wewe kumpinga Lowassa basi 'automatically' ulikuwa unaiunga mkono CCM na/ au mgombea wao maana nguvu ulizowekeza katika kumkataa Lowassa hazikuonekana kwa upande wa CCM na mgombea wao.

Kwenye mambo yahusishayo hisia kali ni rahisi sana kwa watu kutokuziona nuances kama za kumkataa Lowassa haikumaanisha kuikataa CHADEMA na kumkubali Magufuli haikumaanisha ndo kuikubali CCM.

Pia, kuna wengine hata hizo nuances hazina maana kabisa na ndo maana unaona kuna wengine wanaona haiwezekani wewe umuunge mkono JPJM halafu usiiunge mkono CCM.

Lakini, mwisho wa siku kwani ubaya uko wapi? Ni dhambi kuiunga mkono CCM na kufuru kutokuiunga mkono CHADEMA?
 
Kwenye siasa inatokea. Mimi binafsi nilisema. Siipendi ccm lakini namuunga mkono JPM. Na hili lilikuja baada ya Lowassa kuhamia CDM.

Nilibaki njia panda. Na support CDM lakini by hooks and crooks simuungi mkono Lowassa. Siitaki CCM lakini at least namsupport JPM.

Bottom line: unaweza kumkataa Lowassa lakini sio CDM. Unaweza kumkubali JPM lakini sio CCM. Contradictory as it may sound, ndiyo ukweli!
 
Na hapo ndipo wengi tulijikuta tulipotakiwa kuimba "tuna imani na lowasa, oya oya..." Haiingii akilini!
 
Mkuu John Kachembeho, usemayo ni kweli, niliyasema hayo kwa trend ya CCM ya mwaka 2005, kwenye top 3, Dr. Salim was the best!, (Top Diplomat!), `akifuatiwa na Prof. Mwandosya (Best Brain!), JK was the last!, sababu zilizomfanya JK ashinde ni good looking, anatabasamu, hivyo anachagulika!. Nikitegemea CCM ilikuwa inaijua nguvu ya EL na ilitaka ushindi!, katiya wagombea wote wa CCM, The Best option alikuwa ni Jaji Ramadhani!. Lakini ilibidi awe ni Magufuli kwa sababu fulani, nimezieleza hapa.
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John [/h]Ila hata mimi licha ya kumkubali sana EL, pia nilitoa angalizo hili kumhusu na kweli likatokea
[h=3]Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! - Patachimbika!.[/h]
ni kweli sasa panachimbika!, Lowassa ndio huyo anaelekea Ikulu!.

Tena usidhani tunalizimisha kuwa ni lazima awe Lowassa!.
[h=3]Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015.[/h]Licha ya kumsupport Lowassa akiwa CCM, ni mimi ndiye nilipandisha uzi huu na nakuwekea na tarehe zake.

[h=3]CCM Imechokwa, -Nov 14, 2010[/h][h=3]Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni ...Apr 2, 2012[/h][h=3]Topic: Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...May 1, 2012[/h][h=3]Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa... - Aug 28, 2012[/h]
Pasco
Baada ya Edward Lowassa kusifiwa na rais Magufuli kuwa ni Superman, namdurufu kidogo Lowassa kwa kujikumbusha niliwahi kusema nini kuhusu mtu huyu.
P
 
Dah....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tujenge sasa afya kwa kucheka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom